Afe tu..... hatutaki wanafiki
mtikila alipa ajali saa 11 asubuhi gari ilikutwa matairi juu, huyu kapata ajali asubuhi matairi yako juu, dar kutakuwa na vibwengo, halafu magufuli anataka tuwahi kazini ili ufike kazini saa moja kimara tutoke saa ngapi, mie simo.
Kweli naona kuna watu wanafikiria kwa ubongo wa panzi. Eti gari Kali. Hivi unajua Kituo chake kina support kubwa sana kutoka kwa wapenda haki? Hivi unajua mama ni msomi na mwanasheria siku nyingi? Hivi unajua kuwa anafanya pia consultancies nyingi sana zenye hela ndefu. Ni tajiri kwa ubora wake. Pia aendeshe V8 ni halali yake. Analipa kodi na mafuta hivyo ni part ya Revenue ya serikali tofauti na mashangingi ya serikali tax free na mafuta kutokana na kodi yako. Shame on you. Ndiyo maana ilani ya Ukawa ilisisitiza Elimu Elimu Elimu. Mijitu mnakurupuka kwa poor analysis. Rudini shule ngumbaro mkasome upya. Mungu wa majeshi akuponye mama Helen Kijo Bisimba. Angalizo ndugu jamaa na Marafiki hakikisheni anahudumiwa na personal Doctor na ulinzi wanandugu msifanye kosa. Anawindwa na Mishale hatari.
Kuna ajali imetokea mbaya sana baada ya gari la mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC Dr. Hellen Kijo Bisimba Kupinduka.
Ni karibu na mataa ya Aga Khan, Dar es Salaam.
Walikuwa kwenye mataa, wamegongwa na gari kwa nyuma gari lao lika-overturn.
Amepelekwa hospitali.
![]()
![]()
![]()
Mbona habari nusu nusu?
Nini chanzo cha ajali?
Mkuu asante kwa taarifa kutufanya jf to be the first to know, ila pia taarifa kama hizi za kuunga unga pia ndizo zinazoishushia jf credibility, unasema gari imegongwa kwa nyuma, wakati nyuma gai inaonekana wazi iko intact!, eneo ni kweli ni Aga Khan kwa sababu naona bango la ofisi ya SUMATRA kwa nyuma!. Unapoleta taarifa kama hizi, lazima uwe makini kutoa taaifa za kweli na za kina!. Kiwango cha uharibifu wa hilo gari sio gari lililogongwa tuu na kupinduka bali lilipogongwa, lilipaa juu, likashuka chini kwa impact ndio maana limebondeka sana!.
Get well soon Mama Kijo Bi Simba (Dr)
Pasco