Dr. Slaa awatembelea Majeruhi wa Kijeshi

Mimi nimesikitika sana Kwa nini udanganya hata huko USA!?? Umejitambulisha Kama government officer na MBUNGE Kwa nini hukujitambulisha Kama CDM general secretary!? Tukiachilia mbali uasi na USALITI uliolifanyia kanisa ila nafikiri kuna tatizo ktk uadirifu wako especially kwenye kauli unazozitoa.
 
Sijawahi kuona post yako hata moja ambayo unatoa mawazo ya kujenga zaidi ya kukandyia wanachoandika wenzako na kujiona unajua sanaaaaa!

Inaonekana umesoma au unasoma nchi za watu lakini inapokuja kwenye kuyatafuta mabadiliko nyumbani kwenu wewe umeshiba na huwajali wenye njaa! Acha kuwakatisha tamaa watu wanaotafuta mabadiliko kama wewe umeridhika na kinachoendelea endelea kula na kulala wenye shida wahangaikie mabadiliko. Inakera sana!
Utaendelea kuona hivyo kwa sababu unasoma mabandiko yangu huku umevaa miwani ambayo imefunika jicho moja.

Siko hapa kukandia watu bali kutoa michango kadri ya uwezo wangu na jinsi ninavyoona katika fikra na mtazamo wangu.

Kama unavyoweza kutoa mawazo yako kulingana na mabandiko yangu ndiyo na mimi ninavyoweza kutoa mawazo yangu kulingana na mabandiko ya wengine.

Hakuna siraha iliyo bora zaidi ya kukubali kutokubaliana kwa sababu huu ni uwanja wa kuelimishana na kupashana habari kwa faida ya maendeleo kitaifa. Mind you, kichocheo cha maendeleo ya haraka ni fikra na mitazamo kinzani katika jamii na ndiyo maana kwa sasa nchi iko kwenye siasa za vyama vingi.
 
Sawa,

Vijana extremist wa Bavicha endeleeni kupigania Uhuru wa nchi yenu. Nchi yetu sisi ilipata Uhuru mwaka 1961 na sasa tuko katika hatua ya kuijenga nchi.

Unajengaje nchi wakati umasikini unaongezeka? Mnabomoa nchi. We nesi wa moro hebu rudi kwa darsa uongeze maarifa.
 
Utaendelea kuona hivyo kwa sababu unasoma mabandiko yangu huku umevaa miwani ambayo imefunika jicho moja.

Siko hapa kukandia watu bali kutoa michango kadri ya uwezo wangu na jinsi ninavyoona katika fikra na mtazamo wangu.

Kama unavyoweza kutoa mawazo yako kulingana na mabandiko yangu ndiyo na mimi ninavyoweza kutoa mawazo yangu kulingana na mabandiko ya wengine.

Hakuna siraha iliyo bora zaidi ya kukubali kutokubaliana kwa sababu huu ni uwanja wa kuelimishana na kupashana habari kwa faida ya maendeleo kitaifa. Mind you, kichocheo cha maendeleo ya haraka ni fikra na mitazamo kinzani katika jamii na ndiyo maana kwa sasa nchi iko kwenye siasa za vyama vingi.

We dogo unastahili kuitwa juha.
Fanya mipango ujiunge na udp, chama cha mzee mapesa.
 
Mimi nimesikitika sana Kwa nini udanganya hata huko USA!?? Umejitambulisha Kama government officer na MBUNGE Kwa nini hukujitambulisha Kama CDM general secretary!? Tukiachilia mbali uasi na USALITI uliolifanyia kanisa ila nafikiri kuna tatizo ktk uadirifu wako especially kwenye kauli unazozitoa.

Hauna tofauti na wale kuku wenye kideri au mdondo,make kukutofautisha na nguruwe pia ni vigumu kabisa pole mama
 
Olesaidimu,
Tumia akili uliyopewa bure na Mwenyeezi Mungu. Sikuenda Water Reed kufariji. Kufariji ni sehemu ya lazima ya mawasiliano Kati ya binadamu na binadamu. Water Reed ndiyo Hospitali kubwa ya kijeshi kwa Marekani yote. Inatumia teknolojia ya kisasa katika kutoa huduma ya matibabu. Inaona jinsi wapiganaji wao, miguu yote imekatwa lakini wanatumia miguu bandia kana kwamba hakuna kilichotokea. Ni binadamu wa ajabu tu atawaza Kama unavyowaza badala ya kujifunza teknolojia hiyo iwasaidie wapiganaji wetu. Dr Slaa siyo wa aina unayofikiri. Nenda CCBRT hospitali ambayo Dr Slaa ni mwanzilishi na Mwenyekiti uone huduma wanayopewa watanzania wenzako. Fikiria kabla hujatamka daima. Kuna taifa kufanya utafiti kabla ya kutoa tamko lolote. Nina hakika kwa kutembelea Water Reed Hoospital, Taifa letu litanufaika kwa kiwango kikubwa. Taifa linajengwa na watu wenye positive thinking. Watu wanaotafuta kila sekunde solutions kwa mazingira magumu yanayotukumba. Watanzania tushikamane, Hali yetu ngumu haitokani na maamuzi ya Mungu Bali ugumu wa mioyo yetu, above wa mipango yetu, kukosa vipau mbele. Fikiria wazee wetu wamepigania kukomboa Taifa letu toka Nduli Amini, Leo hawana miguu, wengine mikono, lakini wameachwa na kutelekezwa na Taifa walilotetea hata kwa kupoteza maisha Yao. Ushabiki hautufikishi mahali watanzania. Tulipokosea tukubali na turekebishe.

Nilikuwa Karatu Tangu juzi, nimekwenda vijiji vya Getamock,Buger,Matala na Endamaghan jimbo uliloliongoza wewe mwenyewe kwa muda mrefu, nimekwenda mpaka shule inayoitwa Dr.Wilbroad Slaa Secondary School.

Kwakweli Wananchi hao wanatia huruma sana, kwakweli kama Mbunge wao kwa kipindi kirefu na Sifa unazojimwagia hukuwatendea haki hata kidogo.
Vijiji hivyo havina Maji, Zahanati wala miondombinu inayoridhisha.
Kwanini hukufanya mipango hiyo ili walau wapate kituo cha Afya cha kukomboa familia na kaya zao masikini nilizojionea kwa macho?
Nyie Wanasiasa ni waongo, wanafiki na mnapenda sana sifa za bure, hasa wewe ni mnafiki namba moja unataka kutumia Matatizo ya Watanzania kujipatia umaarufu bila kuanzia kwenu ili Watanzania wajifunze kwa kuanzia Karatu.
Kama jimbo uliloliongoza mpaka umeliacha liko hoi kiasi hiki Nchi yetu Tanzania utaipeleka wapi?
 
Hii kitu niliipiga 'like' hata kabla sijaisoma...na nilipoisoma nikagundua kuwa as I thought,kumbe kweli 'like' yangu imeangukia penyewe!

I second you Dr...be blessed!
 
Kumbe na huyu ana akili kidogo namna hiyo? Dr. Slaa hakwenda kutoa pole wala kuwaonea huruma askari wa Marekani bali alienda kuangalia teknolojia kubwa inayotumika katika hospitali hiyo katika kuwarudisha matumaini ya maisha ya kawaida watu waliolemaa katika vita.

Tanzania, serikali ya CCM imewasahau askari waliolemaa katika vita, na watanzania wanaopata ulemavu kila siku katika ajali mbalimbali. Msaada pekee wanaowapa ni kumwomba Mengi awanunulie viti vya magurudumu. Siku hizi vimetengenezwa mpaka vya plastic ambavyo kukiwa na kishimo cha sentimeta 2 gurudumu halizunguki. Hiyo ndiyo CCM iliyoua uwezo wa watu wengi kufikiri.

Kosa kubwa litakaloifanya CCM ilaumiwe kwa karne nyingi ni kuua uwezo wa Watanzania wengi kutumia akili walizopewa na Mungu. Leo wengi japo wanatembea wima lakini katika ubongo ni misukule.

Mkuu sio vizuri kumuumbua mzee wa watu,

Ameonyesha ana uchungu zaidi na wamarekani kuliko watanzania.
 
Dr. Slaa songa mbele usirudi nyuma....Huyo gaidi Chemba yeye ameenda kubadilisha mahawara...

pia huyo gaidi sidhani kama anaweza kuruhusiwa kupita sehemu anazopita Dr slaa,maana juzi katuma taarifa tbcccm ya kumponda slaa
 
Mwigulu ziara yake ya vibarazani na bibi Mamuya imeishia sebule ipi?

Karudi kakuta polisi washamharibia juu ya bomu lake la Soweto
 
Olesaidimu,
Tumia akili uliyopewa bure na Mwenyeezi Mungu. Sikuenda Water Reed kufariji. Kufariji ni sehemu ya lazima ya mawasiliano Kati ya binadamu na binadamu. Water Reed ndiyo Hospitali kubwa ya kijeshi kwa Marekani yote. Inatumia teknolojia ya kisasa katika kutoa huduma ya matibabu. Inaona jinsi wapiganaji wao, miguu yote imekatwa lakini wanatumia miguu bandia kana kwamba hakuna kilichotokea. Ni binadamu wa ajabu tu atawaza Kama unavyowaza badala ya kujifunza teknolojia hiyo iwasaidie wapiganaji wetu. Dr Slaa siyo wa aina unayofikiri. Nenda CCBRT hospitali ambayo Dr Slaa ni mwanzilishi na Mwenyekiti uone huduma wanayopewa watanzania wenzako. Fikiria kabla hujatamka daima. Kuna taifa kufanya utafiti kabla ya kutoa tamko lolote. Nina hakika kwa kutembelea Water Reed Hoospital, Taifa letu litanufaika kwa kiwango kikubwa. Taifa linajengwa na watu wenye positive thinking. Watu wanaotafuta kila sekunde solutions kwa mazingira magumu yanayotukumba. Watanzania tushikamane, Hali yetu ngumu haitokani na maamuzi ya Mungu Bali ugumu wa mioyo yetu, above wa mipango yetu, kukosa vipau mbele. Fikiria wazee wetu wamepigania kukomboa Taifa letu toka Nduli Amini, Leo hawana miguu, wengine mikono, lakini wameachwa na kutelekezwa na Taifa walilotetea hata kwa kupoteza maisha Yao. Ushabiki hautufikishi mahali watanzania. Tulipokosea tukubali na turekebishe.
Akhsante sana Dr. Umeianzisha siku yangu vyema.
 
bora ya dr slaa..kuliko dr farstjet...anae jivunia kupiga picha na akina 50cent.
 
Hebu wekeni mambo yenye tija na nchi, huruma yake kwa raia wa nchi nyingine waliopata madhara ya kivita kwa sababu ya sera zao sisi inatusaidia nini???!!!!!!

Humu ndani kuna shida nyingi sana na wanaohitaji faraja wapo wengi sana kamaliza kuwafariji hawa wetu???!!!

Sio kila alifanyalo kiongozi wote tutachukulia kama positive, mimi binafsi sioni tija ya hili tukio la huyu kiongozi kwa kweli.

Rais Kikwete Kukumbatiwa na Obama kulikuwa na tija gani hadi Ikulu ikaitisha Presss Release? Dr. Slaa kama Rais mtarajiwa anawajibika kujifunza mambo muhimu kwa ajili ya jamii yake atakayoiongoza.. Nani asiyejua malalamiko ya wanajeshi wastaafu na walioshiriki vita mbalimbali jinsi walivyotelekezwa? Dr. Slaa usivunjwe moyo na watu kama OLESAIDIMU ambao hata maoni binafsi ya maisha yao hawana..
 
Last edited by a moderator:
Olesaidimu,
Tumia akili uliyopewa bure na Mwenyeezi Mungu. Sikuenda Water Reed kufariji. Kufariji ni sehemu ya lazima ya mawasiliano Kati ya binadamu na binadamu. Water Reed ndiyo Hospitali kubwa ya kijeshi kwa Marekani yote. Inatumia teknolojia ya kisasa katika kutoa huduma ya matibabu. Inaona jinsi wapiganaji wao, miguu yote imekatwa lakini wanatumia miguu bandia kana kwamba hakuna kilichotokea. Ni binadamu wa ajabu tu atawaza Kama unavyowaza badala ya kujifunza teknolojia hiyo iwasaidie wapiganaji wetu. Dr Slaa siyo wa aina unayofikiri. Nenda CCBRT hospitali ambayo Dr Slaa ni mwanzilishi na Mwenyekiti uone huduma wanayopewa watanzania wenzako. Fikiria kabla hujatamka daima. Kuna taifa kufanya utafiti kabla ya kutoa tamko lolote. Nina hakika kwa kutembelea Water Reed Hoospital, Taifa letu litanufaika kwa kiwango kikubwa. Taifa linajengwa na watu wenye positive thinking. Watu wanaotafuta kila sekunde solutions kwa mazingira magumu yanayotukumba. Watanzania tushikamane, Hali yetu ngumu haitokani na maamuzi ya Mungu Bali ugumu wa mioyo yetu, above wa mipango yetu, kukosa vipau mbele. Fikiria wazee wetu wamepigania kukomboa Taifa letu toka Nduli Amini, Leo hawana miguu, wengine mikono, lakini wameachwa na kutelekezwa na Taifa walilotetea hata kwa kupoteza maisha Yao. Ushabiki hautufikishi mahali watanzania. Tulipokosea tukubali na turekebishe.

Umenena Rais Wangu
 
Slaa hakuhudhuria mazishi ya muhanga wa vurugu za Chadema Morogoro ambaye alizikwa kwao Tanga. Lakini ana huruma na wanajeshi wa Marekani waliothirika na vita ya Afganistan mpaka amefunga safari kuvuka bahari kwenda kuwapa pole!!!

Vituko...

acheni CHADEMA isonge mbele nyie magamba. Mnashangaa Dr.slaa anaongea vitu makini tena kwa watu makini wa vyuo vikuu,maprof na madent plus wataalam katika mambo kibao huku nie fastjet akiishia kuongea na wanamuziki kwenye matamasha na barmaids huku mkitarajia aje na hoja za kukuza elimu na uchumi wa ncxhi yetu.
Magamba tulieni..
 
Nilikuwa Karatu Tangu juzi, nimekwenda vijiji vya Getamock,Buger,Matala na Endamaghan jimbo uliloliongoza wewe mwenyewe kwa muda mrefu, nimekwenda mpaka shule inayoitwa Dr.Wilbroad Slaa Secondary School.

Kwakweli Wananchi hao wanatia huruma sana, kwakweli kama Mbunge wao kwa kipindi kirefu na Sifa unazojimwagia hukuwatendea haki hata kidogo.
Vijiji hivyo havina Maji, Zahanati wala miondombinu inayoridhisha.
Kwanini hukufanya mipango hiyo ili walau wapate kituo cha Afya cha kukomboa familia na kaya zao masikini nilizojionea kwa macho?
Nyie Wanasiasa ni waongo, wanafiki na mnapenda sana sifa za bure, hasa wewe ni mnafiki namba moja unataka kutumia Matatizo ya Watanzania kujipatia umaarufu bila kuanzia kwenu ili Watanzania wajifunze kwa kuanzia Karatu.
Kama jimbo uliloliongoza mpaka umeliacha liko hoi kiasi hiki Nchi yetu Tanzania utaipeleka wapi?

Kule Bagamoyo Kiwete aliwafanyia nini wakwere naona bado wanatusumbua madirishani na machungwa na mananasi kwenye mabasi.. Dr. Slaa kafanya mapinduzi makubwa sana Kwenye Wilaya ya Karatu huwezi kuzidharau juhudi zake hata siku moja.. hasa ukizingatia alikuwa ni mbunge wa Upinzani..
 
Back
Top Bottom