nikuchanganyikiwa tu na maisha, vijana wadogo na wamama wanasukuma mikoko ya nguvu, sie wanuka jasho wala hatujui tuelekee wapi!
Jilaumu mwenyewe kwa kuendelea kuwa mpumbavu na kuikumbatia CCM. Utaendelea kuisoma namba.
nikuchanganyikiwa tu na maisha, vijana wadogo na wamama wanasukuma mikoko ya nguvu, sie wanuka jasho wala hatujui tuelekee wapi!
Duuu inaweza kuwa Mungu anamuonyesha yale maovu waliokuwa wanafanya pale na vijana wake sio mazuri. Mungu kambip arudi kwenye msitari wa haki. Huwezi kuwa mtetezi wa haki halafu ukajiegemeza upande fulani. Mungu kamuonya ajue maana ya haki
mungu ndio mjuzi wa yote.naomba kuwe na mgomo wa madaktari hiki kipindi huyu mama anapoumwa ili aonje joto la kuwatetea madaktari kugoma
Mission Still On Progress!
Huyu ndie alieshauri na kumtafuta Dr.Ulimboka aingoze Mgomo wa kudai Maslahi ya madaktari wa Serikalini wakati Ulimboka hakuwa Mtumishi Serikalini alikuwa Mtumishi kweny NGO ya nje ya nchi lengo ni kuhakikisha mgomo ule udumu mpaka Wananchi wakose Uvumilivu iliposhindikana wakapanga hujuma dhidi ya Ulimboka ionekane Serikal imemdhuru Madakatari wazidi kuichukia Serikal lakini Baada ya Ulimboka kupona na kujua ukweli wote alijitoa kabisa kwny hizo harakati na hata mahusiano na Maelewano na Waliomchochea yalikufa kabisa hataki hata kuwaona. We mtu atupwe mabweoande halafu mtu wa kwanza kufika kumuokoa awe Hellen kijokisimba akiwa na mlolongo wa Vyombo vya habari na kamera kuanzia kulekule porini!!! Pole ndugu kupoteza Mzazi
Gari ni lake au la ofisi mbona tunahukumu bila kujiridhisha?Ni kweli mkuu OME123 Pia hatuamini kama mtu anaweza aka struggle na kununua gari kama hilo pasipo ufisadi wakati kwa umri wa huyo mama na level yake ya elimu plus exposure sehemu mbalimbali nje ya nchi, hilo gari ni kitu kidogo sana cha kujadili
Acha unafiki. Kalinunua kwa kodi zenu?hii nchi tuache tu kuhubiri ufisadi, sikutegemea huyu mama angekuwa na gari kali namna hii, sasa naamini kuwa nchi hii masikini ni wachache mno wengine wanajifanyisha tu. Mleta story hebu tueleze alikuwa anaendesha mwenyewe kama nape? basi asijekuwa kajitoa muhanga zile computer zilizochukuliwa na kova zilikuwa na mambo mazito sana.
Unayedanganywa ndiyo wewe MzzzziuuuuuuuuuuuuuhTuondolee pumba ya Ukawa kusisitiza elimu. Elimu ina faida gani kwako kama unadanganywa kama mtoto mdogo?
Ni kweli mkuu OME123 Pia hatuamini kama mtu anaweza aka struggle na kununua gari kama hilo pasipo ufisadi wakati kwa umri wa huyo mama na level yake ya elimu plus exposure sehemu mbalimbali nje ya nchi, hilo gari ni kitu kidogo sana cha kujadili
hii nchi tuache tu kuhubiri ufisadi, sikutegemea huyu mama angekuwa na gari kali namna hii, sasa naamini kuwa nchi hii masikini ni wachache mno wengine wanajifanyisha tu. Mleta story hebu tueleze alikuwa anaendesha mwenyewe kama nape? basi asijekuwa kajitoa muhanga zile computer zilizochukuliwa na kova zilikuwa na mambo mazito sana.
Kazi yake c ya kitoto mpaka ashindwe kumiliki hilo Gari unataka aishi kimasikini kama we we ...jadilini vitu vya msingi bhana!!
Asante... Hadi machozi yamenitoka, kumbe huyu mama ni mafia hivi? Naikumbuka ile siku Ulimboka kaokotwa anapelekwa Muhimbili, nilikuwa naangalia taarifa ya habari kwa kweli niliumia kwa hali aliyokuwa nayo.
Kumbe huyu mwanamama ndo alikuwa behind the scene?
Mola amsamehe....
Hivi ukiwa Lumumba lazima ujitoe akili, yule ni mtetezi wa haki za binadamu na wewe ni mtetezi wa chama, too far and shame on you.
Mtetezi ana gari Kali ivyo sikujua ilo.
Ila pole mama and get well soon
Umechanganyikiwa kitu gani hiyo unayoingiza kwenye ubongo wako? Huu mtetezi wa Haki za binadamu hajawahi kuzungumzia habari ya mashangingi wala vespa, get your facts right or shut up