lm317
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 451
- 44
Nilichoona kwenye hii document ukiacha legal jargons ni kwamba
1. Tanzania ilikubaliana na ICC for three former cases ambazo zimeamua in favour of Tanzania Kwa hiyo lazima mkubaliane na fourth one? and then wakasisitiza "NO Appeal"
2. Nafikiri waliokubali tupeleke case ICC ndio waliotuuza kama nchi
3. In this case wale wote walio support Dowans inunuliwe/itaifishwe wanaingia katika vitabu vya historia kama Wazalendo
4. Bila kumumunya maneno Zitto/Idrisa/Lipumba ni wazalendo na wanahitaji kupongezwa
5. Bila kumumunya maneno Sitta/Mwakyembe/Kilango ni wanasiasa uchwara na si Wazalendo.
Hapana huo ulikuwa mtego wa kwanza!
Unafikiri Dowans ya RA tungeinunua kwa Shs ngapi?
Yangekuwa maumivu zaidi ya tunayolia sasa.
Ushauri haukuwa wa kizalendo