binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 8,904
- 22,292
Duh!Unapotendewa jambo jema, ustaarabu ni kushukuru kwa yote hata kama ulionewa. Natoa wito kwa Tundu Lissu, amshukuru sana Mama Samia
Ila pia sitashangaa iwapo shukrani haitatolewa kwasababu baadhi ya wenzetu hawana shukrani.
P