hahaha!! lazima atumie airtime kama kawaida kuongezea hilo suala chumvi.
Mengi si mstaafi wala mtu Mwema kama wengi wanavyodhani, ni mtu mwenye michongo ya Hatari na Ukimkwamisha popote lazima amwage Pesa kwa wingi ni Mtu mpenda ligi sana, hata 1995 ndiye alimfitini Lowasa kwa Nyerere baada ya kuwa wamegombana,Pia Masilingi akionja Visasi vya Mengi,aliwahi kumpiga mkwara chacha wangwe baada ya kuwatetea ZE comedy Wakati wanahamia TBC , aliwahi kukopa NBC akaanzisha viwanda vya sabuni nk, hakulipa Deni matokeo yake Bank iliungua na kupoteza ushahidi wote, amejaa maovu kibao kinyume na watu wanavyomfahamu, mfano kwa sasa anamtumia Sendeka kupenyeza chuki zake kwa mhongo baada ya kumnyima Vitalu vya Gesi. Kuwalisha walemavu na kuwanywesha ni mbinu yake ya kuficha Uovu wake.
Tumesikia mara kwa mara waziri wa Nishati na Madini, Prof. Sospeter Muhongo akimlaumu IPP Chairman, Dr. Reginald Mengi kuwa anang'ang'ania vitalu vya gesi na mafuta kumilikishwa kwa wazawa kwa kuwa ni dalali. Leo katika report ya PAC bungeni, Prof. Sospeter Muhongo ametajwa kama dalali kwa kuwa ndiye yeye aliyewakutanisha Harbinder Sigh Seth na James Rugemalira katika dili ya Tanesco. Dr. Mengi atasema nini kuhusu yaliyotokea?
![]()
![]()
Mengi ni freemason na franchise za fremason za media anazoe ndesha zinatumika ku support another freemason Standard Chartered Bank STBHK ambayo ndio inayumbisha akili za watu kwenye suala hili.
Jana VIP walitoa maelezo yao kwenye East African na kutupa mwanga juu ya kadhia hili.
Wameeleza wazi kuwa STBHK wamelekezwa na New york court kwamba madai yao yasikilizwe na mahakama za TZ only.
Pia wameeleza wazi kuwa escrow imeanzishwa kwa madhumuni ya kuweka malipo ya mwezi ya capacity charges ya IPTL kwa Tanesco.
In fact kila mwezi IPTL wana issue invoice kwa ajili ya charges hizo na Tanesco wanalipa kwenye escrow invoice husika.
Mgogoro wao ulipo isha kwa wabia wa Iptl kuuza kampuni zake .
Pia VIP wametueleza kuwa IPTL capacity charges zao ni za chini ikilinganishwa na kampuni nyengine zote zinazo uza umeme Tanesco.
Lakini kutokana na ushauri mbovu wa Mkono wame kuwa wakilalamikia makato hayo kuwa makubwa lakini haya hayatajwi.
Ukweli suala hili ni zito kisheria na bunge linaweza kuamua kwa shindikizo la makundi yanayo chukiana na wenye maslahi na mambo ya umeme na wengine wakitumiwa na kina freeman mengi ambao wao wanataka awekwe mtu ambaye atampa vitalu vya gesi bure ili ajitajirishe binafsi halafu apike pilau lake kwa walemavu ati anawasaidia.
Kwenye mahakama hawa iptl na pap na vip watapeta na tutarajie serikali kuja kulipa mabilioni ya fidia kama mwarabu wa dowans alivo shinda kesi zote.
Tuna furahia sasa hivi jazba za kisiasa lakin tujiandae kulipa zaidi.
Kuna wakati jazba kama hii ilimkumba mwalimu nyerere . Serikali iliuza kwa tenda meli yake ya ujamaa na ikanunuliwa na owner mpya akibadilisha jina na kuita LORD RAJPAR Mwalimu akashawishiwa hivi hivi inakuwaje mmeuza meli aahh na jamaa anaita lord meli yetu sijui upuuzi gani Mwalimu akaingia mkenge na kuamua kuitaifisha ...jamaa kaenda zake Swiss na makaratasi yake halali ya kununua ile meli akafungua kesi na zikakamatwa account zote za serukali na jamaa akalipwa mara mbili zaidi !!
Na leo wabunge wanashauri IPTL itaifishwe ...mawazo ya kijamaa ambayo ulimwengu wa sasa hayakubaliki...
Mengi si mstaafi wala mtu Mwema kama wengi wanavyodhani, ni mtu mwenye michongo ya Hatari na Ukimkwamisha popote lazima amwage Pesa kwa wingi ni Mtu mpenda ligi sana, hata 1995 ndiye alimfitini Lowasa kwa Nyerere baada ya kuwa wamegombana,Pia Masilingi akionja Visasi vya Mengi,aliwahi kumpiga mkwara chacha wangwe baada ya kuwatetea ZE comedy Wakati wanahamia TBC , aliwahi kukopa NBC akaanzisha viwanda vya sabuni nk, hakulipa Deni matokeo yake Bank iliungua na kupoteza ushahidi wote, amejaa maovu kibao kinyume na watu wanavyomfahamu, mfano kwa sasa anamtumia Sendeka kupenyeza chuki zake kwa mhongo baada ya kumnyima Vitalu vya Gesi. Kuwalisha walemavu na kuwanywesha ni mbinu yake ya kuficha Uovu wake.
Hao akina Mwaipaya na Kitenge wana lipi la kusema? Aliwalazimisha wafanye kazi kwake? Kawafunga? Ni ujinga kwa mtu kulalamika kuwa unapunjwa kimaslahi ktk uchumi huu wa soko huria, àmbapo mtu unaweza ukajiongeza na kupata makubwa zaid kuliko kukaa hapo unamlalamikia bosi.
Pili hilo la kuunguza BoT sijiu lipoje kwa kweli ,lakin nadhan kama uthibitisho Upo angekamatwa ,hivyo huu pia ni uongo kama uongo mwingine tu wa watu wa aina ya Prof Muhongo.
By the way nasubiria party ya TPSF ya kujipongeza maana huyu Le Profeseri alitukwaza wajasiriamali, wafanyabiashara na wawekezaji wazawa wengi sana.
umesahau MANJI a.k.a tajiri wa yanga...alidondokea pua...
Mkuu FMES,
Hapo ndipo tunapotofautiana. Siko hapa kuhubiri siasa za Bongo au za wapi, niko kuelezea kilicho haki na kisicho haki.
Kama tunataka kuleta mabadiliko Bongo, dawa ni moja tu, kuwa waumi wa haki na sheria zetu.
Vinginevyo mimi hayo ya siasa za Bongo simo. Nitaendelea kufanya mambo kwa kufuata yale ninayoyaamini bila kujali niko Bongo au Ulaya. Siko tayari kubadilika kama Kinyonga, that is not for me. Ndio msimamo wangu na ndivyo ninavyoishi. Kama wengine mnachagua tofauti, ndio binadamu tulivyo kila mtu ana akili zake.
Pole mkuu , maji yameshamwagia hayazoleki. Kitakachofanyika sasa ni kumshitaki PAP kwa kukwepa kodi ya mabilioni. Na hapo ndipo upenyo wa kuitaifisha utapatikana. Ukiongezea na Serikali ya CCM haitakuwa madarakani, hilo litafanikiwa tu.
Pap hajakwepa amesamehewa..sasa hapo ndo patamu zaidi...sheria sheria ni msumeno hata kwa bunge