Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Mkuu Chama,
Nimekusoma katika nadiko lako hapo juu. Nadhani hukusoma bandiko langu kwa kina. Nafafanua nilichoandika

1. Mleta mada amepotosha umma na kumweka Dr Katila katika position isiyo yake. Ukweli wa upotoshaji unaonekana katika swali la msingi hapo juu kutoka kwa Dr mwenyewe. Hakuna mahali alimtaja mtoto wa Mbeki. Cha kushangaza watu walimshambulia kwa ''kumuongezea machungu bwana mbeki''.
Ukweli unabaki kuwa swali halikuwa na uhusiano na mtoto wa Mbeki na mashambulizi yote yalikuwa ni kundahlililisha.

2. Nimesema kuwa swali la Kitila halina tatizo ukiliangalia leneyewe, mada iliyokuwepo na mtu aliyepsawa kulijibu.
Katika jamii zetu na duniani kwa ujumla ni ngumu sana mtu kutofautisha kati ya HIV na AIDS.
Mtu anapotoa kauli kama za Mbeki ni wazi kuwa jamii inaweza kufuata maneno yake kwa namna tofauti

Ukiangalia video utaona kuwa ilibidi Mbeki atoe ufafanuzi baada ya kuleta sintofahamu miongoni mwa jamii tena ya wasomi. Hii ni dhahiri kuwa maneno yake yaliathiri sana jamii.
Ni kwa mtazamo huo swali la Kitila linabaki kuwa na uzito. Mkuu Kichuguu kagusia vema sana hapo juu kuhusu hili.

3. Katika bandiko langu nimeweka wazi kuwa bila kujali maudhui ya hoja ya Mbeki kuhusu kauli yake(nikiamaanisha iwe kweli au si kweli) hoja kubwa niliyoiona imeleta sintofahamu ni upotoshaji wa maneno ya Dr Kitila, kumwekea maneno ambayo hakuyasema na kuongezea chumvi katika jibu la mbeki.

Tuna ushahidi kuwa Mbeki alijibu na wala hakusema ''pinch.......'' kama ilivyosemwa.
Hii maana yake nini! kwamba kuna watu pengine hawaelewi mada na wanachagua maneno mawili matatu na kuleta usumbufu usio wa lazima kwa baadhi ya watu kama ilivyo kwa Kitila na Mbeki kama angetusoma.

Hitimisho
Mleta mada amepotosha jamii. Ukweli wa kilichotokea upo hapo juu kutoka kwa mhusika. Usumbufu alioupata Dr Kitila hata kushambuliwa kwa mambo nje ya mada ilikuwa ni personal attack na wanaofanya hivyo ima hawakujua ukweli au waliujua lakini hawakutumia ''fair play''.

Pili, Mbeki aliongea maneno kama kiongozi wa taifa kubwa bila kujua madhara yake. Maana yake kama anavyoitetea sasa ina mantiki na ukweli kuhusu HIV na AIDS na yatokanayo na hayo.

Kwasababu hiyo Mbeki anabeba dhamana ya vifo kwa kundi lililoshindwa kumwelea kutokana na maelezo ya kisayansi yaliyoshindikana kutafsiriwa vema na jamii. Kiongozi asiyeelewa ni hatari kwa jamii, wenzetu wana kauli isemayo '' Don't worry if you don't understand people, worry if they don't understand you''

Inategemea uono wa kila mmoja wetu, kwangu mimi swali la Dr Kitila lilikuwa na mantiki sana.
Wale wanaosema halina mantiki, tumie kipande cha swali lake kutetea hoja zenu kwa kuonyesha udhaifu wa hoja zake na si kulitazama swali kwa jina la Dr Kitila.
 
Kuna tofauti kati ya AIDS and HIV. Nadhani hamjaelewa huyu mtu anauliza nini hasa. Kilichopo hapa ni msimamo wa huyu jamaa uliosababisha ARVs kuachwa kupelekwa South Africa. Kwa ufupi tu ebu angalia hizi definitions;

HIV-It is a virus that attacks the human immune system. Someone infected with the virus can live with HIV or be HIV positive for many years without becoming ill or showing symptoms. During this time however, HIV remains in the body damaging the immune system and the person remains infectious; able to spread the virus to others if a few simple precautions are not followed.

Being HIV-positive, or having HIV disease, is not the same as having AIDS. Many people are HIV-positive but don't get sick for many years. As HIV disease continues, it slowly wears down the immune system. Viruses, parasites, fungi and bacteria that usually don't cause any problems can make you very sick if your immune system is damaged. These are called "opportunistic infections." The illness alters the immune system, making people much more vulnerable to infections and diseases. This susceptibility worsens as the disease progresses.
Over time, HIV can damage the immune system to such a degree that infections may begin to occur as a result of a weakened immune system. Eventually, one may acquire various illnesses due to the damage done by the virus. When this happens this is called AIDS or Acquired Immune Deficiency Syndrome. That is, a collection of illnesses.



Mkumbo anajua vizuri sana Area anayoongelea kwani second Degree yake amesoma HIV/AIDS kwa kiwango kikubwa. Anaelewa anachosema na kuuliza. Ila nadhani tusichukue neno mojamoja na kujenga hoja. Ndio maana muulizwa swali alihitaji reference zaidi ili aweze kujibu. Hivyo nasi tusitoe conclusion tu.Soma swali la Mkumbo between and within lines!

Imani yako usiitumie kama kigezo kwa wengine kusoma kwa Kitila si kigezo cha kusema yeye ni yupo sahihi 100% hujasikia madaktari bingwa pamoja na ubingwa wao wanafanya makosa? Jaribu kuwa mtafiti wa kujitafutia habari usiamini kila kitu inaonyesha ni jinsi hujiamini kwa upo hapa kuunga mkono hoja ya Kitila bila kuifanyia utafiti.
Hapo kwenye red Wanasayansi wa Afrika Kusini walihoji ikiwa ni mkusanyiko wa magonjwa kwa nini mnalazimisha tuangalie kitu kimoja tu!

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Nguruvi3
Naona hukufuatilia mtiririko mzima; swali alilouliza Kitila majibu yake yapo na ndio sababu nimekuwekea moja ya mahojiano ya Mbeki na BBC; sina tatizo na alichojibu Mbeki mimi tatizo langu ni swali alilouliza Kitila si la mtu wa kiwango chake; hii inaonyesha alikururupuka kuuliza kitu bila kufanya utafiti au nia yake ilikuwa ni kutaka kumdhihaki mh. Mbeki au alitaka kujionyesha kitaaluma; mkuu usiwe muoga wa kukubali ukweli; hapa hatuongelei siasa za Chadema tunaongelea habari inamgusa kila mwafrika bila kujali ametokea wapi; wazungu walitaka kuonyesha dharau; naona bado unataka kuweka maneno ya sumu mdomoni mwa Mbeki bila kufanya utafiti rejea kwenye hitimisho lako; Mkuu fanya utafiti utashangaa sana; mkuu hoja yako ya kumtetea Kitila bado nyepesi sana hii hoja humtetei Kitila kitaaluma umekuja kisiasa na nyie ndio wanaowategemea watanzania kweli tutafika mkuu; hapa sikuingia kama mwanaccm kuchangia ni moja ya maeneo yangu najua nini ninachoongea .

Chama
Gongo la mboto DSM
 
Mbeki hakuwa na haja ya kumjibu msomi uchwara aliyeuliza maswali uchwara, aliona ni kujipotezea wakati. Huyo Mkumbo hakumuelewa Mbeki alipoyasema hayo, atamuelewa leo?

Mkumbo angetafuta takwimu za vifo na maambukizi ya UKIMWI kwa nchi tajiri na maskini asingeuliza hayo maswali yake. Ikiwa Mwalim ni uchwara namna hiyo, fikiria wanafunzi wake wakoje!
 
Alipokuwa Rais hakusema habari ya umaskini na ukimwi, yeye alisema straight up kwamba HIV haiambukizi AIDS, period!

Halafu wengine wanasema Mbeki alimsahihisha Kitila kuhusu data zake, wengine wanasema Mbeki alikataa kujibu swali.

Sasa hapa inaonekana hatujui Kitila aliuliza nini, wala hatujui Mbeki alijibu nini, au whether Mbeki alijibu at all! And that's assuming Kitila aliuliza swali at all!


Wewe nawe, unaelewa ulichokiandika?
 
Mkuu vita dhidi ya ukimwi vinaanzia kwa mtu binafsi elimu ya ukimwi ipo nje nimekwambia acha kuokota mizoga utakuwa salama 99.9% njia kubwa ya maambukizo ya ukimwi ni ngono hilo nalo pia unataka kubisha?

Chama
Gongo la mboto DSM

Unajichanganya sana...sikuelewi. Bye!
 
Maelezo ya Kitila (Phd) nayo yamepinda... SOMA:::: .." you boldly and courageously claimed that AIDS is not caused by HIV ...::: SOMA SWALI:::..."...do you still maintain the same position regarding the cause of HIV?"....!

Swali la kijinga kabisa, eti kutoka kwa msomi!
 
Back
Top Bottom