DR NCHIMBI NA KANISA:
Makasiriko na matusi ya nini?
Are you a psychopath?
Unahangaika bure Kwa data ambazo ata ukigoogle unazipata.
Toa hizo data zako tuone, data zangu hazitegemei serikali ya Tz ambayo ata utabiri wa hali ya hewa inategemea data kutoka nje.

Kinachokusumbua ni poor exposure kuhusu global issues. Uko nje wanajua mpaka idadi ya wanyama wetu na rasilimali zetu bila ata ya kutegemea data za kupika toka serikalini ambazo haziaminiki kimataifa.

Kanisa kusajili kama NGO sio big deal, kila mtu mwenye akili timamu anajua nguvu ya katoliki ktk kutoa elimu, huduma za afya etc, kiasi kwamba taasisi zake ndio zinatoa huduma bora kuliko ata za serikali.

Wake the Fvck up! Clueless fool.
Wewe ni mjinga na mshamba sana.
 
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.

Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?

Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?

Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.

Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.

Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.

Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
 

Attachments

  • 6405238-eae1ceee959bf6fd97d9fb2eab102cc4.mp4
    9.2 MB
Hoja yako nini sasa?
Hii ndio hoja yako!?

Hizi ndio athari za kutochunga migongo, unakosa ata uwezo wa kutoa hoja unabaki kutukana.

Dudu Baya Yuko sahihi: Men, watch your back!
Dogo nimekuita mjinga na mshamba na naongezea mpumbavu kwasababu unafikiri uko well informed kumbe you're just ignorant vagabond.
 
Dogo nimekuita mjinga na mshamba na naongezea mpumbavu kwasababu unafikiri uko well informed kumbe you're just ignorant vagabond.
Kwani hoja yako ni nini hasa tuijadili?
Still you are not making a single point, you just spewing shits.

Insults are the sign of a man with the lowest IQ level and a bitter person.
And your obsession over my points are the sign of a person who has been hurted so much, I really pity your ass**le, something bad must have happened to you.
I pity your empty skull.
 
Back
Top Bottom