Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,595
Huyu mama simpendi balaa,tangu awaunge mkono madaktari na mamia ya watu kupoteza maisha,simpendi balaa
Na hao madaktari ulitaka wale nini?
Huyu mama simpendi balaa,tangu awaunge mkono madaktari na mamia ya watu kupoteza maisha,simpendi balaa
Hii ndio Bongo!! Unakumbuka Nyumba ya Deo Filikunjombe! ? H
huyo bibi wa kitusi ni jasusi la kagame,sema always jk alikuwa akiwaoutsmart kila walipopanga njama za kumwangusha
Naweza kubali kwa sababu watu wanabwajabwaja bila facts.mfano ukimuuliza suala la mgomo wa madaktari mama alihusika vip anakosa jibu.tuwe na utu jamani Watanzania
Chaajabu ni nini?.Kuwa na gari lako binafsi zuri kunashida gani?.Mbona hamseni wanaomiliki boti,helikopta na makampuni?.
Ni jumapili asbh. km unaielewa dar bac utajuwa muda huo ally hassan mwinyi eneo la jirani na red cross huwa likoje.
Mbona jiografia ya eneo la ajali haieleweki
Mzee wako angekufa tuu hata kama angewaona hao madaktari maana wao walikuwa wanadai wawezeshwe vifaa tiba na madawa kwa ajili ya kumtibu baba yako na wengine maana wakubwa wao wanakwenda nje.
Mnakubali propaganda za kijinga huku ndugu zenu wanaisha kwa kukosekana vitu hivyo. Kumuona daktari asiye na dawa wala vifaa ni sawa na kucheza Mziki usio na ala. Madaktari wetu wanatuhudumia katika mazingira magumu kama tuko vitani
Namna ya ajali inaleta mashaka maana kwa mjini kupata ajali kama hyo, hapo labda alikua katika mwendokasi au gari ingne imeibamiza kwa ubavu ndo itapinduka namna hyo
Mtetezi ana gari Kali ivyo sikujua ilo.
Ila pole mama and get well soon
Huyu mama alikuwa anapinga matumizi ya mashangingi kumbe na yeye analo, mungu kamuumbua.
hii nchi tuache tu kuhubiri ufisadi, sikutegemea huyu mama angekuwa na gari kali namna hii, sasa naamini kuwa nchi hii masikini ni wachache mno wengine wanajifanyisha tu. Mleta story hebu tueleze alikuwa anaendesha mwenyewe kama nape? basi asijekuwa kajitoa muhanga zile computer zilizochukuliwa na kova zilikuwa na mambo mazito sana.
Asante... Hadi machozi yamenitoka, kumbe huyu mama ni mafia hivi? Naikumbuka ile siku Ulimboka kaokotwa anapelekwa Muhimbili, nilikuwa naangalia taarifa ya habari kwa kweli niliumia kwa hali aliyokuwa nayo.
Kumbe huyu mwanamama ndo alikuwa behind the scene?
Mola amsamehe....
ha ha ja,si mnasema hali mbaya jk ameharibu uchumi,sasa atapaya kweli hela ya kununua hata kibabywalker kweli?kwani na wewe umenyimwa kua na gari? acha mawazo yako ya kimaskini na ya kitoto
Naweza kubali kwa sababu watu wanabwajabwaja bila facts.mfano ukimuuliza suala la mgomo wa madaktari mama alihusika vip anakosa jibu.tuwe na utu jamani Watanzania
mtuhumiwa wa jf,,,,,,,,huyo jamaa muongo mbna mpka leo mtuhumiwa no 1 ni rama ni ilisemwa kila mahali.......issue y ulimboka 100%ilikua chini y mtoto wa mkulima
dawa ya fisadi ni kumzomea - Tundu Lissu.