The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,453
- 20,857
Mtoto wa bhakresa anaendesha lombardine, mengi ana benz bullet proof hatuhoji tunajua ni mapato ya kazi zao, huyu anaishi kwa misaada ya wahisani anakula jasho la wajane na watoto wa mitaani, yaani anaishi kwa migongo ya masikini haya maisha ya kifahari namna hiyo hapana kabisa.
Tunajua watu kama nyie mko kikazi huki jf, kuondoa watu kwenye ukweli