Tetty
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 26,355
- 21,418
mada ni maghufuli na lowassa na siyo .wengine
Pole.Nimejibu kulingana na statement ya niliyemquote.Pole tena
mada ni maghufuli na lowassa na siyo .wengine
mtu ambaye anapelekwa pelekwa na mkewe hafai kuwa rais wa nchi..
mada ni maghufuli na lowassa na siyo .wengine
mkuu naona hii ilikuwa dua la kuku...Umma wa Watanzania utawahukumu Ccm October kwa kutengeneza mafisadi wanaopata sala ya toba Chadema
WE endelea tu kumuheshimu bila kujali wengine wanamuonaje au unataka kuwapangia hiyo itakuwa ngumuDR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa
WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ?
Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.