pinno
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,213
- 1,233
Waulize kina Kitenge Mwaipaya na wenzao watakuambia yule mzee ni mtu wa aina gani.. wewe ukiishia kutazama upara wake kwenye TV tu hutamuelewa mnyonyaji yule na mwizi yule aliyeichoma moto benki kuu enzi zake
Hao akina Mwaipaya na Kitenge wana lipi la kusema? Aliwalazimisha wafanye kazi kwake? Kawafunga? Ni ujinga kwa mtu kulalamika kuwa unapunjwa kimaslahi ktk uchumi huu wa soko huria, àmbapo mtu unaweza ukajiongeza na kupata makubwa zaid kuliko kukaa hapo unamlalamikia bosi.
Pili hilo la kuunguza BoT sijiu lipoje kwa kweli ,lakin nadhan kama uthibitisho Upo angekamatwa ,hivyo huu pia ni uongo kama uongo mwingine tu wa watu wa aina ya Prof Muhongo.
By the way nasubiria party ya TPSF ya kujipongeza maana huyu Le Profeseri alitukwaza wajasiriamali, wafanyabiashara na wawekezaji wazawa wengi sana.