DPP awafutia Tundu Lissu na Wahariri wa Gazeti la Mawio kesi ya Uchochezi

Criminal Case No.208/2016 iliyokuwa ikimkabili Tundu Lissu na wenzake watatu katika Mahakama ya Kisutu, imefutwa na DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai. Watuhumiwa wote wako huru.
Katiba yetu ni mbaya. Imemuumba mungumutu anaeitwa DPP . Unafanyiwa figisu miaka yote hiyo. Halafu anajitokeza DPP baadaye anasema hana nia ya kuendelea na kesi !!. Ujinga
 
Naona leo lisu meno njenje baada ya ofisi ya DPP kufuta kesi yake na mwenzane wa gazeti la mawio Jabri Idrisa

Sasa lisu yuko huru kuna nchi imetoa msamaha hadi kwa wazandiki kama lisu

USSRView attachment 1948188
Wacha uboya. Si mlisema mtamfunga na makesi kibao mbona hamweleweki mko kama mademu wa tandale.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Criminal Case No.208/2016 iliyokuwa ikimkabili Tundu Lissu na wenzake watatu katika Mahakama ya Kisutu, imefutwa na DPP kwa mujibu wa Kifungu cha 91(1) cha Sheria ya Mwenendo ya Makosa ya Jinai. Watuhumiwa wote wako huru.
Unapotendewa jambo jema, ustaarabu ni kushukuru kwa yote hata kama ulionewa. Natoa wito kwa Tundu Lissu, amshukuru sana Mama Samia

Ila pia sitashangaa iwapo shukrani haitatolewa kwasababu baadhi ya wenzetu hawana shukrani.
P
 
Naona leo lisu meno njenje baada ya ofisi ya DPP kufuta kesi yake na mwenzane wa gazeti la mawio Jabri Idrisa

Sasa lisu yuko huru kuna nchi imetoa msamaha hadi kwa wazandiki kama lisu

USSRView attachment 1948188
Mjinga kabisa katika jukwaa hili huwa ni wewe dada !!. Umekuwa ukivishabikia vitu hivi vya kipumbavu vya kupotezeana muda.

Kelele zote za kumfuata Lissu Dodoma usiku kama jambazi. Zimeishia kwa DPP kusema hana nia ya kuendelea na kesi ?!

Ujinga
 
Back
Top Bottom