Sophist
Platinum Member
- Mar 26, 2009
- 4,486
- 3,411
Tafadhali tuwekee hapa, pendekezo husika la Bunge tulidadavuekabla ya kujiaminisha.Watanzania wote hivi sana macho yetu, masikio yetu na akili zetu zipo magogoni jijini Dar es Salaam baada ya bunge kupitisha maazimio ya kuwang'oa kwenye mamlaka waliopo kwenye skendo ya ESCROW.
Kati ya wengi Prof. Muhongo ni mmoja wapo. Kibarua cha Muhongo tunategemea kitaota nyasi very soon.
SWALI, JE? Muhongo ataenda kuuza Juisi? maana watanzania hatuwezi kufanya uwekezaji mkubwa.
Hata kama atauza juisi, je? atauza kufikia level ya AZAM au ataanza kuuza juisi ya miwa BUGURUNI?
By: MZUNGU MZEE