Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Mungu amponye na amrejeshee afya yake.
 
Mtetezi ana gari Kali ivyo sikujua ilo.
Ila pole mama and get well soon

hii nchi tuache tu kuhubiri ufisadi, sikutegemea huyu mama angekuwa na gari kali namna hii, sasa naamini kuwa nchi hii masikini ni wachache mno wengine wanajifanyisha tu. Mleta story hebu tueleze alikuwa anaendesha mwenyewe kama nape? basi asijekuwa kajitoa muhanga zile computer zilizochukuliwa na kova zilikuwa na mambo mazito sana.
 
Huyu Mama ndie Mfadhili, mratibu na Muwezeshaji wa Mgomo wa Madaktari uliogharimu maisha ya watu wengi sana wasio na hatia. Alijaribu kukusanya watu kuandamana kama ile Arab spring kwa kigezo cha kupinga Mgomo wa Madakatari aliokuwa akiuratibu chinichini ili wamng'oe Jk kuanzia pale Palm beach lakini kutokana na Upevu wa kiakili wa wa tz mkusanyiko uliokutwa pale haukujaa walau defender mbili za Polisi.Mungu ampe afueni na ahudumiwe vyema na Madakatari akiona Serikal ya awamu ya 5 ccm ikichapa kazi ila ajue hii serikal sio ya jk iliyokuwa na uvumilivu wa kiwango cha juu sana cha uvumilivu kuwahi kutokea Africa nzima
 
Kama ni kweli Mungu amsamehe, Nilimpoteza baba yangu kipindi cha Mgomo, Tulipompeleka hospitali tulikuta madaktari wapo kwenye kikao cha mgomo, Mzee hakuchukua muda akafariki.
 
Mleta taarifa inawezekana yupo shule ya msingi tumsamehe tu hata kama taarifa haina kichwa wala mkia.
 
Pole zake. Ila aache kushabikia siasa. Haki za binaadamu hazihusu matapeli wa chadema tu. Walekeze nguvu zao kuishauri serikali ianzishe mpango maalumu wa kuwakarimu watu wasio na makazi mitaani kwani ni aibu watu kulala nje au chini ya madaraja. Hiyo ndiyo haki ya binadamu na siyo kuwatetea chadema na genge lao la wezi.
 
Huyu mama alikuwa anapinga matumizi ya mashangingi kumbe na yeye analo, mungu kamuumbua.

Matumizi ya mashangingi hayafai kama fedha ya wananchi/umma inahusika kwani hiyo hela inatakiwa kwa ajili ya matumizi mengine kwa maslahi mapana ya wanajamii, lakini huwezi zuia mtu binafsi kwa fedha zake eti asinunue kitu anachotaka.
 
apa 2naomba kova athbitishe uckute fix 2 ii
 
Kama ni kweli Mungu amsamehe, Nilimpoteza baba yangu kipindi cha Mgomo, Tulipompeleka hospitali tulikuta madaktari wapo kwenye kikao cha mgomo, Mzee hakuchukua muda akafariki.

Huyu ndie alieshauri na kumtafuta Dr.Ulimboka aingoze Mgomo wa kudai Maslahi ya madaktari wa Serikalini wakati Ulimboka hakuwa Mtumishi Serikalini alikuwa Mtumishi kweny NGO ya nje ya nchi lengo ni kuhakikisha mgomo ule udumu mpaka Wananchi wakose Uvumilivu iliposhindikana wakapanga hujuma dhidi ya Ulimboka ionekane Serikal imemdhuru Madakatari wazidi kuichukia Serikal lakini Baada ya Ulimboka kupona na kujua ukweli wote alijitoa kabisa kwny hizo harakati na hata mahusiano na Maelewano na Waliomchochea yalikufa kabisa hataki hata kuwaona. We mtu atupwe mabweoande halafu mtu wa kwanza kufika kumuokoa awe Hellen kijokisimba akiwa na mlolongo wa Vyombo vya habari na kamera kuanzia kulekule porini!!! Pole ndugu kupoteza Mzazi
 
Pole zake. Ila aache kushabikia siasa. Haki za binaadamu hazihusu matapeli wa chadema tu. Walekeze nguvu zao kuishauri serikali ianzishe mpango maalumu wa kuwakarimu watu wasio na makazi mitaani kwani ni aibu watu kulala nje au chini ya madaraja. Hiyo ndiyo haki ya binadamu na siyo kuwatetea chadema na genge lao la wezi.
We naye, ulishawahi kuona wapi hususani ktk Afrika, mtetezi hasa wa haki za binadamu akawa rafiki wa serikali?!! Ambazo nyingi zimejaa dhuruma tu, na ndio maana ktk nchi za afrika kuwa mtetezi wa haki za binadamu ni kama kujitoa mhanga kwani serikali nyingi za kiafrika hazitaki maovu yao kujulikana. Jela nyingi za kiafrika zimejaa watetezi wa haki za binadamu na wanaharakati.
 
Back
Top Bottom