Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

Dr. Kitila ampa tabu Thabo Mbeki

yapo mambo mengi ambayo wanasiasa wanaipotsha jamii; hii kauli toka kwa kiongozi kam mbeki kweli yawezapata uaarufu mkubwa sana na mwishowe watu wakaamini kuwa si ngono bali umaskini ndo kinasababisha ukimwi; mbeki si maskini hata kidogo kama tu kiongozi aliyefikia hatua hiyo ktk taifa tajiri afrika lakini pia liligusa familia yake; tunachoweza kumwelewa vema ni kusema kusema kuwa madhara ya ukimwi kwa maskini ni dhahiri na yanaonekana mapema sana. pole sana kwa hilo swali ingawa naamini halikuwa na nia ya kufuatilia familia ya mbeki

hapa kwetu tunaaminishwa hakuna kitu kinaitwa ushirikina, wakati zikiwadia nyakati fulani wanasiasa wanakuwa ktk njia ya kuelekea bagamoyo kwa misururu kwa mambo kama hayo. leo hii tumesikia huko meatu mkuu wa wilaya kampeleka kituo cha polisi mtu ambaye alifufuka baada ya wananchi kugoma kumzika na hatimaye mkuu huyo kuwomba waachane na hii imani, na hapo ndo wakazika na usiku huo huo mtu huyo karudi; nadhani ni bora kuusemea na kuweka sheria juu ya hilo; kwea maana ya kulinda wanachi dhidi ya hii kitu
 
kitila alipaswa kujua kwamba Mbeki alivyosema ukimwi ni ugonjwa wa maskini alisema kwa muktadha gani.kwa mfano; wakati mtu anakemea uzembe wa madereva, anaweza kusema "ajali barabarani husababihwa na uzembe wa madereva" sasa hapa haina maana kwamba ni kila ajali itakayotokea itakuwa ni usembe wa dereva lakini kulingana na mazingira ya kauli;kauli inakuwa ni sahihi.Sasa mbeki alipo sema vile. alitaka kuonyesha kwamba umaskini una mchango mkubwa katika kuenea kwa ukimwi;kitu ambacho kina ukweli.

nani kakufanya kuwa mjibu masali ya thabo mbeki? inamaana mbeki mwenyewe hakujua alichokuwa akikielezea na wakati wa majibu ndipo amabapo angetoa ufafanuzi?
 
Lol @ (suppressing a yawn)

Kisha anaona huyo Mkumbo ma swali lake la kujitutumua la kumweka kona zizini katoka kaliwacha geti la zizi wazi

Katoka mdogo mdogo kwa tambo, kuwa Mkumbo kafuata mkumbo wa Wazungu tu, data zake si lolote si chochote

Mwanasiasa mkongwe hakosi a trick or two za kuwapumbazia wanagenzi kwenye mambo

lol .. mwalimu .. haya!:smile: nadhani dactari alitaka atoke kwenye hiyo semina/ mkutano akiwa shujaa! au labda alitaka athibitishie uwepo wake katika ufuatiliaji wa mambo mbele ya kadamnasi ya wasomi wenzake waliokusanyika pale ..

mbeki akiwa kama mwanasiasa mzoefu aliweza kuhimili vishindo vya kitila .. kwani majibu yake labda yangehitaji mjumuisho wa maelezo mengi ya kisanyansi na kutokana na muda asingeliweza hilo ..

funika kombe mwanaharamu apite ..
 
lini unafanya mtihani wako wa kidato cha IV? keep your dictionary with you all the time, it might help you to get F. please do it. Bomberclaad

Raas claat dat deh pon di mumma mongrel leg dem.
 
Hakuna badili yoyote iliyopatikana iwapo watu hatutapewa jibu kamili la Mbeki tukalitendea haki kama tulivyopewa swali kamili la Dr. Mkumbo (hatimae)

Utajuaje, kuwa hakutumia hizo data za Wazungu kuonyesha kuwa hazina mantiki yoyote ya kuweza kutumika kujengea hoja?

Kwa mujibu wa swali la Dr.Mkumbo, hoja yake nzima inabebwa na data hizo. Kama hatujapewa jibu la Mbeki kwayo, tutakuwa hatutendi haki

Alianza kwa kufunguka kuhusu data baada ya kusema ni pinching question ....

Tupeni "kideo" hapa kabla watu wengine hawajaanza kuondoa chombo wakiwa bandari ya nchi kavu, kutuhanikiza kwa sifa (inyopakwa kwenye chombo) bila ya kuwa na chambo mbali ya shombo

You have to look at this from the perspective of ""no comment" is a comment".

Extra, extra.Read all about it. "Mbeki Remains Unrepentant".
 
You have to look at this from the perspective of ""no comment" is a comment".

Extra, extra.Read all about it. "Mbeki Remains Unrepentant".

Indeed hence the former president's succinct response encapsulated that answer that is already out there in the public domain for all and sundry to see - he could have arrogantly and dismissively say, 'boy go and do your homework', but out of the composed and calculated wisdom of age he let the fragile and fiery passion of youth learn to get the point without ruffling feathers.
 
Mbeki alisema "that pinching question" halafu pia akasema "you have the wrong information." Ni information gani ya Kitila ambayo Mbeki alisema si sahihi? Nini kingine alichosema Mbeki, nini kingine alichokisema Kitila?

Tanzania ni nchi duni sana kiteknolojia ya habari, kitu kimetokea mchana, mjini Dar-es-Salaam, kwenye mkutano wa wazi Chuo Kikuu, halafu hakuna ushahidi wa sauti ama picha ya video ya kilichojiri.

Na kwa vile tumeshazoea kulishwa mizoga ya habari potofu basi hatuna tena udadisi wa chochote tunachoambiwa, Kitila ameshutumiwa na Mbeki kwa kutoa taarifa sizizo sahihi, halafu tunamuomba Kitila huyo huyo atusaidie kutuambia nini alisema!
 
Kitila anaweza kutusaidia kutuambia nini alisema, hata kama alichosema si sahihi.

Kwamba Kitila katoa taarifa zisizo sahihi hakumzuii yeye Kitila kutupa swali kama alivyoliuliza.

Kama una mashaka na integrity ya Kitila kwamba hawezi kutupa alichosema, na kwamba atabadilisha maneno, sema hilo.

Lakini ukisema kwamba kumuomba Kitila atusaidie kutuambia nini alisema ni kosa kwa sababu alichosema kinadaiwa kuwa hakikuwa sahihi ni kuunganisha yasiyoungana. After all Dr. Kitila is a primary source in this matter.
 
nani kakufanya kuwa mjibu masali ya thabo mbeki? inamaana mbeki mwenyewe hakujua alichokuwa akikielezea na wakati wa majibu ndipo amabapo angetoa ufafanuzi?
si jambo zuri kumuuliza mtu mambo binafsi hasa yanayo husu misiba iliyompata kwenye mkutano wa hadhara halafu wa kisomi.
 
Indeed hence the former president's succinct response encapsulated that answer that is already out there in the public domain for all and sundry to see - he could have arrogantly and dismissively say, 'boy go and do your homework', but out of the composed and calculated wisdom of age he let the fragile and fiery passion of youth learn to get the point without ruffling feathers.

Mbeki just passed another opportunity to mature intellectually.
 
si jambo zuri kumuuliza mtu mambo binafsi hasa yanayo husu misiba iliyompata kwenye mkutano wa hadhara halafu wa kisomi.

Hizi habari za msiba hazikuulizwa, soma Dr. Mkumbo kaweka swali zima lilivyoulizwa. Kwa mujibu wake.
 
Sasa kwanini asingesimamia kauli yake?
inakuwa inaudhi mtu anataka kuleta upotoshaji tena kwa kurejea kwa msiba wa mtu wako wa karibu huku ukiwa na uhakika kwamba alikuelewa ulichosema.
 
Ukweli ni kwamba Mzee Mbeki alijibu swali lakini alisema angehitaji muda zaidi kufafanua. Aliendelea kusisitiza msimamo wake kwamba 'AIDS is a syndrome caused by many conditions'. Lakini tofauti na nyuma this time around alitaja, kimakosa, kwamba HIV kama moja ya conditions zinazosababisha AIDS. Kuhusu utafiti niliomtajia wa wana sayansi wa Havard alisema kwamba kuna utafiti mwingine unaopingana na huo, na akaahidi kunitumia ripoti yake.

Kwa hiyo sio sahihi kwamba hakujibu kabisa swali. Alijibu, lakini sio kikamilifu kwa sababu aliyosema ni kutokuwa na muda wa kutosha.

Sasa mimi sielewi kwa nini watu hapa JF wameanza kuwa na tabia za kujadili mambo nusunusu na kiupotoshaji, hasa pale inapotokea kwamba lugha iliyotumika ni Kiingereza. Nililiona pia hili juzi kwenye ushiriki wangu kwenye kipindi cha 'This Week in Perspective'. Watu wanatabia ya kudaka neno moja na kuibuka nalo na kufanya ndio mjadala. Sasa najiuliza tatizo ni udhaifu katika ujenzi wa hoja za kimantiki au hii lugha inayoonekana kutushinda sisi wa TZ?
 
Mbeki just passed another opportunity to mature intellectually.

are you stating or, rather, insinuating that the last of the african philosopher kings is immature intellectually?

mkumbo's latest post on the matter renders your premature claims on mbeki utterly null and pathetically void!
 
Sasa mimi sielewi kwa nini watu hapa JF wameanza kuwa na tabia za kujadili mambo nusunusu
Wewe mwenyewe mbona haya uliyasema nusu nusu?

Ndio maana wengine tunaojali laser sharp accuracy tunadai ipatikane audio ama video!

Mpaka sasa hatujui Mbeki alisema nini na wewe uliuliza nini! Hahahaaaaa

Which is inordinately shameful for an event that occurred at an open forum at a university.

Ukweli ni kwamba Mzee Mbeki alijibu swali lakini alisema angehitaji muda zaidi kufafanua. Aliendelea kusisitiza msimamo wake kwamba 'AIDS is a syndrome caused by many conditions'. Lakini tofauti na nyuma this time around alitaja, kimakosa, kwamba HIV kama moja ya conditions zinazosababisha AIDS. Kuhusu utafiti niliomtajia wa wana sayansi wa Havard alisema kwamba kuna utafiti mwingine unaopingana na huo, na akaahidi kunitumia ripoti yake.

dakta una ushahidi gani kwamba huko nyuma hajawahi kusema hivyo? hebu sikiliza (tena?) hii hotuba yake bungeni kuanzia dakika ya 3 na sekunde 45:

Last edited by a moderator:
are you stating or, rather, insinuating that the last of the african philosopher kings is immature intellectually?

mkumbo's latest post on the matter renders your premature claims on mbeki utterly null and pathetically void!

The last of the african philosopher kings my foot.

Mkumbo's last post shows Mbeki is dilly dallying, he is not consistent, he is not prepared to quip adequately, he is contradicting his stance not to speak on the matter.

Sheer incoherence!
 
Hizi habari za msiba hazikuulizwa, soma Dr. Mkumbo kaweka swali zima lilivyoulizwa. Kwa mujibu wake.
Huwezi kusema swali la msiba halikuulizwa, nukta, kwa mujibu wake. Inasemwa: swali la msiba halikuuliwa, koma, kwa mujibu wake.

Sijui unanielewa?

Ukikoma maana yake unakiri kuwa ulichokisema kabla ya koma huna hakika nacho, hujui, ukitua maana yake umemaliza, ulichokisema umekisema, lakini huwezi kuhitimisha kama mamlaka yako ni "kwa mujibu wake." Hatujui, wewe hujui, kilichoulizwa wala kilichojibiwa.

Kitila ameshutumiwa na Mbeki kwamba katoa taarifa potofu, sasa huwezi kutegemea Kitila huyo huyo aje hapa awe mamlaka hakika ya alichokisema, anaweza akakipaka chokaa alichokisema ili kubakiza smokescreen ya tukio zima. Yeye si mjinga, alikuwa hapa chini muda wote kabla hajachangia, akachekiiiii akaona watu wenyewe wanatapa tapa hakuna aliyekuwepo, waliokuwepo hawajui Kiingereza (amesema hivyo mwenyewe).

Tutakubali nothing short of this balancing evidence or the ultimate incontrovertible proof: Tunataka Mbeki nae aje hapa ajitee au tuna demand video ya tukio!
 
Back
Top Bottom