Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Mwanagenzi ni mtu anayejifunza stadi fulani chini ya mwalimu.

Kauliza genzi sio mwanagenzi


* Pia, si lazima awe anajifunza chini ya mwalimu. Hata akijifunza mwenyewe tu anatambulika kama mwanagenzi.

Na mwanagenzi inaweza kumaanisha mwanamke ambae ni mjamzito kwa mara ya kwanza pia

Ahsante
 
Mkuu Ritz nadhani Kitila alipitiwa tu kwa hilo, mtoto aliyekufa kwa HIV/AIDS ni wa Mzee Nelson Mandela aitwaye [FONT=Arial, Helvetica, sans-serif]MAKGATHO Mandela[/FONT].Hata hivyo, hoja yake bado ni valid na nzito maana Thabo Mbeki ni controversial figure kwenye HIV/AIDS. Ana historia tata sana kuhusu ugonjwa huu na atabaki kuwa kwenye historia. Jaribu kupitia hii link kidogo uone utata na misimamo ya Mbeki kuhusu HIV...Thabo Mbeki – Journ-AIDS
 
Last edited by a moderator:
Mkuu eti Hilo ni Jembe la CCM Online ha ha ha yeye anauliza swali akirefer Uzushi na wakati Dr. Kitila ameshafanya clarification
Mkuu,mie huwa napata taabu sana nikiwa natafakari uwezo wa kujenga hoja wa haya majembe ya CCM,nikianzia na huyu kiongozi wao Ritz,Rejao,Zomba,Tume ya Katiba,Chama na wengine,hebu wafuatilie,utakuja kila hoja dhidi ya Serikali au Uislam basi wao huacha hoja na kumuatack mtoa hoja wakimhisha na CDM hata kama CDM haijatajwa!
 
Mkuu Ritz nadhani Kitila alipitiwa tu kwa hilo, mtoto aliyekufa kwa HIV/AIDS ni wa Mzee Nelson Mandela aitwaye MAKGATHO Mandela.Hata hivyo, hoja yake bado ni valid na nzito maana Thabo Mbeki ni controversial figure kwenye HIV/AIDS. Ana historia tata sana kuhusu ugonjwa huu na atabaki kuwa kwenye historia. Jaribu kupitia hii link kidogo uone utata na misimamo ya Mbeki kuhusu HIV...Thabo Mbeki – Journ-AIDS

Mkuu WOWOWO Hakuna Sehemu Kitila Mkumbo amesema kwamba Kuna Mtu Huko Afrika ya Kusini amekufa kwa Ukimwi. Nasema Hakuna Dr. Kitila hakusema kwamba Mtoto wa Mbeki amekufa kwa Ukimwi

Magamba acheni Propaganda Mbuzi
 
Last edited by a moderator:
Mkuu,mie huwa napata taabu sana nikiwa natafakari uwezo wa kujenga hoja wa haya majembe ya CCM,nikianzia na huyu kiongozi wao Ritz,Rejao,Zomba,Tume ya Katiba,Chama na wengine,hebu wafuatilie,utakuja kila hoja dhidi ya Serikali au Uislam basi wao huacha hoja na kumuatack mtoa hoja wakimhisha na CDM hata kama CDM haijatajwa!

Mkuu Ritz ni UAMSHO ana frustration maana hata huko CCM hawatakiwi

"Bye Bye UAMSHO" Nnape Nnauye
 
Last edited by a moderator:
Mkuu WOWOWO Hakuna Sehemu Kitila Mkumbo amesema kwamba Kuna Mtu Huko Afrika ya Kusini amekufa kwa Ukimwi. Nasema Hakuna Dr. Kitila hakusema kwamba Mtoto wa Mbeki amekufa kwa Ukimwi

Magamba acheni Propaganda Mbuzi

Nimekusoma Mkuu Albedonadhani mleta uzi katupotosha hapo juu.Otherwise Swali la Kitila kuhusu HIV/AIDS kwa Mbeki ni la msingi sana maana huyu mzee ana historia na misimamo ya pekee kuhusu ugonjwa huu
 
Last edited by a moderator:
Kama Kitila alijitambulisha kuwa ni Dr na lectural wa Dsm university, Bw. Mbeki atakuwa amesikitika sana- pinching kwa lugha nyepesi ni assault, attack, stabbing or beating. Pamoja na uelewa wake wa kutojua maswali gani ya kuuliza kwa muda gani, sehemu gani na kwa mtu gani bado nina mashaka na hiyo elimu yake hasa tangua aingie siasa za kupiga watu huko Singida. Utamkumbuishaje mzazi aliyefiwa na mwanae kwa swali la kipuuzi. Tuache ushabiki huyu Kitila inabidi apigwe mawe

Acha uvivu jomba,wewe ndio umemuatack Dr Kitila kabla hata ya kusoma vizuri swali kama lilivyoulizwa kwa usahihi na Dr,ulichofanya ni kusoma uzushi wa mleta mada halafu ukarukia kuchangia.Nakushauri upunguze papara,soma michango yote ya wadau wa uzi,kisha uchangie maana unaweza kukuta unachozungumza kumbe kimeshasemwa mara nyingi katika post hiyohiyo,Haya anza sasa safari ya kupitia kila post ktk uzi huu,hapo ndipo utajidharau!
 
Mimi lazima nimfunze kwa kumtilisha irabu ili asisahau siku nyingine;

Bwana Mkuu wa Chuo, genzi kwenye Mkurugenzi ina maana gani kwani?

Au kama hilo ni gumu, Mkurugenzi maana yake nini?

Mkurugenzi ni mtu ambaye ni kiongozi.
 
Kauliza genzi sio mwanagenzi


* Pia, si lazima awe anajifunza chini ya mwalimu. Hata akijifunza mwenyewe tu anatambulika kama mwanagenzi.

Na mwanagenzi inaweza kumaanisha mwanamke ambae ni mjamzito kwa mara ya kwanza pia

Ahsante

nimekwisha kupata Gaijin
 
Last edited by a moderator:
tunapokuwa kwenye kongamano lolote ni sehemu ya kujifunza kwa kila aliyepo pale as long as mtu apate kitu kipya asichokijua.
Kama ni kweli Mbeki alisema ukimwi unasabishwa ba umaskini ni basi iyo 'Mbeki School of thought', sasa kama ni kweli Dr. Kilita ameuliza swali hilo ni sahihi kabisa kwani huenda jibu la Mbeki lingetoa muendelezo wa his school of thought ama angeifuta iyo thought yake na hapo inakua ni kitu kipya kabisa kwa wanaopenda kujifunza.

still personal reference ingekuja kama follow up Q na siyo leading Q. Anyway mkuu nafikiri tumekubaliana kutokukubaliana kistaarabu na hii kitu cha kawaida kabisa kwa great thinkers.
 
Sijui ni mimi au Kitilya ambaye hakufanya utafiti. Maana sikumbuki kusikia mtoto wa Mbeki akifa kwa ukimwi zaidi ya Macgatho wa Nelson Mandela. Hivyo swali lenyewe lilikuwa linachanganya hasa ikizingatiwa limeongelea msimamo wa Mbeki kwa kutumia uzoefu wa mtu mwingine. Hivyo swali lilikuwa na makosa from the outset na Mbeki alifanya vyema kutolijibu.
Mkuu,hebu msome vizuri Kitila,Ameliweka kweye post swali alilouliza kwa usahihi,hakutaja habari ya mtoto wa Mbeki kufa kwa UKIMWI,tena amesema wala hajui jambo hilo,mleta uzi amezusha tu,labla lugha ilimpiga chenga au amefanya makusudi kumchafua Dr.Kitila,Dr. ametafsiri kwa kiswali alilenga nini ktk swali lake hil,Hebu msome tena mkuu!
 
Mhadhiri Mwandamizi wa UDSM, Dr. Kitila Mkumbo jana alimpa wakati mgumu Rais wa zamani wa Afrika Kusini Thabo Mbeki.

Hiyo ilikuwa ni katika wakati wa maswali kwa Mbeki baada ya hotuba yake katika ukumbi wa Nkrumah wa UDSM.

Swali la Dr. Kitila lilijikita katika kauli ya Mbeki, wakati akiwa madarakani, kuwa UKIMWI hauenezwi na ngono ila shida na umaskini wa wananchi. Dr. Kitila alimkumbusha Mbeki juu ya kifo cha mtoto wake (wa Mbeki) kilichosababishwa na UKIMWI. 'Unaendelea kusimamia kauli yako?' aliuliza Dr.Kitila

Mbeki aliacha kujibu hilo swali. 'I will not respond to that pinching question' alisema Mbeki. Na hapo ndipo ukawa mwisho wa maswali kwa Mbeki ingawa swali la Dr.Kitila lilikuwa la pili tu.Prof. Mukandala alimaliza muda wa maswali ghafla

Naunga mkono kauli ya Thambo Mbeki:

Umasikini sio wa mali tu, hata wa maarifa nao ni umasiki.
Lakimi umasikini wa mali ndio unaopelekea hasa umasikini wa maarifa na kuwapo na magonjwa duniani.
Kwa namba kubwa ya waafrika, umasikini wa mali ndio unaopelekea umasikini wa maarifa
 
No, I mean edifying education, just as I wrote.

Don't tempt me to charge tuition now 🙂 .
lini unafanya mtihani wako wa kidato cha IV? keep your dictionary with you all the time, it might help you to get F. please do it. Bomberclaad
 
Back
Top Bottom