DR NCHIMBI NA KANISA:
Dr Emmanuel Nchimbi ni muuminifu sio tu wa muda mrefu lakini pia amekuwa mtiifu sana kwa kanisa katoliki(RC), ambalo ndilo lenye idadi kubwa zaidi ya waumini hapa Tanzania.

Sisi waumini wake tunapoona yanayomtokea Dr Nchimbi ambae mchango wake kwenye kanisa sio wa kutiliwa mashaka na pia ni mtu mwenye hadhi kubwa nchini, tunajiuliza na kujaa mashaka umuhimu wa sisi kutoa sadaka kwa kanisa uko wapi!?

Kama kwa mtu wa hadhi ya Dr Nchimbi kanisa halisimami nae, je sisi waumini tusio maarufu itakuwaje?

Kimsingi tunatoa sadaka kwa Mungu ili watumishi wake wapate wepesi wa kufanya kazi ya Mungu, maana yake pesa uishia kwenye matumizi ya wanadamu maana Mungu hatumii pesa hizo yeye mwenyewe.

Sasa kwa hii hali inayomkuta Dr Nchimbi na kanisa halimsaidii au linasimama na watesi wetu/mashetani maana yake umuhimu wa sisi kutoa sadaka haupo tena. Kama tukitoa maana yake hatumtolei Mungu tena maana sadaka zetu zinafanya kazi za kishetani.

Kukaa kimya ni kukaa upande wa watesi wetu, na kitendo hiki ni cha kishetani. Kufikia Xmas mwaka huu kama kanisa katoliki na makanisa mengine pamoja na waislam wataendelea kukaa kimya, nashauri waumini wote wakristo na wasio wakristo tusimame upande wa Mungu kwa kukataa kutoa sadaka ambazo zinafanya kazi za kishetani, yaani viongozi wake wanasimama na viongozi waovu wa serikalini.

Tukigoma kutoa sadaka kwa viongozi wa dini zote, hakika ushirika wa viongozi wa dini na serikali utapungua na tutawawajibisha viongozi wetu wa kidini wasiwe machawa wa mifumo kandamizi.
Mm naona Emmanuel Nchimbi (Ph D) anafaa sana kuwa rais. Mwenyezi Mungu amrehemie huko alipo
 
Ya kwako ni mbovu zaidi.
Ngoja nikupe ushauri'
Nenda kawaone hawa wawili ili huyo Nchimbi arudi kama unavyohimiza wewe. Maombi yako hata hujui pa kuyaelekeza?
Kamhimize "Mungu" unayemwabudu wewe amrudishe Nchimbi, au kwa urahisi zaidi umedai unatoa zaka kwa viongozi wa dini wakufanyie hayo unayotaka wewe; sasa fanya hivi: achana na kulipa kodi, siyo kutoa zaka Kawaeleze hao unaowapa kodi zako unataka Nchimbi arudi haraka la sivyo utawanyima kodi yako.

Halafu unajiona unayo IQ, my Foot!
..hahitaji kumhimiza Mungu kwa hili, kila kitu kiko wazi kwa yeyote anayejua thamani ya ukristo..
 
Wakatoliki pigeni mbiu, jpili ya kesho lazima nchimbi ashiriki ibada km sehemu/kiungo cha mwili wa kristo..asipoonekana wakatoliki wote msimame nje ya makanisa kutoa ujumbe kwa waliomuondoa kazini na kumfuta uanachama wa chama chake kujibu nchimbi yuko wapi..! Kiungo kimoja kwenye mwili wa Kristo kikiumia, mwili wote unaumia..! Hili si suala la mababa Askofu, ni suala la kanisa..!
Kanisa/waumini ni mwili wa Kristo.
 
Ndg, Kwanza asante kwa kuongea jambo hili kwa uwazi..hebu tuambizane ukweli tu, msimamo wa mababa Askofu kupitia TEC dhidi ya udhalimu na ukandamizaji wa serikali dhidi ya wananchi haujulikani..? Ni lini WAUMINI WAKATOLIKI wamejitokeza kuunga mkono msimamo huo hadharani..? Nani mwenye mapungufu kati ya waumini na maaskofu ktk kukemea maovu na kutetea haki..? Hebu pima ushiriki wa waumini wakatoliki kwenye matamasha na sherehe..kwa nini huoni kitu km hicho linapokuja suala la kukemea UOVU..?
SWALI HILI NAOMBA WAUMINI WAKATOLIKI WAJIBU..kama huwezi kumtetea jirani na ndugu yako unayemuona na kumfahamu km Nchimbi anapoteswa na kuumizwa..JE, UTAWEZA KUMTETEA KRISTO AMBAYE HUJAWAHI KUMUONA NA HUMJUI..? ukipata jibu jiulize, ushiriki wako misa, pamoja na matoleo ya sadaka na UKRISTO kwa ujumla una maana yoyote kwako..? TAFAKARI!
Makanisani na nyumba za ibada wengi wanaenda kwa mazoea,kwa sasa nyumba za ibada zimechakachuliwa sana kwa kuweka pesa/mali mbele.
Yaliyo ya kaisari/kaisari hivi sasa ndio yanahubiriwa madhabahuni 💔
Njoo ufunguliwe kiuchumi,kiafya haya ndio trends🙌
 
Wachana na mambo ya dini au hata taasisi zinazojinasibu ni watetezi wa haki za binadamu,mimi nilichothibitisha watanzania ni wabinafsi hakuna hata familia moja iliyoziomba mamlaka miili ya ndugu zao waliotangulia hata kwa kauli za kunyenyekea na vilio kama tulivyo waona mama Henche na Slow slow kipindi cha nyuma.
Sisi ni wabinafsi kupitiliza na nashukuru hili nililiona miaka ya mwanzo kabisa ya ujana wangu,mambo ya kutetea umma nilishayaweka pembeni kila ntu afe na shida zake!!
 
"Stop foolish nonsense" what kind of grammar is this?
Your poor grammar shows how illiterate person you are.

Anyway just to rephrase my point: the church has what it takes to find Dr Nchimbi, it has mechanism, facilities and international support. And basically it's their duty to stand up for their members.

I play my part here to find Nchimbi by alarming the church to stand up for Nchimbi.
I repeat, you're very foolish. How many people the church has ever found in country or elsewhere? Keep your ignorance to yourself and your family. You know nothing!
 
I repeat, you're very foolish. How many people the church has ever found in country or elsewhere? Keep your ignorance to yourself and your family. You know nothing!
Tanzania population as per Year 2026 is 73 million approximately, among which the christians are 63%, Muslims are only 21%, others make 6%

Although RC remain the most influential, popular,the richest dominion in Tanzania and most HRs defender in Tz, all christians have the same responsibility to their congregations.

Why the number of Christians in the church irritate your ass so much? Are you a Muslim? You are welcome to defend HRs in Tz too.
 
Tanzania population as per Year 2026 is 73 million approximately, among which the christians are 63%, Muslims are only 21%, others make 6%

Although RC remain the most influential, popular,the richest dominion in Tanzania and most HRs defender in Tz, all christians have the same responsibility to their congregations.

Why the number of Christians in the church irritate your ass so much? Are you a Muslim? You are welcome to defend HRs in Tz too.
Tanzania haijawahi kufanya sensa ya idadi ya waumini kwa zaidi ya miaka hamsini. Wewe umeitoa wapi?
Au ndio ninyi wajinga wachache mliobaki kwenye kuamini Kanisa Katoliki lina nguvu na mkiulizwa nguvu gani hamna cha kujibu mnabaki tuko wengi! Majinga kabisa!

Kwa taarifa yako, Kanisa Katoliki limesajiliwa Serikalini kama NGO tu! Haina tofauti na NGO zile zinazotoa vilainishi. Zote zimesajiliwa daftari Moja! Daaaadeki!
 
Kama haujaelewa hoja nyepesi, kapime IQ level yako mkuu.

Hoja hapa ni kwamba sadaka tunazotoa matumizi yake yanapaswa kuwa ya kazi ya Mungu. Kazi ya Mungu Kwa mwanadamu ni ustawi wa mwanadamu kiroho na kimwili.

Kama sadaka haifanyi kazi ya Mungu na inafanya kazi ya shetani, hiyo sadaka tunakuwa tumemtolea shetani maana kazi ya shetani ni kuangamiza, kuua, kuteka etc.
Viongozi wa dini hawapaswi kusimama upande wa shetani uku wanatumia sadaka zetu Kwa kazi za shetani. Simple.
Sadaka ziendelee tu mkuu, acha kutegea
 
..hahitaji kumhimiza Mungu kwa hili, kila kitu kiko wazi kwa yeyote anayejua thamani ya ukristo..
Sasa huyo unayemjibia, thamani hiyo haijui, ndiyo maana kaleta hoja ya kipuuzi kama hiyo, na mimi nimemjibu kwa kujuwa kuwa haijui hiyo thamani unayoizungumzia wewe.
 
Tanzania haijawahi kufanya sensa ya idadi ya waumini kwa zaidi ya miaka hamsini. Wewe umeitoa wapi?
Au ndio ninyi wajinga wachache mliobaki kwenye kuamini Kanisa Katoliki lina nguvu na mkiulizwa nguvu gani hamna cha kujibu mnabaki tuko wengi! Majinga kabisa!

Kwa taarifa yako, Kanisa Katoliki limesajiliwa Serikalini kama NGO tu! Haina tofauti na NGO zile zinazotoa vilainishi. Zote zimesajiliwa daftari Moja! Daaaadeki!
Makasiriko na matusi ya nini?
Are you a psychopath?
Unahangaika bure Kwa data ambazo ata ukigoogle unazipata.
Toa hizo data zako tuone, data zangu hazitegemei serikali ya Tz ambayo ata utabiri wa hali ya hewa inategemea data kutoka nje.

Kinachokusumbua ni poor exposure kuhusu global issues. Uko nje wanajua mpaka idadi ya wanyama wetu na rasilimali zetu bila ata ya kutegemea data za kupika toka serikalini ambazo haziaminiki kimataifa.

Kanisa kusajili kama NGO sio big deal, kila mtu mwenye akili timamu anajua nguvu ya katoliki ktk kutoa elimu, huduma za afya etc, kiasi kwamba taasisi zake ndio zinatoa huduma bora kuliko ata za serikali.

Wake the Fvck up! Clueless fool.
 
Back
Top Bottom