Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

There is absolutely nothing dignified about not answering a very pertinent question. It is a cop-out.

how many times should he answer the sama question? hivi leo kuna haja ya kumuuliza tena kikwete kwa nini tanzania ni maskini? au kumuuliza maswali yale yale zitto mnayomuuliza kila siku japo kashawajibu?

by the way, nimepata data mpya kuhusu weye - kha baada ya kushindwa n.w sasa uko n.s!
 
by the way, nimepata data mpya kuhusu weye - kha baada ya kushindwa n.w sasa uko n.s!

Ahahahahaaaa wee dogo bana...hao wanaokupa data zangu wanakudanganya sana aisee maana I am the king of incognito.

NW sijashindwa kwa sababu sijawahi kujaribu wala kuraghbika naye kwa zaidi ya miaka 20. Mara ya mwisho kuwa na raghba naye ilikuwa Food Evening ya SRSS circa 91. Na NS....I ain't got a clue who that is...
 
Ahahahahaaaa wee dogo bana...hao wanaokupa data zangu wanakudanganya sana aisee maana I am the king of incognito.

NW sijashindwa kwa sababu sijawahi kujaribu wala kuraraghbika naye kwa zaidi ya miaka 20. Mara ya mwisho kuwa na raghba naye ilikuwa Food Evening ya SRSS circa 91. Na NS....I ain't got a clue who that is...

naona na wewe unakuwa 'denialist', nitakutumia faili kwenye barua pepe yako maana nahisi unadhani na hiyo ni incognito!
 
naona na wewe unakuwa 'denialist', nitakutumia faili kwenye barua pepe yako maana nahisi unadhani na hiyo ni incognito!

Ukiweza kuituma hiyo barua pepe kwenye anuani yangu halisi basi nitakupa dola 5,000 (elfu tano) uichangie katika charity organization yoyote ile upendayo wewe. I am the king of incognito....that I'm 100% sure of.....
 
Maswali aliyouliza Kitila haya hapa

i) Reflecting and looking back to your presidency, and given the pace at which South Africa has reduced the HIV infection rates and HIV related deaths, do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?
ii) Do you have any regrets over your position?

how many times should he answer the sama question?

Now tell me how many times has he been asked those two questions?
 
Una kazi sana kuwa na uelewa wa mambo.............. in SA, HIV is beyond swali, it is a package, na kwa imbechili yako huwezi jua

ngoja utandikwe na aids, tuone kama utaiweka HIV unavyojaribu kuiweka sasa

Jah Bless

Mkuu hilo dua la HIV utakutana nalo mwenyewe mimi nipo kwenye ndoa mambo ya kula mizoga nimeacha long long time hivi sasa nakula vitu FDA approved!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Ukiweza kuituma hiyo barua pepe kwenye anuani yangu halisi basi nitakupa dola 5,000 (elfu tano) uichangie katika charity organization yoyote ile upendayo wewe. I am the king of incognito....that I'm 100% sure of.....

yaliwashinda carlos the jackal na femme fatale, cheki junk email yako - data zimekamilika including za polymath/polyglot!
 
Mkuu hilo dua la HIV utakutana nalo mwenyewe mimi nipo kwenye ndoa mambo ya kula mizoga nimeacha long long time hivi sasa nakula vitu FDA approved!

Chama
Gongo la mboto DSM
ngoja wakulambie ndio uelewe

wengi husema kama wewe..................
 
Mkuu hilo dua la HIV utakutana nalo mwenyewe mimi nipo kwenye ndoa mambo ya kula mizoga nimeacha long long time hivi sasa nakula vitu FDA approved!

Chama
Gongo la mboto DSM

VVU/HIV huwa havipenyi kwenye NDOA au ndiyo yale yale ya HIKI na KILE hakisababishi UKIMWI/AIDS?
 
VVU/HIV huwa havipenyi kwenye NDOA au ndiyo yale yale ya HIKI na KILE hakisababishi UKIMWI/AIDS?

Usitake kunizengua source kubwa ya maambukizo ya HIV/AIDS ni ngono na kujidunga madude mkuu usitake kujiliwaza kama ni mtu kula mizoga ya barabarani na unajidunga madude acha hiyo tabia

Chama
Gongo la mboto DSM
 
kitila hapo kweli alikosa busara na alihuliza swali kama sifa flani hivi aonekane nae kahuliza swali ,pia hakukuwa na haja ya yeye kumtaja mtoto wa mbeki kwani ni masuala ya kifamilia...hekiama hana akili finyu huo udokta kapewa kwa njia za panya yaelekea....mgeni akija kwake anaweza kumuhuliza vitu kama hivyo?

Nilikua napita nikaona hayo machache (hizo red nadhani ni slip of keyboard). Udokta kwa njia ya panya!!!! No research No right to speak, Inaonekana huyo Dr. Kitila humfahamu vizuri ndio maana unafikiria hizo njia za panya au elimu yako ni mgogolo hasa nikiangalia hayo maneno yenye RED.
 
Anauliza hivi:

Mimi lazima nimfunze kwa kumtilisha irabu ili asisahau siku nyingine;

Bwana Mkuu wa Chuo, genzi kwenye Mkurugenzi ina maana gani kwani?

Au kama hilo ni gumu, Mkurugenzi maana yake nini?
 
Back
Top Bottom