Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

Nani kakuambia CHADEMA ni mali ya Watanzania wote??? CHADEMA ni mali ya Mtei ambaye na yeye ameshamuuzia Fisadi Lowassa. Sasa hivi CHADEMA ni mali ya Lowassa na marafiki zake. CHADEMA ishauzwa tayari. Wewe endelea kujidanganya eti CHADEMA ni mali ya Watanzania. Kalaga baho!

Wewe ndiye unajidanganya na Umekariri Fitna za za Akina Nape na ccm Yao kudanganya watu waamuni eti cdm imeuzwa ? Nani ataamini Uzushi huu ? Tambua kuwa Watanzani wa sasa wanajielewa si wajinga si wepesi wa kuamini wala kukariri uongo wa Akina Nape na wenzao, watanzania wa sasa wameamka wanajua kuwa hii story ya kutungwa tu ili kumchonganisha Lowasa na wanachama wa chadema.
 
Ukikatwa ccm unaenda chadema ukikatwa chadema unaenda act huko nako wakikukata unaenda wapi..? Hizi ndiyo siasa za bongo..Mungu ibariki afrika na ibarikie Tanzania kuvuka kwa Amani mwaka huu wa uchaguzi 2015

Kuna kukatwa Kwa njia za haki na kuna kukatwa Kwa njia Haramu pasipo kuangalia matakwa ya wananchi , chadema wanapokea wale tu waliokatwa kienyeji Kwa hila na Fitna lakini wananchi wanawakunali na kuwapenda, si kila aliyekatwa atakuja chadema , huku wanaangalia vile vichwa vinavyouzika tu wale wasiouzika waende TLP au ACT vyama rafiki wa ccm .
 
Dr slaa yupo lakini Kwa sasa yupo na Nape na Membe wamemficha kwao wanamhesabia Dola nyingi toka kwenye yale mapesa lundo ya Marehemu Gadafi kisha watamsaidia namna ya kutorokea italy mafichoni au hata marekani , ccm wapo busy wanabuni mbinu za kuwafarakanisha Ukawa huu ni Mgodi mkubwa wengi watavuna pesa nyingi kupitia huu Mladi waliobuni yaani bajeti ya mabilioni ya kuwachakaza wapinzani hizo pesa zitakuwa zinapitia mikononi mwa Nape anapiga cha juu kabla ya kwenda Kwa waliyemkusudia, Nape anasali usiku na mchani Dili litiki Apate pesa Kwa mgongo huo wa kuwavuruga Upinzani
 
Jamani mjue kuwa yule ni Padre do kaweka mfungo na kajifungia. Kuna ule mfungo wenyewe wakatoliki huwa ukifungu huruhusiwi kuongea na mtu

Kafungiwa sehemu na Membe na Nape wanajipanga kusafirisha kwenda nje ya Nchi ili iwe Kama wamewabomoa Ukawa na kuharibu umoja wao, ccm Kwa kweli
 
CCM wao badala ya kukaa na kubuni njia za kuleta Maendeleo ya kweli kwenye Nchi hii wapo kila siku kwenye vikao vya kuwavuruga Ukawa Aina hii ya Siasa ndiyo imepelekea ccm kutawala milele maana sasa wamemteka Slaa wapo mbioni kumteka Lipumba na mbatia ambao Nape anajua atatengeneza pesa nyingi kupitia humo humo kwenye Fitna za kuwagawanya Upinzani .
 
Mwaka huu Nape atakuwa tajiri Mkubwa sana maana pesa iliyoomba Kwa Ajili ya oparation vuruga Ukawa ni kubwa mno na tayari wameanza na Slaa huko atapewa cha juu kisha ataelekea kwa Lipumba kabla ya mbatia na makaidi .
 
Chadema mnakubali makapi kuwa wanaendesha gari la ukawa? Nilitegemea wao wakae viti vya nyuma
 
Wana JF.
Kesho vikao vya Kamati Kuu ya Chadema vinaendelea ili kupanga mikakati ya kuhakikisha Ukawa inapata ushindi wa kishindo October .
Ili mikakati ya ushindi kwenye uchaguzi mkuu october iende vizuri, wajumbe wote wanatakiwa wawepo akiwemo Katibu Mkuu wa Chama Dr. Wilbroad Slaa ambae mpaka sasa hivi hajulikani alipo, endapo Dr. Slaa hatahudhuria kikao kesho naomba Kamati ya Maadili imchukulie hatua kali za kinidhamu ili kulinda kanuni na maadili ya chama.
Chadema sio mali ya mtu binafsi ,ni mali ya watanzania wote, na hakuna mtu mkubwa kupita Chama.
Asietaka ukombozi wa nchi October atupishe.
Mumekaribishwa tu jana leo mnajifanya kuanza mihemuko yenu,si ajabu ndio sababu mlishindwa huko mlikotoka nyie ni watu wa kuja tu,sidhani kama umesoma hata ukurasa mmoja wa katiba ya Chadema.Mambo yenu myaache huko huko mlikokuwa huku ni sehemu nyingine,kumbuka nyie mumeomba hifadhi bado ni wakimbizi tu.
 
Mzee Slaa apumzike sasa, kama amefikia hatua ya kufichwa na Mchumba wake, hafai huyo!
Nyie wakimbizi ebu acheni upuuzi wenu ,mumekaribishwa tu jana tena kwa mlango wa uani leo ndio mumekuwa na mihemuko,hiyo mihemuko mbona hukuitoa kwa katibu wenu huko mlikotoka.
 
Jamani mjue kuwa yule ni Padre so kaweka mfungo na kajifungia. Kuna ule mfungo wenyewe wakatoliki huwa ukifungu huruhusiwi kuongea na mtu
 
Jamani mjue kuwa yule ni Padre do kaweka mfungo na kajifungia. Kuna ule mfungo wenyewe wakatoliki huwa ukifungu huruhusiwi kuongea na mtu
 
WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ? Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.

Nae Anatakiwa Ajiheshimu, Haiwezekani Sisi Tunapiga Makelele Mtaani Kushawishi Wanac.C.M Wajiunge Chadema, Tunawapata Halafu Yeye Anawakataa Ni Yupi Msafi Ndani Ya C.C.M? Hv Ukimuopoa Samaki Baharini Utamkaanga Hvy Hvy Bila Kumuosha? Si Itakubidi Umsafishe Kwanza Utoe Uchafu? Hvy Hvy Ndani Ya C.C.M Ni Ngumu Kupata Mtu Msafi Sawa Na Ugumu Wa Kupata Mwanamke Bikira Kwenye Wodi Ya Wazazi.
 
WanaJF na hasa wana CHADEMA wenzangu tuwe makini sana na maandishi yetu hapa jukwaani kuhusu huu ukimya wa DR SLAA, tafadhalini sana, DR ni kiongozi mkubwa sana anastahili kuheshimiwa, wale wenye uchungu na CHADEMA na tunaofahamu tulipotoka hatuwezi kumkashifu huyu mtu, kwa lipi hasa ? Acheni kabisa jambo hilo, sikupenda kuandika jambo hili maana linaweza kuendeleza malumbano zaidi lakini nimelazimika kuliweka kama angalizo.
de slaa na familia yake waheshimiwe hakuna sababu ya kumtukana yeye wala mkewe jamani wanachadema tuhakikishe hatusahau kazi iliyotukuka
 
Amani iwe nanyi wanaJF!
Ndugu zangu wanaJF na wapenzi wa mabadiliko nchini kwa ujumla....!
Hivi kama Dr Slaa amehudhuria vikao vyote vya kamati kuu ya chama na waliafiki na kuridhia kumpokea ndugu EDWARD LOWASA,Wakaweka msharti ya kumpokea ikiwemo ni pamoja na kukuueleza umma ukweli juu ya kampuni hewa ya Richmondi na sababu ya kujiuzulu kwake uwaziri mkuu mwaka 2008.
Lowassa alikubaliana na masharti hayo na akatekeleza! Je, Dr Slaa kama mtu mwenye akili timamu na uelewa wake tunavyoujua alikua na sababu ipi ya msingi kususia wenzake! Kama ingekua ni kweli si angeiangikia kamati kuu barua juu ya kutokukubaliana na suala hilo?
Ninyi msiokua wanachadema nani kawapa mamlaka kujua na kumfuatilia Dr Slaa anafanya nini na yuko wapi? Anawahusu nini? Je, kama mwenyekiti anawaambieni anawasiliana naye mnataka nini zaidi? Mnajua wanawasiliana nini viongozi hao wakuu wa CHADEMA!
Mimi sio msemaji wa CHADEMA lakini sioni sababu ya msingi ya Dr Slaa kususa.
 
the wheels on the vehicles goes round and round all day long
 
Dr. lazima aonyeshe kuwa yeye ni kiongozi na ndiye mtendaji wa chama.Nguvu ya LOWASSA NI KUBWA SANA NA UJIO WAKE HAKIKA IMEFUNGUA PAZIA ya mabadiliko.Hofu zimeondoka sasa.....vipi kiongozim anayesusa!.Je si vikao vilifanyika?.Lowassa ni jembe na angesimaa ccm hakika upinzani hata muungane wapi mngepigwa magoli kibao...sasa lulu iko kwenu..tumieni lulu mnufaike.....lowassa akishinda urais si utakuwa waziri,balozi,katibu mkuu jamani vyeo kibao!@
 
Moja ya misimamo yake ambayo Dr Slaa hua anasisitiza Mara kwa mara ni pamoja na kupuuza upuuzi wowote unaoenezwa kwenye media juu yake na CHADEMA kwa ujumla! Alishawahi kusema ni bora kupuuzia na kukaa kimya na hiyo ndio dawa ya wapinzani wake.
Ni mshangao sana kuona wale wanaomjua vizuri Dr Slaa wako kimya hawana wasi wasi lakini wanaCCM ndio wanahangaika sana wakidhani jambo dogo kama hili lina faida kwao.wanapoteza Muda huku wenzao wako busy kupanga mikakati ya ushindi na wamemsahau kabisa kumnadi mgombea wao, hayupo kabisa amepotea kwenye media utafikiri sio mgombea wa nafasi kubwa kama ya Urais.
 
Back
Top Bottom