Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Profesa Muhongo sasa ameshakuwa historia!
Aliingia na gia ya kuwadharau wazalendo na kujiweka mbele kuwakumbatia "wawekezaji" wengine ndio hao kina Sing Seth wa PAP, matapeli ya kimataifa.
Sasa kina Seth wamemuingiza chaka, linalotishia kumpeleka Segerea!

Reginald zmengi alipiga kelele san juu ya hili, kutukanwa sana ila wachache walimwelewa.
Wengine tulimwelewa!
Wakati Mengi analisha vilema na masikini, tazama waliofaidika na miamala ya fedha za Escrow account.

Hivyo basi kwa kupiga jaramba mapema juu ya ukosefu wa uzalendo wa Muhongo, sasa umethibitika.
Hongera Reginald Mengi.
 
Mtoa mada inaelekea unamfuatilia sana Mengi, lakini kwa jinsi Muhongo alivyowaudhi wananchi wengi, hakuna anayemhurumia katika sakata hili.
 
Aawapi huyu gamba!!? Sema siku hizi naona magamba mengi yamebadilika tangu ishu ya escrow yamekua na akili.
Hebu tuambie ju ya gamba anependa kuibiwa mchana kweupe.
Tatizo lako husikilizi vizuri, chama tawala kweli kimefedheheshwa na skandali hii, na Wassira kasema Bungeni kuwa CCM haina mpango na wezi, watatoswa tu!
 
ni ngumu sana kuwapata watu kama wakina mengi lakin ni rahisi kuwapata watu dizain ya prof muhongo katika nchi zetu za afrika

Waulize kina Kitenge Mwaipaya na wenzao watakuambia yule mzee ni mtu wa aina gani.. wewe ukiishia kutazama upara wake kwenye TV tu hutamuelewa mnyonyaji yule na mwizi yule aliyeichoma moto benki kuu enzi zake
 
kwa kweli muhongo amejitahidi amesambaza sana umeme vijijini
_lakini jana zzk kasema wizara yake ndio ina hati mbaya kwa madeni alafu nikaja kumdharau alivyofanikisha kuituibia mabilioni alafu wakina ashunta mshana wanampigia makofi
 
Watanzania wote hivi sana macho yetu, masikio yetu na akili zetu zipo magogoni jijini Dar es Salaam baada ya bunge kupitisha maazimio ya kuwang'oa kwenye mamlaka waliopo kwenye skendo ya ESCROW.

Kati ya wengi Prof. Muhongo ni mmoja wapo. Kibarua cha Muhongo tunategemea kitaota nyasi very soon.

SWALI, JE? Muhongo ataenda kuuza Juisi? maana watanzania hatuwezi kufanya uwekezaji mkubwa.
Hata kama atauza juisi, je? atauza kufikia level ya AZAM au ataanza kuuza juisi ya miwa BUGURUNI?

By: MZUNGU MZEE
 
Last edited by a moderator:
kwa kweli muhongo amejitahidi amesambaza sana umeme vijijini
_lakini jana zzk kasema wizara yake ndio ina hati mbaya kwa madeni alafu nikaja kumdharau alivyofanikisha kuituibia mabilioni alafu wakina ashunta mshana wanampigia makofi

Muhongo anatakiwa kushtakiwa ICC
 
kwa kweli muhongo amejitahidi amesambaza sana umeme vijijini
_lakini jana zzk kasema wizara yake ndio ina hati mbaya kwa madeni alafu nikaja kumdharau alivyofanikisha kuituibia mabilioni alafu wakina ashunta mshana wanampigia makofi
Mkuu usijejidanganya kuwa kusambaza umeme ni kazi ya Muhongo.
Mpango huo ni wa Millenium Challenge unaofadhiliwa na serikali ya Marekani, na sasa umesitishwa kutokana na wizi huo wa Escrow account, na muhusika mkuu ni Muhongo.

Huo mradi wa Millenium Challenge ulianza hata kabla Muhongo hajapewa kibarua pale wizarani.
 
Profesa Muhongo sasa ameshakuwa historia!
Aliingia na gia ya kuwadharau wazalendo na kujiweka mbele kuwakumbatia "wawekezaji" wengine ndio hao kina Sing Seth wa PAP, matapeli ya kimataifa.
Sasa kina Seth wamemuingiza chaka, linalotishia kumpeleka Segerea!

Reginald zmengi alipiga kelele san juu ya hili, kutukanwa sana ila wachache walimwelewa.
Wengine tulimwelewa!
Wakati Mengi analisha vilema na masikini, tazama waliofaidika na miamala ya fedha za Escrow account.

Hivyo basi kwa kupiga jaramba mapema juu ya ukosefu wa uzalendo wa Muhongo, sasa umethibitika.
Hongera Reginald Mengi.

Ha ha ha haaaaa alikua anacheza na wazee wamujini alifikiri kila MTU mwanafunzi Wa miamba akacheze na miamba sasa......
 
Wassira kasema Bungeni kuwa CCM haina mpango na wezi, watatoswa tu!

Mbona wenye chama Nnauye na Kinana kwa nyakati tofauti washasema na hakuna lolote liliotokea...

Ona magamba yanazidi kuwaota na hamjivui tena bali yanazidi kuwa sugu na muda si mrefu mtakua kama kobe...
 
Usilinganishe chama tawala na zile saccos zenu.
Sisi hapa ndo wenye chama-wanachama.
 
Hivi hawa wahindi nani anawakaribisha

matapeli wakubwa

kuanzia TRL had IPTL
 
Profesa Muhongo sasa ameshakuwa historia!
Aliingia na gia ya kuwadharau wazalendo na kujiweka mbele kuwakumbatia "wawekezaji" wengineu ndio hao kina Sing Seth wa PAP, matapeli ya kimataifa.
Sasa kina Seth wamemuingiza chaka, linalotishia kumpeleka Segerea!

Reginald zmengi alipiga kelele san juu ya hili, kutukanwa sana ila wachache walimwelewa.
Wengine tulimwelewa!
Wakati Mengi analisha vilema na masikini, tazama waliofaidika na miamala ya fedha za Escrow account.

Hivyo basi kwa kupiga jaramba mapema juu ya ukosefu wa uzalendo wa Muhongo, sasa umethibitika.
Hongera Reginald Mengi.
Ukiwa msafi utoangea kweli daima.. suala hili lioneshwa Kwa umakini sana na vyombo vya IPP media.. hata hivyo muhongo arudi kwenye miamba alikozoea huku duniani alikuwa ugenini tu.
 
Back
Top Bottom