Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

huku shamba ukiishi kiujanja ujanja unarogwa, nasikia dar kuna watu wanasema kiuno ni msingi wa maendeleo.

Hahaaa...., pole sana karibu mjini!
Dar kulala njaa kupenda!
 
Mfano upiii....hili ni jasho la mtu kwa mshahara wake...na hilo gari lina private number...kwani sisi tumewakataza mawaziri kumiliki hata hammer?? Kinachopingwa na serikali kutumia magari ghari si kwa mtu binafsi... Hii haitaji elimu kubwa kuelewa hili...

= ghali
 
Get well soon Dr. Helen
Tunaweza kujua gari lilomgonga kwa nyuma, na nani alikuwa anaendesha gari hilo?
 
Huyu mama hufuata Mkumbo ...mtaalamu wa kutia chuki kwa wananchi dhidi ya CCM na Pro CHADOMO hata wakiwa wanafanya madodo ya kuhamasisha amani.....
 
Tuache uzushi waliokuwepo wanasema gari liliparamia bajaj, sasa wewe unaleta story za kuunga unga
Mbona ITV wamesema aligongwa na Gari lililokuwa linaendeshwa na mtoto wa miaka 13?!
 
pole mama hellen kwa ajali mungu akutie nguvu .

ndumila kuwili huyo hana maana ila naomba asife tu ubaya wake ujulikane kwa wote wanaomuona wa maana, polisi wameuawa na majambazi pale sitaki shari hajatoa tamko lolote polisi wakiuwa majambazi anasema haki za binadamu simfagiliii kwa lolote huyo kikongwe mganga njaa.
 
Du! Ukitaka kujua unafiki soma comment za page hii yaani....! Hapa ni hoja za kuchafuana kupita kiasi.
 
Waosha vinywa wamepata nafasi ya kumwaga sumu....huyu mama ni mpigania haki wa kupigiwa mfano, jasiri,msomi na asiye kata tamaa...hiyo gari kwa level ya tahasisi anayoiongoza yeye kama Mkurugenzi it's simple to have. ..mlitaka Mkurugenzi mtendaji atembelee vitz au IST...tuwaze kwa kutumia vichwa na si tumbo /makalio!
Mungu ampiganie huyu mama wa watu apone haraka!
 
Huyu mama hufuata Mkumbo ...mtaalamu wa kutia chuki kwa wananchi dhidi ya CCM na Pro CHADOMO hata wakiwa wanafanya madodo ya kuhamasisha amani.....

kwa hiyo una maanisha hao anowachafua na kuhamasisha chuki juu yao ndo wamehusika?
 
Mimi ile siku ya kupiga kura kuna mdada nilimuuliza vp ushapiga kura akanijibu "sijapiga ila nitaenda kumpigia wa kijijini mwenzangu wa mjini siwawezi!" akimaanisha atampigia JP, El hamuwezi! Watz tuna hazina kubwa sana ya ujinga!

sijui nani alitufanya tuwe hivi vichwani mwetu
 
MUNGU ni mwenye uweza.get well soon mama kijo
 
..Kuna watu wanadhani thamani ya pesa wanaijua wao tu...kila siku unatupigia kelele wewe sio mlevi sasa hizo whisky ktk frige za nani na wewe unaishi peke yako?
 
Duh. Huyu mama na wanaharakati wenzake si ndo walishika kidedea serikali iache kutumia magari kama hilo alilopatana nalo ajali?

Duh. Watzania sijui tumuamini nani sasa,ama kweli nyani haoni kundule. Mungu kakuumbua mama na akuponye haraka.
 
Mungu atamuepushia yote mabaya kwani yeye ni mkuu kuliko
 
Picha na maelezo havioani. Habari inasema gari iligongwa kwa nyuma ukiangalia picha inaonesha gari imebonyea milango!!?

au kuna kinachofichwa hapa na

inakuwaje gari ya taasisi ina namba private au ni gari binafsi?
 
ndumila kuwili huyo hana maana ila naomba asife tu ubaya wake ujulikane kwa wote wanaomuona wa maana, polisi wameuawa na majambazi pale sitaki shari hajatoa tamko lolote polisi wakiuwa majambazi anasema haki za binadamu simfagiliii kwa lolote huyo kikongwe mganga njaa.

Hivi ukiwa Lumumba lazima ujitoe akili, yule ni mtetezi wa haki za binadamu na wewe ni mtetezi wa chama, too far and shame on you.
 
Back
Top Bottom