Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Umeamua kula paka kwakuwa nae anafugwa na binadamu kama kuku!.. lkn ungejiuliza kidogo zaidi ya huko kufugwa tu...kunanini kingine usingekula paka! Kwakuwa huo ndio uwezo wako wa kutofautisha....endelea kula Paka ...
 
wana jf.
Kesho vikao vya kamati kuu ya chadema vinaendelea ili kupanga mikakati ya kuhakikisha ukawa inapata ushindi wa kishindo october .
Ili mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi mkuu october iende vizuri, wajumbe wote wanatakiwa wawepo akiwemo katibu mkuu wa chama dr. Wilbroad slaa ambae mpaka sasa hivi hajulikani alipo, endapo dr. Slaa hatahudhuria kikao kesho naomba kamati ya maadili imchukulie hatua kali za kinidhamu ili kulinda kanuni na maadili ya chama.
Chadema sio mali ya mtu binafsi ,ni mali ya watanzania wote, na hakuna mtu mkubwa kupita chama.
Asietaka ukombozi wa nchi october atupishe.

mkuu chama kina sheria na mwongozowake

mwenyekiti kaongea jana yuko likizo

likizo ya mtu n muhim kuliko hiko kikao.....heshimun sheria za kazi za jamhuri ya kiwelo
 
CONFIRMED: Dkt. Slaa bado yupo Chadema na anaendelea na majukumu yake kama kawaida,kwani muda wa kuchukua fomu hadi unaisha na kuongezwa hakuwahi kwenda kuchukua fomu na wala hakuwahi kuzuiwa kuchukua fomu kwani zinatolewa ofisini kwake.
 
Vijana wa lumumba wanaacha kumnadi mzee ....wao makufuli.....mzee wa asiye na miambili aogelee wanapambana na ...chadema
Hata mimi nashangaa Huyu Laki si Pesa tangu lini akaitakia mema Chadema?
 
CONFIRMED: Dkt. Slaa bado yupo Chadema na anaendelea na majukumu yake kama kawaida,kwani muda wa kuchukua fomu hadi unaisha na kuongezwa hakuwahi kwenda kuchukua fomu na wala hakuwahi kuzuiwa kuchukua fomu kwani zinatolewa ofisini kwake.
 
Wana JF.
Kesho vikao vya Kamati Kuu ya Chadema vinaendelea ili kupanga mikakati ya kuhakikisha Ukawa inapata ushindi wa kishindo October .
Ili mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi mkuu october iende vizuri, wajumbe wote wanatakiwa wawepo akiwemo Katibu Mkuu wa Chama Dr. Wilbroad Slaa ambae mpaka sasa hivi hajulikani alipo, endapo Dr. Slaa hatahudhuria kikao kesho naomba Kamati ya Maadili imchukulie hatua kali za kinidhamu ili kulinda kanuni na maadili ya chama.
Chadema sio mali ya mtu binafsi ,ni mali ya watanzania wote, na hakuna mtu mkubwa kupita Chama.
Asietaka ukombozi wa nchi October atupishe.
siasa ni biashara kwa akina mbowe et al sio dr slaa. ikulu ni patakatifu sio kupeleka watu kugeuza ikulu pango la walanguzi.
 
Likizo ya ghafla katika nyakati hizi mmmmmh!
 
wewe kama unajielewa unawezaje kuamini ati Low ass si fisadi wakati viongozi wako wametokwa na mapovu kuaminisha watanzania ni fisadi tena PAPA..tunataka ushahidi alosema Dr slaa kuhusu hao mafisadi papa hizo nyimbo zenu baadae hamna mjinga hapa only ukiwa CHADOMO ndio unakuwa delusional brainwashed afrocentric
 
How?si ameshajkata mwenye uanachama wake?sasa audhulie kama nani
 
Huyu daktari amekuwa akitunwa kwa uadilifu na misimamo yake thabiti.Hili kundi la lowasa halithamini hata mchango wa slaa.Nawashauri wamwache slaa wao kama wanajiamini waendelee na harakati zao, heshima ni utu c pesa. But history will one day talk slaa.
 
  • Thanks
Reactions: Gor
Wana JF.
Kesho vikao vya Kamati Kuu ya Chadema vinaendelea ili kupanga mikakati ya kuhakikisha Ukawa inapata ushindi wa kishindo October .
Ili mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi mkuu october iende vizuri, wajumbe wote wanatakiwa wawepo akiwemo Katibu Mkuu wa Chama Dr. Wilbroad Slaa ambae mpaka sasa hivi hajulikani alipo, endapo Dr. Slaa hatahudhuria kikao kesho naomba Kamati ya Maadili imchukulie hatua kali za kinidhamu ili kulinda kanuni na maadili ya chama.
Chadema sio mali ya mtu binafsi ,ni mali ya watanzania wote, na hakuna mtu mkubwa kupita Chama.
Asietaka ukombozi wa nchi October atupishe.

Kwa kutumia katiba uliyoiandika wewe au?
 
Back
Top Bottom