Hakika wanaomtukana DR.
#Slaa wataalaniwa na
#Mungu kwani ni mjinga na mpuuzi pekee yake ambaye hawezi kuona mchango mkubwa na kazi kubwa aliyoifanya Dr.Slaa kwa faida ya chama pamoja na taifa kwa ujumla.
Lengo letu ni kuiondoa ccm madarakani bila mchango wa Dr.
#Slaa hatofanikiwa kabisa .Dr.
#Slaa watu wengi tuna imani kubwa na wewe tunakusubiri tumeambiwa kwenye utashiriki kwenye vikao vya kamati kuu ya chama tunakusubiri kwa hamu kwa hamu kubwa tunakuombea kwa
#Mungu afya njema ,ulinzi wa
#Mungu siku zote tunakuhijitaji sana tuna imani kubwa na wewe .dada
Tetty umepitia huku?