Domy
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 4,700
- 1,090
Kumbe mama anatembelea GX-V8 du! Pole mama mungu akuponye.
Cha ajabu nini kumiliki GX V8 la kwako!
Kumbe mama anatembelea GX-V8 du! Pole mama mungu akuponye.
Kaangalie na ya Catherine magige
Kuna ajali imetokea mbaya sana baada ya gari la mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC Dr. Hellen Kijo Bisimba Kupinduka.
Ni karibu na mataa ya Aga Khan, Dar es Salaam.
Walikuwa kwenye mataa, wamegongwa na gari kwa nyuma gari lao lika-overturn.
Amepelekwa hospitali.
![]()
![]()
![]()
Huyu Mama ndie Mfadhili, mratibu na Muwezeshaji wa Mgomo wa Madaktari uliogharimu maisha ya watu wengi sana wasio na hatia. Alijaribu kukusanya watu kuandamana kama ile Arab spring kwa kigezo cha kupinga Mgomo wa Madakatari aliokuwa akiuratibu chinichini ili wamng'oe Jk kuanzia pale Palm beach lakini kutokana na Upevu wa kiakili wa wa tz mkusanyiko uliokutwa pale haukujaa walau defender mbili za Polisi.Mungu ampe afueni na ahudumiwe vyema na Madakatari akiona Serikal ya awamu ya 5 ccm ikichapa kazi ila ajue hii serikal sio ya jk iliyokuwa na uvumilivu wa kiwango cha juu sana cha uvumilivu kuwahi kutokea Africa nzima
Umeambiwa hilo shangingi limenunuliwa au linaendeshwa kwa kodi zetu? Shangingi hata wewe kama unalitaka nunua kwa hela yako usikie kama kuna atakayekupigia kelele.Huyu mama alikuwa anapinga matumizi ya mashangingi kumbe na yeye analo, mungu kamuumbua.
Mlitaka apate ajari kwenye corolla ya kukodi kama Mtikila ndiyo mseme ni mtetezi wa kweli?? Umaskini umekuwa sifa kwa Watanzania kumbe
Hii ndio Bongo!! Unakumbuka Nyumba ya Deo Filikunjombe! ? H
kwani na wewe umenyimwa kua na gari? acha mawazo yako ya kimaskini na ya kitoto
Yani hawa ndo wale wale waliokua wanasema "Jitu lina mipesa kibao bado mnataka kulipa urais" akili za wapi hizi cjui. Kuna watu wanaupenda sana umaskini.!
kabisa ndugu na watanzania wengi wana janga hilo kichwani la kuendekeza na kuutukuza umaskin
Kaangalie na ya Catherine magige
Tizama gari ya nape, nyumba ya deo, sasa gari la dr! hapana hii nchi mtetezi kabaki magufuli tu, nae akitutosa basi tena.
Kwenye mwananchi ya jana tar 07/11/2015 kuna page anaonekana akiwa na wenzake wawili wakitoka kuwaangalia vijana 191 waliokamatwa kwa kosa la kuhesabu kura.Leo tar 08/11/2015 kapata ajali, hakika hizi coincidence nyingine zaweza kuwa ngumu kumesa ila ndo hivyo.Ukijidai mtaalamu wa kuunganisha doti na kusema yale usio na uthibitisho nayo basi jua fika kuwa akaunti lazima iwe na idle fund 5M ya dhamana maana TCRA hawana mchezo kabisa.