VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,375
Imekuvutia sababu umeona na kugundua kipengele ambacho kitatufanya tusilipe au....? because mimi mwenzako sikuona chochote cha kuvutia....Mkuu asante sana kwa salamu hizi za mwaka mpya, page ya 121 imenivutia sana, BIG UP kwa saaaaaaana!