mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 5,008
- 5,414
Mke wake tu hamheshimu nani atamheshimu? amfundishe kwanza adabu Josefin
Inaelekea unaujua sana undani wa Josephine.hongera
Mke wake tu hamheshimu nani atamheshimu? amfundishe kwanza adabu Josefin
Teh teh teh!!
Laki si Pesa, anatoa tamko kuwa Dr.Slaa awapishe kwenye chama chao Chadema.
Siasa hizi tutasikia mengi.
Laki si Pesa acha kutoa ushauri kwa mambo ambavyo hayakusu. Fikilia kura za maoni CCM.
Mzee Slaa apumzike sasa, kama amefikia hatua ya kufichwa na Mchumba wake, hafai huyo!
nisome tena mkuu .Tunafahamu tulipotoka, tumetoka nae wapi, C.C.M?
Again, hakuna standard hiyo CHADEMA ya kusema tunaheshimu tulipotoka na mtu. Narudia, Zitto Kabwe amefukuzwa kama paka mwizi bila kujali alipokitoa chama hiki nyakati zile kina Wilbrood Slaa wakitokea C.C.M., na hata Dr. Slaa alipokuja CHADEMA kikawa bado chama cha kikanda, wakina Zitto wakakipeleka mipakani mwisho wa nchi Kigoma huko. Lakini akaja kufukuzwa kundini utadhani kaiba sadaka kanisani, kisa, kutaka kufanya mageuzi ya uongozi kwenye chama kilichohodhiwa na koo chache.
Kwa hiyo, tumtetee Dr. Slaa kwa yote lakini si kwa kusema amekitoa chama mbali. CHADEMA hatupendi mtu kwa kuangalia mchango wake kwa chama, hatuna standard hiyo.
ni kweli lakini je kama dr slaa akijitokeza ndani ya kamati kuu , wengine wataficha wapi nyuso zao ?Ataheshimika tu, naye ajue heshima yake inatokana na kusimamia nguvu ya umma na umma ndio sisi!
Hahaha..Mzee Slaa apumzike sasa, kama amefikia hatua ya kufichwa na Mchumba wake, hafai huyo!
Laki si pesa kashahama kwa magamba. Kaja na safari ya matumaini...
mkuu mimi sina cha kukulipa bali ninaamini Mungu ameona andiko lako na atakulipa .Hakika wanaomtukana DR.#Slaa wataalaniwa na #Mungu kwani ni mjinga na mpuuzi pekee yake ambaye hawezi kuona mchango mkubwa na kazi kubwa aliyoifanya Dr.Slaa kwa faida ya chama pamoja na taifa kwa ujumla.
Lengo letu ni kuiondoa ccm madarakani bila mchango wa Dr.#Slaa hatofanikiwa kabisa .Dr.#Slaa watu wengi tuna imani kubwa na wewe tunakusubiri tumeambiwa kwenye utashiriki kwenye vikao vya kamati kuu ya chama tunakusubiri kwa hamu kwa hamu kubwa tunakuombea kwa #Mungu afya njema ,ulinzi wa #Mungu siku zote tunakuhijitaji sana tuna imani kubwa na wewe .dada Tetty umepitia huku?
Kweli CCM mmeishiwa sera! Hivi Magufuli mtamnadi lini?Nasikia huyo ndio amemficha Slaa