Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Dr. Helen Kijo Bisimba wa LHRC apata ajali

Hapana tizama hiyo wheel cover imesambaratika, ila huku kugongwa ubavuni nako kuna nipa shaka sana, halafu ilikoangukia mbona mbali sana kutoka kwenye mataa, inamaana liligongwa na kuburuzwa hadi huko? lile gari lilogonga liko wapi au ndo lilisepa litakuwa gari lisilokuwa la kawaida.

Ugongwe kwa nyuma matairi yapasuke engine oil imwagike libonyee ubavuni.

Wewe Unadhani WANAMUME Huwa Wanaenda Israel, Uingereza, Cuba Na Urusi Kushangaa Tu Maghorofa Na Kupoteza Muda?
 
Huyu mama simpendi balaa,tangu awaunge mkono madaktari na mamia ya watu kupoteza maisha,simpendi balaa
 
kazi tumefanya hadi migongo imepinda hawa wachache ndo wanaturudisha nyuma, haiwezekani mtu anaka ngo ka kutetea wajane amiliki gari ya mil500.

Nabado umechagua CCM....!!
 
16ixyc2.jpg

Ukiachilia Role Models Wangu Kwa Tanzania Rais MAGUFULI Na Rais Paul Kagame Kwa Huko Ulaya Huyu Rais Vladmir Putin Ni Mmoja Wapo Bila Kumsahau Kipenzi Changu Waziri Mkuu Wa Israel Benjamin Netanyahu. Sijui Kwanini Nawapenda Marais WABABE Lakini Wako Very Hardworking.
 
Watanzania bwana,kama hamnazo hivi.Kama kapata hela yake ya halali kuna ubaya gani.Tunachopinga sisi malofa ni kutuibia hela yetu halafu ikanunulia mashangingi kwa ajili ya matumizi ya wateule wachache.Wangeweza kutumia Noah na hela inayobaki ikatengenezea madawati.
Huyu mama alikuwa anapinga matumizi ya mashangingi kumbe na yeye analo, mungu kamuumbua.
 
Uguwa pole.

Labda ukiwa hospitali utazifikiria dhambi zako vizuri za kujifanya mtetezi wa haki za binaadam kumbe ni mnafik.

Na Pengine Huko Huko Aliko Sasa Anaweza Pia Akapewa Maudhui Ya Lile Bonge La Movie Lenye Title Ya " PAY BACK ". Nimekupata Dada. Ni Kheri Uishi Na Wachawi 10,000 Kuliko MNAFIKI ALIYETUKUKA MMOJA.
 
Watanzania bwana,kama hamnazo hivi.Kama kapata hela yake ya halali kuna ubaya gani.Tunachopinga sisi malofa ni kutuibia hela yetu halafu ikanunulia mashangingi kwa ajili ya matumizi ya wateule wachache.Wangeweza kutumia Noah na hela inayobaki ikatengenezea madawati.

igp cdf watumie noah?
 
Hii mada umekoment throughout.

But komenti zako zote zakipuuzi na hazilingani na mada hii.

Kashifa, uzushi nk please you can do better than this.

Sometimes tujiheshimu hasa nyajati za huzuni.

Kwenye matatizo tujaribu kuwa na hekima na tutumie vema busara zetu.

nikuchanganyikiwa tu na maisha, vijana wadogo na wamama wanasukuma mikoko ya nguvu, sie wanuka jasho wala hatujui tuelekee wapi!
 
Nani kakuambia kuwa huyo ni Mtusi? Nawafahamu baba na mama yake, na si Watusi.

Acheni Na Tena MKOME Kulifananisha KABILA LANGU TUKUFU La KITUTSI Na Watu Wa AJABU AJABU. Huku Rwanda Hatuna Such HYPOCRITES. Kwa Niaba Ya Wanyarwanda Wote Tuliomo Humu Naomba Aliyekosea MFANANISHO Huu Aniombe Radhi Upesi Na Haraka Sana Tafadhali.
 
Na Pengine Huko Huko Aliko Sasa Anaweza Pia Akapewa Maudhui Ya Lile Bonge La Movie Lenye Title Ya " PAY BACK ". Nimekupata Dada. Ni Kheri Uishi Na Wachawi 10,000 Kuliko MNAFIKI ALIYETUKUKA MMOJA.

hebu tusitake kupindisha mada, gari haijagongwa, haiwezekani mgongane eneo la ajali ionekane gari moja tu basi kagongwa na gari la jeshi. Hapa alikuwa mafuta tairi la nyuma kushoto likapasuka akashika breki kudadadeki likamzungusha, tizama tairi ni BF Goodride tena kipara hizi zikiexpire huwa zinapasuka hata gari imesimama.

Tizama oil imemwagika na gari imejiburuza kutoka nyuma hadi mbele upo uwezekano hii gari ilipinduka mara kadhaa kabla ya kutulia matairi juu. Hapa inawezekana dereva hakuwa mzoefu tairi ilivyopasuka na gari kuyumba akashika break.
 
Ukiachilia Role Models Wangu Kwa Tanzania Rais MAGUFULI Na Rais Paul Kagame Kwa Huko Ulaya Huyu Rais Vladmir Putin Ni Mmoja Wapo Bila Kumsahau Kipenzi Changu Waziri Mkuu Wa Israel Benjamin Netanyahu. Sijui Kwanini Nawapenda Marais WABABE Lakini Wako Very Hardworking.

huu mkono wa putin ni hatari sijui huwa unabeba nini?
 
Hii mada umekoment throughout.

But komenti zako zote zakipuuzi na hazilingani na mada hii.

Kashifa, uzushi nk please you can do better than this.

Sometimes tujiheshimu hasa nyajati za huzuni.

Kwenye matatizo tujaribu kuwa na hekima na tutumie vema busara zetu.

You have nailed it. Toka thread ianzishwe hana kazi zaidi ya kupost ushu..zi tu sijui kaiba laptop ya shemeji yake?
 
You have nailed it. Toka thread ianzishwe hana kazi zaidi ya kupost ushu..zi tu sijui kaiba laptop ya shemeji yake?

fatilia comment zangu kwa miaka mitano iliyopita sipendi biashara za huyu mama.
 
Kuna ajali imetokea mbaya sana baada ya gari la mkurugenzi wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu LHRC Dr. Hellen Kijo Bisimba Kupinduka.

Ni karibu na mataa ya Aga Khan, Dar es Salaam.

Walikuwa kwenye mataa, wamegongwa na gari kwa nyuma gari lao lika-overturn.

Amepelekwa hospitali.

Mhhhhh! Inatia shaka sana, huenda ilikuwa ni mission.
 
Get well soon mama...
Ndo mjiulize; NGOs zina speak 'for' or 'with' people (representativeness and legitimacy)
 
Back
Top Bottom