DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

Watafuta kesi nyingi sana maana zilifunguliwa kumfurahisha Mwendakuzimu bila kuzingatia vigezo muhimu.

Pia hakukua na jinai wala misingi muhimu. Kifo cha Magufuli ni neema kwa taifa.

Boya yule alifikiri nchi ni mali yake. Hata mke wake amenawiri baada ya kifo chake maana yake alimchosha mwanamke na vitasa.
PGO imekua shida mkuu
 
Boys mamako mwambie aje aone shugli

USSR
Achilia mbali kusema nimlete mama yangu.
Mimi nakufahamu na nishatembea na mke wako sichini ya mara tano na ananikubali vya kutosha kabisa kama unatakauthibitisho wa hili nitatuma picha yake humu kila mmoja aone na nitagawa namba yake ya simu watu wafanye kazi.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Unapotendewa jambo jema, ustaarabu ni kushukuru kwa yote hata kama ulionewa. Natoa wito kwa Tundu Lissu, amshukuru sana Mama Samia

Ila pia sitashangaa iwapo shukrani haitatolewa kwasababu baadhi ya wenzetu hawana shukrani.
P
Amshukuru mama kwani alifanyaje mpaka akashitakiwa na kesi imefutwa kwa sababu gani?

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Mama Samia anahusika vipi na maamuzi ya DPP?
Sio wengi wanajua chanzo, hicho anachofanya DPP ni kitendo tuu sio chanzo.
Mambo yalianzia hapa
Yakaja hapa

yakaja hapa

Hivyo japo kisheria nolle ni uamuzi wa DPP, hapa ni DPP anafuata tuu maelekezo
P
 
Baada ya kutusumbua kwa miaka 5 kwa kesi ya uongo ya uchochezi, DPP ameifuta kesi hiyo. Lakini bado kuna kesi nyingine 5 za uongo dhidi yangu & mamia nyingine dhidi ya viongozi, wanachama & Mwenyekiti wetu Freeman Mbowe. Zote hizo zinatakiwa kufutwa bila masharti yoyote- Tundu Lissu

After five years of purposelessly persecuting me & four journalists with baseless sedition charges, Tanzania's DPP has dropped the case. Five more equally frivolous cases remain & hundreds more still face our members, including Chairman Mbowe. It's past time they're all withdrawn- Tundu Lissu


Lissu.jpg
 
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Pia wamlipe haki zake zote na kumhakikishia usalama wake yeye na familia yake yote akiamua kurudi Nchini, vinginevyo ni usanii tu.

Kwanza mkamate na kuwafungulia kesi waliotaka kumuua bila hivyo itakua ni uongo..miaka 4 yote mnataka kusema mmeshindwa???
 
Back
Top Bottom