Gor
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,791
- 850
Dr. wanasiasa wa kitanzania wapumbavu sana.....hamuwezi kuiondoa ccm mpaka mfanye haya 1) Muwa wamoja kama ukawa vile 2) kiugawa ccm vipande vipande.Hivyo lengo kuu ni kuiondoa ccm kwa njia yoyote ile........hivyo mwanasiasa anaye susa hajui au hana historia jinsi kanu ilivyoondolewa.......mjue hakuna wakati mzuri wa kuiondoa ccm kama wakati huu...ni umakini wenu,umoja wenu ndio silaha......Huyu daktari amekuwa akitunwa kwa uadilifu na misimamo yake thabiti.Hili kundi la lowasa halithamini hata mchango wa slaa.Nawashauri wamwache slaa wao kama wanajiamini waendelee na harakati zao, heshima ni utu c pesa. But history will one day talk slaa.