Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Jamani kuna watu hatari hapa duniani,huyu mama naye siyo mtetezi wa kweli wa haki za binadamu,na yeye ni anatafuta maslahi yake tu,angalia mama anasukuma V8.

....roho mbaya sura mbaya !!!
 
Naona watu wana uelewa tofauti sana,yaani kumiliki v8 ni tatizo nchi hii,kila anayemiliki gari kali ni mwizi?hahahahahahahahaha.Kumbe hakuna haja ya kutafuta pesa maana ukizikamata unaitwa mwiz
Hii ndio Tz mkuu, ukifulia unasakamwa na ukiwa na mali unaambiwa mwizi, hatuamini kwenye kufanikiwa kwani siku zote tunaamini kwenye kufeli hivyo jaiwezekani mtu kuchomoka
 
Pohamba inajua Sheria ya mitandaoni imeanza Kazi? Una ushahidi Wa hiyo taarifa yako? Ngoja mama apone aifanyie Kazi watu wengine mnapenda kuzusha sana
 
Ni kweli mkuu OME123 Pia hatuamini kama mtu anaweza aka struggle na kununua gari kama hilo pasipo ufisadi wakati kwa umri wa huyo mama na level yake ya elimu plus exposure sehemu mbalimbali nje ya nchi, hilo gari ni kitu kidogo sana cha kujadili

Mtoto wa bhakresa anaendesha lombardine, mengi ana benz bullet proof hatuhoji tunajua ni mapato ya kazi zao, huyu anaishi kwa misaada ya wahisani anakula jasho la wajane na watoto wa mitaani, yaani anaishi kwa migongo ya masikini haya maisha ya kifahari namna hiyo hapana kabisa.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli mkuu OME123 Pia hatuamini kama mtu anaweza aka struggle na kununua gari kama hilo pasipo ufisadi wakati kwa umri wa huyo mama na level yake ya elimu plus exposure sehemu mbalimbali nje ya nchi, hilo gari ni kitu kidogo sana cha kujadili

Usishangae miafrika ndivyo tulivyo tushajikatia tamaa na maisha ilhali tunakanyaga na kulalia lulu sijui na huko dubai kwenye jangwa laiti wangelikata tamaa kama sie huku wakina ngina wangekuwa wapi sasa watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
 
Last edited by a moderator:
Tizama gari ya nape, nyumba ya deo, sasa gari la dr! hapana hii nchi mtetezi kabaki magufuli tu, nae akitutosa basi tena.

We punda kweli... Magufuli unamuona mwenzako? Unaijua ile hotel pale bamaga?
Unazijua nyumba anazomiliki,?
Umaskini ni wewe na ndugu zako.
Kuhusu deo yule ni mfanya biashara toka kitambo.
 
Jamani kuna watu hatari hapa duniani,huyu mama naye siyo mtetezi wa kweli wa haki za binadamu,na yeye ni anatafuta maslahi yake tu,angalia mama anasukuma V8.

Chaajabu ni nini?.Kuwa na gari lako binafsi zuri kunashida gani?.Mbona hamseni wanaomiliki boti,helikopta na makampuni?.
 
Mungu awe nao mwanaharakati
 
Attachments

  • 1446974347013.jpg
    1446974347013.jpg
    43.6 KB · Views: 1,818
We punda kweli... Magufuli unamuona mwenzako? Unaijua ile hotel pale bamaga?
Unazijua nyumba anazomiliki,?
Umaskini ni wewe na ndugu zako.
Kuhusu deo yule ni mfanya biashara toka kitambo.

ndo maana nasema kumbe masikini tumebaki wachache, sasa nakubaliana na magufuli masikini ni 28% ya watanzania.
 
Naona watu wana uelewa tofauti sana,yaani kumiliki v8 ni tatizo nchi hii,kila anayemiliki gari kali ni mwizi?hahahahahahahahaha.Kumbe hakuna haja ya kutafuta pesa maana ukizikamata unaitwa mwiz

Nilikuwa natafuta mtu atakayeliona hili. Afadhali kumbe mpo asee. Tumetawaliwa sana na akili za wizi mpaka tunaona kila mtu mwenye kitu atakuwa mwizi tu.
 
Huyu ndie alieshauri na kumtafuta Dr.Ulimboka aingoze Mgomo wa kudai Maslahi ya madaktari wa Serikalini wakati Ulimboka hakuwa Mtumishi Serikalini alikuwa Mtumishi kweny NGO ya nje ya nchi lengo ni kuhakikisha mgomo ule udumu mpaka Wananchi wakose Uvumilivu iliposhindikana wakapanga hujuma dhidi ya Ulimboka ionekane Serikal imemdhuru Madakatari wazidi kuichukia Serikal lakini Baada ya Ulimboka kupona na kujua ukweli wote alijitoa kabisa kwny hizo harakati na hata mahusiano na Maelewano na Waliomchochea yalikufa kabisa hataki hata kuwaona. We mtu atupwe mabweoande halafu mtu wa kwanza kufika kumuokoa awe Hellen kijokisimba akiwa na mlolongo wa Vyombo vya habari na kamera kuanzia kulekule porini!!! Pole ndugu kupoteza Mzazi
huyo bibi wa kitusi ni jasusi la kagame,sema always jk alikuwa akiwaoutsmart kila walipopanga njama za kumwangusha
 
Barabara za dar sioni mahali pa speed mpaka kupata ajali kama hii
 
Ujue huyo mama kapanga kupeleka malalamiko yake UN sasa isije ikawa ni fitna hizo.
Hivi huyo mama si ndiyo kituo chake cha haki za binadamu kilivamiwa na vijana wa afande Kova na watumishi wake pamojs na vitendea kazi vyao kama computers nk. kusombwa na wakafunguliwa mashitaka ya 'kosa' la kujumlisha kura za uchagizi uliopita, ilihali wao wakiwa waangalizi wa uchagizi huo waliruhusiwa na NEC kufanya shughuli hiyo?
Hiyo ajali itabidi iundiwe Tume ya uchunguzi kujua kama kweli ilikuwa ni ajali ya kawaida au kama kuna mchezo mchafu umehusika.
 
Back
Top Bottom