Hivi hata kama una matope kama yako kichwani Kijo bisimba anatetea binadamu gani? Huyu ni mfanya biashara ya binadamu amejificha kuwa ni mtetezi kumbe hata shetani ana nafuu unaweza kutoa mifano hai kuwa ni kundi gani la binadamu alilolitetea katika nchi hii mpaka akafanikiwa katika na kundi hilo likanufaika na msaada wake?
Usione label imeandika hizi ni karanga na wewe bila kuchunguza ukaamini kuwa ni karanga au usisome kichwa cha habari tu bali soma habari nzima ndiyo utajua Kijo bisimba si mtetezi wa binadamu yeyote ukiwemo wewe bali ni mtetezi wa ushetani tu kama huamini fuatailia utakuja kuniambia.
Hebu toa upumbavu wako uliokubuhu,peleka makamasi yako uliyojaza kichwani juha mkubwa, moja ya sehemu Kubwa ambayo anahusika ni dhidi ya wale walioshika dola na wanaitumia vibaya dhidi ya wananchi.
Chuki zako za kishetani ambazo unaweza kuzipata Lumumba tu na mahayawani wake zinadhihirika kwako,hupendi kuona akiisimamia serikali yako ya wezi, wabadhirifu, mafisadi, wauaji( rejea Mwangosi, kumbuka dk Ulimboka, kiongozi wa waliomaliza mafunzo ya JKT).
Angalia kinachoendelea Zanzibar ni ubakaji mkubwa wa demokrasia, amiri jeshi mkuu huko magogoni anabaka na kukataa maamuzi ya wazanzibari, kama vile NEC walivyompitisha wakisaidiwa na polisi CCM .akitokea mtu kukemea kwa ufinyu wa mawazo yako na ukada uliokujaa unatuletea porojo hapa.
Yako wapi maoni ya wananchi waliyoyatoa kwenye tume ya Warioba? Leo unatuambia hajatoa tamko la mapigano ya wakulima na wafugaji nani hapo mwenye dola? Kaa kimya kama huna la kusema