fakalava
JF-Expert Member
- Jul 16, 2015
- 4,459
- 6,033
Imetokea wapi? Muda gani? Nini Madhara ya ajali hiyo? Je mkurugenzi alikuwepo kwenye gari? Tusitiane presha bana..
Hii ajari imetokea Upanga, makutano ya Ali Hassan Mwinyi na hii barabara ya kutokea baharini Agha Khan kama sikosei.
Inasemekana kulikuwa na watu 4 ila mimi nimekuta wamekwisha pelekwa Hospitalini.