Mwathirika
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 207
- 32
Nadhani Dr. Slaa hapa kakurupuka naye anasema mbona yeye kashindwa kushughulikia mambo yake ya ndani?? Mimi kwa uelewa wangu hii aimzuii kuongelea amani ya east afrika...mimi nadhani si kila kitu tupinge usalama wa east afrika una maana usalama wa tanzania...
J.K alikua sawa tu mtutu ukishindikana haina budi kurudi mezani.
I stand to be corrected
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
hakuwa sahihi kwa muktadha wa sababu yako, bado anatakiwa kufanyia kazi yanayotokea ndani ili kuwepo credibility. Ingawa Kagame amekusanya mambo mengi ktjaja reaction yake