Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Dr. Reginald Mengi vs Prof. Sospeter Muhongo: Nani ni Dalali?

Mengi si mstaafi wala mtu Mwema kama wengi wanavyodhani, ni mtu mwenye michongo ya Hatari na Ukimkwamisha popote lazima amwage Pesa kwa wingi ni Mtu mpenda ligi sana, hata 1995 ndiye alimfitini Lowasa kwa Nyerere baada ya kuwa wamegombana,Pia Masilingi akionja Visasi vya Mengi,aliwahi kumpiga mkwara chacha wangwe baada ya kuwatetea ZE comedy Wakati wanahamia TBC , aliwahi kukopa NBC akaanzisha viwanda vya sabuni nk, hakulipa Deni matokeo yake Bank iliungua na kupoteza ushahidi wote, amejaa maovu kibao kinyume na watu wanavyomfahamu, mfano kwa sasa anamtumia Sendeka kupenyeza chuki zake kwa mhongo baada ya kumnyima Vitalu vya Gesi.
Kuwalisha walemavu na kuwanywesha ni mbinu yake ya kuficha Uovu wake.

Kulisha walemavu chakula cha siku moja na kuonyesha kwenye TV wiki nzima ni sanaa, Bakheresa analisha maskini wengi na hajitangazi
 
Huyu Mzee ni kama Nabii Fulani, he has "powers from within", ukimtibua... safari!.


  1. Alianza na wamiliki wa DTV na CTN kuhusu haki za kuonyesha kombe la dunia, vituo vyote vimekufa.
  2. Alitibuana na Katibu Mkuu, Mambo ya Ndani, Silvanus Adel, Adel alimwaga unga wake!.
  3. Akatubuana na Gazeti la Mtanzania kutoa siri kuwa anadaiwa na mabeki, Mtanzania likafilisika hadi kuuzwa!.
  4. Akatibuana na Lowasa Mengi akiwa Mwenyekiti wa NEMCI, Lowasa akang'oka!.
  5. Alipishana kauli na Naibu waziri wa Viwanda na Biashara, Shamin Khan, shamim aling'olewa!
  6. Alipishana kauli na Masilingi, wakati wa "mchezo mchafu", Masilingi aling'olewa!.
  7. Alipishana kauli na Iddi Simba kwenye mambo ya Uzawa, Iddi Simba alimwagwa!.
  8. Alipishana kauli na Basil Mramba akiwa waziri wa fedha kuhusu kodi ya Jack Pot Bingo, Mramba aling'oka!.
  9. Alipishana kauli na Adam Malima, almanusura Adam, yangemkuta, Sitta akamuombea msamaha!, ndio salama yake!.
  10. Alipishana kauli na Tido kuhusu TV inayolipwa na kodi za wananchi kugombea matangazo na TV binafsi!, Tido aling'oka!.
  11. Akapisha kauli na Yusuph Manji, sasa Manji anafilisiwa!.
  12. Akapishana kauli na Waziri wa Mambo ya ndani, Masha, Masha kang'olewa!.
  13. Akaja Rostam Aziz, sasa ameikimbia nchi!,
  14. Alipishana kauli na Balozi wa Uingereza kwenye kashfa ya Silvadale!, Balozi wa Uingerezwa aliondoshwa!.
  15. Alipishana kauli na wandeshaji wa Kipindi cha "Kiti Moto", Kiti Moto kilikufa!
  16. Ndipo sasa amekuja Prof. Mhongo!.

Watu wa karibu na Mhongo, mshaurini atubu na kwenda kuangukia mapema, watu wa Mungu sio wa kuchezea!.

Vinginevyo!.

Pasco.

Sendeka huwa yupo nyuma ya Mengi kila anapokuwa hayupo Bungeni ni mpambe number one wa Mengi na sasa anatumika kupenyeza chuki zake kwa Mhongo Mengi kaapa atahakikisha mhongo anang'oka kwa gharama yeyote,Mengi ni mpenda ligi sana.
 
Kulisha walemavu chakula cha siku moja na kuonyesha kwenye TV wiki nzima ni sanaa, Bakheresa analisha maskini wengi na hajitangazi

Wafanyakazi kwenye makampuni yake wanalipwa mishahara ya ajabu sana, huyo Mzee ana vioja vingi Kama lilivyo jina lake
 
Namshauri mohongo arudi kwenye taaluma yake ya kupasua miamba.
 
Kulisha walemavu chakula cha siku moja na kuonyesha kwenye TV wiki nzima ni sanaa, Bakheresa analisha maskini wengi na hajitangazi
Hata biblia inasema tushindane katika kutenda mema na yanayompendeza Mungu.
Muhongo wako ametenda yepi ya kuwapendeza watanzania wa kawaida yeye binafsi?
 
Profesa Muhongo sasa
ameshakuwa historia!
Aliingia na gia ya kuwadharau wazalendo na kujiweka mbele kuwakumbatia
"wawekezaji" wengine ndio hao kina Sing Seth wa PAP, matapeli ya
kimataifa.
Sasa kina Seth wamemuingiza chaka, linalotishia kumpeleka Segerea!

Reginald zmengi alipiga kelele san juu ya hili, kutukanwa sana ila
wachache walimwelewa.
Wengine tulimwelewa!
Wakati Mengi analisha vilema na masikini, tazama waliofaidika na miamala
ya fedha za Escrow account.

Hivyo basi kwa kupiga jaramba mapema juu ya ukosefu wa uzalendo wa
Muhongo, sasa umethibitika.
Hongera Reginald Mengi.

mengi wa nin asiyelipa kodi!
 
Huyo muhongo jinga kabisa.

Akafie huko na mzoga wake uliwe na mbwa.

Mwizi mkubwa
 
Tatizo kubwa kwenye chama cha kidumu wengi wao nikujiona Miungu watu, sasa swali kwanini asilimia kubwa ufisadi unaanziaga huko?
 
"Mh. Spika, sijawahi kuona mtu muongo kama Prof. Mhongo" Tundu Lissu
 
Back
Top Bottom