Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

tuambizane ukweli huu mzinga kwa dar utaanzia wapi? hizi foleni zilivyoshonana kweli? gari imekuwa chapati namna hii, hapana sio bure.

Ni jumapili asbh. km unaielewa dar bac utajuwa muda huo ally hassan mwinyi eneo la jirani na red cross huwa likoje.
 
Huyu Mama ndie Mfadhili, mratibu na Muwezeshaji wa Mgomo wa Madaktari uliogharimu maisha ya watu wengi sana wasio na hatia. Alijaribu kukusanya watu kuandamana kama ile Arab spring kwa kigezo cha kupinga Mgomo wa Madakatari aliokuwa akiuratibu chinichini ili wamng'oe Jk kuanzia pale Palm beach lakini kutokana na Upevu wa kiakili wa wa tz mkusanyiko uliokutwa pale haukujaa walau defender mbili za Polisi.Mungu ampe afueni na ahudumiwe vyema na Madakatari akiona Serikal ya awamu ya 5 ccm ikichapa kazi ila ajue hii serikal sio ya jk iliyokuwa na uvumilivu wa kiwango cha juu sana cha uvumilivu kuwahi kutokea Africa nzima
Kuna mijitu mijinga humu. Mtu amepata ajali unaweka upumbavu wako wa siasa
 
tuambizane ukweli huu mzinga kwa dar utaanzia wapi? hizi foleni zilivyoshonana kweli? gari imekuwa chapati namna hii, hapana sio bure.
Hilo ni eneo la mjini barabara ya Ali Hassan Mwinyi junction ya hospital ya Aga Khan (naona hq ya NHC hapo), jpili huwa mjini hamna foleni hivyo watu huwa wanajiachia na ma speed makubwa, halafu hilo eneo kama unatokea Palm beach kuna kona fulani hivi usipokuwa makini unatupwa nje ya barabara
 
Una m@v ww pamoja na Laana ya bibi yako roho mbaya kama sumu ungekua karibu na mimi ningekupoteza kabisa na husijulikane umeenda wapi

utakuwa shetani mtu
 
Pohamba ni zuzu mwacheni,yeye anfurahia alichofanyiwa dr ulimboka
 
Watanzania wengi wana mawazo ya kimasikini sana. Kitu ambacho kinatuaibisha sana watanzania.
Hii mada ni ya ajali lakini mmeibadilishha kabisa kutoka kwenye uhai wa mtu muhimu kwa utetezi kwenda kwenye status.
Hivi kweli kumiliki Labd Cruiser V8 ni ufisadi?
Je una uhakika iyo gari anamiliki yeye au shirika analoliendesha?
Je anayemiliki hiyo cruiser na anayemiliki Mercedes ya 2013 tu wala sio 2015 yupi katoa hela nyingi?
Please think through before writing, mawazo ya baadhi yenu yanawahaibisha waandikaji na kuwa haibisha watanzania.

Natamani sana kujua eneo ilipotokea ajali ya kusababisha impact kubwa hivyo kwa morogoro road na pia ningependa kujua hali ya gari iliyogongana nayo.

I hope Tanzania tungekuwa na waandishi wanaoweza kufanya kazi kama jicho pevu ya kenya.

Pole Dr. Hellen Kijo Bisimba. Mungu akupiganie ukapone salama
 
Hilo ni eneo la mjini barabara ya Ali Hassan Mwinyi junction ya hospital ya Aga Khan (naona hq ya NHC hapo), jpili huwa mjini hamna foleni hivyo watu huwa wanajiachia na ma speed makubwa, halafu hilo eneo kama unatokea Palm beach kuna kona fulani hivi usipokuwa makini unatupwa nje ya barabara

naona gari nusura iingie kwenye jingo la NHC inawezekana ilikuwa inatokea barabara ya Hassan mwinyi kuelekea aghakhan hospital, lakini tulishasema hizi V8 hazina balance barabarani ukilinganisha na hardtop au Nissan patrol. ingekuwa hardtop hapo angekunja na kusepa bila tatizo.
 
baada ya hawa majambazi kuchukua vifaa vyake vya kazi wameona haitoshi wanataka kuchukua roho ya mama yetu. washindwe na walegee kama mtele!
 
Mtetezi ana gari Kali ivyo sikujua ilo.
Ila pole mama and get well soon

Ficha upumbav wako kiongozi! Ulitaka atembelee mat.ako ya mamako? Kipi cha ajabu kwa NGO yenye wafadhili wa maana kama LHRC?
 
Kama ni kweli Mungu amsamehe, Nilimpoteza baba yangu kipindi cha Mgomo, Tulipompeleka hospitali tulikuta madaktari wapo kwenye kikao cha mgomo, Mzee hakuchukua muda akafariki.
Mzee wako angekufa tuu hata kama angewaona hao madaktari maana wao walikuwa wanadai wawezeshwe vifaa tiba na madawa kwa ajili ya kumtibu baba yako na wengine maana wakubwa wao wanakwenda nje.
Mnakubali propaganda za kijinga huku ndugu zenu wanaisha kwa kukosekana vitu hivyo. Kumuona daktari asiye na dawa wala vifaa ni sawa na kucheza Mziki usio na ala. Madaktari wetu wanatuhudumia katika mazingira magumu kama tuko vitani
 
Kuna ajali imetokea mbaya sana baada ya gari la mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC Dr. Hellen Kijo Bisimba Kupinduka.

Ni karibu na mataa ya Aga Khan, Dar es Salaam.

Walikuwa kwenye mataa, wamegongwa na gari kwa nyuma gari lao lika-overturn.

Amepelekwa hospitali.
attachment.php

12187646_856894261097306_3195698131161374537_n.jpg
Mkuu asante kwa taarifa kutufanya jf to be the first to know, ila pia taarifa kama hizi za kuunga unga pia ndizo zinazoishushia jf credibility, unasema gari imegongwa kwa nyuma, wakati nyuma gai inaonekana wazi iko intact!, eneo ni kweli ni Aga Khan kwa sababu naona bango la ofisi ya SUMATRA kwa nyuma!. Unapoleta taarifa kama hizi, lazima uwe makini kutoa taaifa za kweli na za kina!. Kiwango cha uharibifu wa hilo gari sio gari lililogongwa tuu na kupinduka bali lilipogongwa, lilipaa juu, likashuka chini kwa impact ndio maana limebondeka sana!.

Get well soon Mama Kijo Bi Simba (Dr)

Pasco
 
hii nchi tuache tu kuhubiri ufisadi, sikutegemea huyu mama angekuwa na gari kali namna hii, sasa naamini kuwa nchi hii masikini ni wachache mno wengine wanajifanyisha tu. Mleta story hebu tueleze alikuwa anaendesha mwenyewe kama nape? basi asijekuwa kajitoa muhanga zile computer zilizochukuliwa na kova zilikuwa na mambo mazito sana.

Sasa wewe ilitaka aendeshe mkokoteni , gari gani hilo nalo la kukutoa roho? Kuwa mstaarabu kidogo hapa kuna ajali imetokea .
 
Hivi huyo mama si ndiyo kituo chake cha haki za binadamu kilivamiwa na vijana wa afande Kova na watumishi wake pamojs na vitendea kazi vyao kama computers nk. kusombwa na wakafunguliwa mashitaka ya 'kosa' la kujumlisha kura za uchagizi uliopita, ilihali wao wakiwa waangalizi wa uchagizi huo waliruhusiwa na NEC kufanya shughuli hiyo?
Hiyo ajali itabidi iundiwe Tume ya uchunguzi kujua kama kweli ilikuwa ni ajali ya kawaida au kama kuna mchezo mchafu umehusika.
Haisaidii.Tatizo system, hiyo tume aunde nani zaidi ya waliohusika kama kweli wamehusika?Mission accomplished.......
 
Pole sana mama yetu mpiganaji wa haki! Get well soon
 
Ni jumapili asbh. km unaielewa dar bac utajuwa muda huo ally hassan mwinyi eneo la jirani na red cross huwa likoje.

Mkuu unayemwelewesha hakai Dar bali ni mtu wa kwa Magufuli! Hivyo utapoteza muda wako bure, achana na hilo tutusa!!
 
Back
Top Bottom