hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
Heshimu mawazo ya watu kijana. Unajifanya una uchungu sana kuliko Dr Slaa mwenyewe aliyekisotea chama tangu misingi ya uanzishwaji wake?Wana JF.
Kesho vikao vya Kamati Kuu ya Chadema vinaendelea ili kupanga mikakati ya kuhakikisha Ukawa inapata ushindi wa kishindo October .
Ili mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi mkuu october iende vizuri, wajumbe wote wanatakiwa wawepo akiwemo Katibu Mkuu wa Chama Dr. Wilbroad Slaa ambae mpaka sasa hivi hajulikani alipo, endapo Dr. Slaa hatahudhuria kikao kesho naomba Kamati ya Maadili imchukulie hatua kali za kinidhamu ili kulinda kanuni na maadili ya chama.
Chadema sio mali ya mtu binafsi ,ni mali ya watanzania wote, na hakuna mtu mkubwa kupita Chama.
Asietaka ukombozi wa nchi October atupishe.
Mzee kama kaamua kukaa kimya all this time muacheni bhana. Akitaka kuhudhuria hivyo vikao atahudhuria pia. Kwa nini mnamsimanga tu kila siku? Hebu kuweni na adabu kidogo. Mzee ni zaidi ya dingi yako. Ebooooooooooooooooooo