Hayo ni maneno ya mkosaji hivi wewe una nini cha kujivunia ukaji "compare" na "achievements" za Jakaya Mrisho Khalfan Kikwete? labda kashfa za kutembea na vichupa vya sumu. Hilo nalo si dogo.
Mwenzangu na mie hata ujumbe wa nyumba kumi hauna, halafu eti una ubavu wa kumkejeli mtu ambae kafika cheo cha mwisho kabisa Tanzania. Ultimate Power. Amabachi wewe hata ndotoni mwako hakiji. Kitoke wapi?
Ungekuwa kijana mwenye maana na "productive" na majisifu yote uliyokuwa nayo ungekuwa na cha maana cha kufanya zaidi ya wewe kutwa kucha kukaa hapa JF ulumbane na sisi tuliokuwa semi retired na ma house wife.
Vijana wenzako "productive" hata hao wa chadema unawaona humu mara kwa mara? kina Zitto, Mnyika, Lema, Mbowe, Nassari? mie nakuona wewe usiyejijuwa usiyejitambuwa, huko hauko kule hauko, kutwa kucha tunashinda tunakesha wote humu. Unanini weyee? Unanchekesha, haaa!
Unajua kwa nini Mwanaasha Kikwete alifeli Form Four, tena peke yake? Alirithi akili za baba yake!!