Kuna anayejua kujipendekeza kumshinda JK? Mlipuko wa Bomu kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha alikaa kimya lakini juzi kakurupuka kutuma salamu za pole kwa Kenyatta baada ya tukio.la Ughaidi Westgate na kutangaza eti "Rais amemuelezea Rais Kenyatta hasira yake juu tukio hilo".
-Mapro wa kujipendekeza ndiyo hao hao waliomtuma AG ajipeleke kwenye Kesi ya UHURUTO ICC badala ya kupambana kuweka mfumo wetu wa Judiciary in proper Order huku Nyumbani na kuacha tabia ya kuteua majaji feki
-Kiherehere cha kujipendekeza uchaguzi mkuu Kenya kumbeba Kenyatta kinaonekana sawa hata kama jamaa huyu ameungana na Rwanda na Uganda kuitenga Tanzania.
Wivu utawatoa roho maana naona hapo juu kuna baadhi yenu mmeudhika na kuandika maandishi marefu kweli kweli.Mkue sasa ,Ah!