Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Vijana wa lumumba wanaacha kumnadi mzee ....wao makufuli.....mzee wa asiye na miambili aogelee wanapambana na ...chadema
 
mkuu mimi sina cha kukulipa bali ninaamini Mungu ameona andiko lako na atakulipa .
Pamoja sana mkuu @Ervythrocyte kwenye ukweli tutaongea ukweli Mungu aendelee kukujaza busara na hekima kwa kuweza kusimamia ukweli .
 
Wana JF.
Kesho vikao vya Kamati Kuu ya Chadema vinaendelea ili kupanga mikakati ya kuhakikisha Ukawa inapata ushindi wa kishindo October .
Ili mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi mkuu october iende vizuri, wajumbe wote wanatakiwa wawepo akiwemo Katibu Mkuu wa Chama Dr. Wilbroad Slaa ambae mpaka sasa hivi hajulikani alipo, endapo Dr. Slaa hatahudhuria kikao kesho naomba Kamati ya Maadili imchukulie hatua kali za kinidhamu ili kulinda kanuni na maadili ya chama.
Chadema sio mali ya mtu binafsi ,ni mali ya watanzania wote, na hakuna mtu mkubwa kupita Chama.
Asietaka ukombozi wa nchi October atupishe.

Bwana laki si pesa utazoea tu chadema hakuna kukurupuka kama ulivyozoea mlikotoka CDM kuna great thinkers ujinga kama wa kwako hauna nafasi.
 
Ukikatwa ccm unaenda chadema ukikatwa chadema unaenda act huko nako wakikukata unaenda wapi..? Hizi ndiyo siasa za bongo..Mungu ibariki afrika na ibarikie Tanzania kuvuka kwa Amani mwaka huu wa uchaguzi 2015
 
Wana JF.
Kesho vikao vya Kamati Kuu ya Chadema vinaendelea ili kupanga mikakati ya kuhakikisha Ukawa inapata ushindi wa kishindo October .
Ili mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi mkuu october iende vizuri, wajumbe wote wanatakiwa wawepo akiwemo Katibu Mkuu wa Chama Dr. Wilbroad Slaa ambae mpaka sasa hivi hajulikani alipo, endapo Dr. Slaa hatahudhuria kikao kesho naomba Kamati ya Maadili imchukulie hatua kali za kinidhamu ili kulinda kanuni na maadili ya chama.
Chadema sio mali ya mtu binafsi ,ni mali ya watanzania wote, na hakuna mtu mkubwa kupita Chama.
Asietaka ukombozi wa nchi October atupishe.

wewe jamaa si ni gamba lililokubuhu au? mambo ya Chadema na wewe wapi na wapi?>
 
WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ? Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.

Ata yeye amemtukana Mungu kwa kutupa bible na kukimbilia tamaa ya mwili acha nayeye apewe dawa...
Teh Teh Slaa atajuta kuwafahamu Bavicha..
 
Teh teh teh!!

Laki si Pesa, anatoa tamko kuwa Dr.Slaa awapishe kwenye chama chao Chadema.

Siasa hizi tutasikia mengi.

Vp Mkuu,
Ile ya kukamatwa China iliishia wapi ?
 
Team ya #Lowasa ndo.mnaongoza kwa kumkashifu Dr.Slaa bila kujua bila sapoti ya Dr.Slaa hakuna ushindi kwa #Lowasa
 
Wana JF.
Kesho vikao vya Kamati Kuu ya Chadema vinaendelea ili kupanga mikakati ya kuhakikisha Ukawa inapata ushindi wa kishindo October .
Ili mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi mkuu october iende vizuri, wajumbe wote wanatakiwa wawepo akiwemo Katibu Mkuu wa Chama Dr. Wilbroad Slaa ambae mpaka sasa hivi hajulikani alipo, endapo Dr. Slaa hatahudhuria kikao kesho naomba Kamati ya Maadili imchukulie hatua kali za kinidhamu ili kulinda kanuni na maadili ya chama.
Chadema sio mali ya mtu binafsi ,ni mali ya watanzania wote, na hakuna mtu mkubwa kupita Chama.
Asietaka ukombozi wa nchi October atupishe.

Nani kakuambia CHADEMA ni mali ya Watanzania wote??? CHADEMA ni mali ya Mtei ambaye na yeye ameshamuuzia Fisadi Lowassa. Sasa hivi CHADEMA ni mali ya Lowassa na marafiki zake. CHADEMA ishauzwa tayari. Wewe endelea kujidanganya eti CHADEMA ni mali ya Watanzania. Kalaga baho!
 
Back
Top Bottom