Jamani kuna watu hatari hapa duniani,huyu mama naye siyo mtetezi wa kweli wa haki za binadamu,na yeye ni anatafuta maslahi yake tu,angalia mama anasukuma V8.Huyu ndie alieshauri na kumtafuta Dr.Ulimboka aingoze Mgomo wa kudai Maslahi ya madaktari wa Serikalini wakati Ulimboka hakuwa Mtumishi Serikalini alikuwa Mtumishi kweny NGO ya nje ya nchi lengo ni kuhakikisha mgomo ule udumu mpaka Wananchi wakose Uvumilivu iliposhindikana wakapanga hujuma dhidi ya Ulimboka ionekane Serikal imemdhuru Madakatari wazidi kuichukia Serikal lakini Baada ya Ulimboka kupona na kujua ukweli wote alijitoa kabisa kwny hizo harakati na hata mahusiano na Maelewano na Waliomchochea yalikufa kabisa hataki hata kuwaona. We mtu atupwe mabweoande halafu mtu wa kwanza kufika kumuokoa awe Hellen kijokisimba akiwa na mlolongo wa Vyombo vya habari na kamera kuanzia kulekule porini!!! Pole ndugu kupoteza Mzazi
Huyu ndie alieshauri na kumtafuta Dr.Ulimboka aingoze Mgomo wa kudai Maslahi ya madaktari wa Serikalini wakati Ulimboka hakuwa Mtumishi Serikalini alikuwa Mtumishi kweny NGO ya nje ya nchi lengo ni kuhakikisha mgomo ule udumu mpaka Wananchi wakose Uvumilivu iliposhindikana wakapanga hujuma dhidi ya Ulimboka ionekane Serikal imemdhuru Madakatari wazidi kuichukia Serikal lakini Baada ya Ulimboka kupona na kujua ukweli wote alijitoa kabisa kwny hizo harakati na hata mahusiano na Maelewano na Waliomchochea yalikufa kabisa hataki hata kuwaona. We mtu atupwe mabweoande halafu mtu wa kwanza kufika kumuokoa awe Hellen kijokisimba akiwa na mlolongo wa Vyombo vya habari na kamera kuanzia kulekule porini!!! Pole ndugu kupoteza Mzazi
Asante... Hadi machozi yamenitoka, kumbe huyu mama ni mafia hivi? Naikumbuka ile siku Ulimboka kaokotwa anapelekwa Muhimbili, nilikuwa naangalia taarifa ya habari kwa kweli niliumia kwa hali aliyokuwa nayo.
Kumbe huyu mwanamama ndo alikuwa behind the scene?
Mola amsamehe....
Yaani nimesoma comment mbalimbali hapa WATANZANIA tulikofika siko kabisa.
Huyu mama alikuwa anapinga matumizi ya mashangingi kumbe na yeye analo, mungu kamuumbua.
Asante... Hadi machozi yamenitoka, kumbe huyu mama ni mafia hivi? Naikumbuka ile siku Ulimboka kaokotwa anapelekwa Muhimbili, nilikuwa naangalia taarifa ya habari kwa kweli niliumia kwa hali aliyokuwa nayo.
Kumbe huyu mwanamama ndo alikuwa behind the scene?
Mola amsamehe....
hii nchi tuache tu kuhubiri ufisadi, sikutegemea huyu mama angekuwa na gari kali namna hii, sasa naamini kuwa nchi hii masikini ni wachache mno wengine wanajifanyisha tu. Mleta story hebu tueleze alikuwa anaendesha mwenyewe kama nape? basi asijekuwa kajitoa muhanga zile computer zilizochukuliwa na kova zilikuwa na mambo mazito sana.
Tizama gari ya nape, nyumba ya deo, sasa gari la dr! hapana hii nchi mtetezi kabaki magufuli tu, nae akitutosa basi tena.
Yaani nimesoma comment mbalimbali hapa WATANZANIA tulikofika siko kabisa.
Khaa!! Unampa pole ya nini bana?