DOWANS vs TANESCO - Why TANESCO Lost?

DOWANS vs TANESCO - Why TANESCO Lost?

TANESCO is worth more than those big three telecom companies put together. Hii kampuni kama ikipata mtu ambaye atai run vizuri mbona ni profitable sana?

TANESCO haiwezi ku-declare bankruptcy ina assets (14% ya Tanzanians, customers) ambao wana gurantee income kila mwezi. Wakijaribu declare bankruptcy, anachaguliwa administrator ana-run company for 12months na jamaa wanapata hela zao, on top of that administrator anaweka fees zake, (uuuuiiiii) ni very expensive kwa kampuni kama TANESCO ku-declare bankruptcy.

Kama ingekuwa ATCL wanadaiwa ndio ingekuwa cheap ku-declare bankruptcy.

TANESCO wanatakiwa wa-negotiate longtime payment, lakini inaonekana DOWANS watalipwa haraka sana kwa kuwa hii ni inside job.

TANESCO wana opportunities nyingi sana za kushinda hii kesi even now, lakini hii ni inside job kwa hiyo TANESCO lazima washindwe na DOWANS lazima walipwe.

Kwanini vyama vya upinzani visiiambie serikali sisi tutaitetea TANESCO na wa-appeal on their behalf (the problem is how many commercial lawyers ni wapinzani na je govt watakubali?)

Tanesco (serikali) ikifanya hivyo ICC haitatambua tena kesi zao mbeleni; na wametolea mfano kwa kesi zilizowahi kuwa ruled in favor ya serikali yetu, vivyo hivyo maamuzi ya kesi hii yaheshimiwe, ati!!
 
Me too I am done with part II, now going back to part I tena...lakini waitin anxiously if not in vain for the part III...kama enzi zile za video kule kijijini,
 
Mkuu hii Doc ni Confidential kweli kweli lakini tunashukuru kutuletea hapa JF kwani naamini kuna wataalaamu wa kutosha kutupa mwanga.

Kwa ujumla kilichokuwa kinafanywa hapo viongozi pamoja na wataalamu wetu walikuwa wanajua wala hahitaji kusema kuwa tulizidiwa uwezo wa kisheria ndo maana hata waamuaji wa kesi wanasema Respondent yaani TANESCO hawa kuwa makini kwa kukosa kufanya ordinary diligence kwa mfano TANESCO waliandikiwa barua mbili za mtego Wezi wakifafanua uwezo (eg. a/c RBC&CRDB etc) kwa maksudi kabisa TANESCO wanaingia mtegoni yaani to Consent.

Pia madai yao ya Misrepresentation kwa claimant ni yakitoto kwani walikuwa wanajifunga kisheria. Wametuibia mara mbili hizo bilioni za kusimamia kesi pamoja na tunazotakiwa kuzilipa kwa RA.Kwa vile serikali na TANESCO walijua watashindwa hiyo kesi.
 
OP uko vague sana kwenye swali lako na nini haswa unachotaka kutufahamisha hapa

Nimesoma lakini inaonekana kuwa doc iko incomplete. Sidhani kama kuna mtu anaweza akaja na proper legal arguments on this kwa document iliyokuwa posted na kama akija na hoja then atakuwa ana mislead wasomaji wa JF. If anything itakuwa ni ngumu hata mtu kuwa na bias (either way) kwa kuwa kilichopo hakijakamilika na kwa kuelewa types za watu wa humu ni kuwa out of 100 or so watakao download maybe ni watu 6 tu ndio watakao kuwa wameisoma the whole thing na kati ya hao maybe ni watu 4 au 3 ndio watakao kuja na proper legal arguments ambazo hazina bias na walio baki wote itakuwa yale yale ambayo tumezowea humu nayo ni:

a) CCM ni mbaya

b) JK hafai

c) DR SLAA is the right person

d) ROSTAM ashitakiwe


USHAURI:

Weka nondo nzima then watu (hatakama wachache ) waingie kazini kuja na arguments or counter arguments on this document

Soma umalize then urudi kucomment
 
Kiongozi hii mambo ni zawadi tukufu kwa watanzania...Asante sana!
 
Kwa nini wamelazimika kutoa mifano ya kesi ambazo Tanzania imepata kushinda katika mahakama hiyo, katika kujenga hoja kuwa NI LAZIMA SERIKALI IILIPE DOWANS sasa? Is there any one with an idea, why
 
Kwa nini wamelazimika kutoa mifano ya kesi ambazo Tanzania imepata kushinda katika mahakama hiyo, katika kujenga hoja kuwa NI LAZIMA SERIKALI IILIPE DOWANS sasa? Is there any one with an idea, why

Are you suggesting ICC nayo imechakachuliwa na wahuni wa Dowans??!
 
Thank you JF. ...Always you are going beyond borders.....beyond Obviously !!
Hii dozi ni nzito kweli kweli!

Naomba niulize kwa nini hawa ICC wanasisitiza hakuna ku appeal? Au hii hukumu imetengenezwa kwa madhumuni fulani?
 
Hapa huwa nachanganyikiwa na kazi ya hii kamati! Hawakuliona hili??



Mkuu Ogah! pole sana ni kilio cha wote, Kuna tatizo

1. Kufanya kazi kwa mazoea
2. Kutojua mikataba ya kimataifa
3. Kuzidiwa nguvu aidha kwa makusudi au bahati mbaya, ambapo naamini kabisa kwa shirika kubwa kama hili ni uzembe



Mkuu Ogah! Mwakyembe is responsible for this, tusitete watu wa aina yake

Kwa ufahamu wa Mwakyembe alitakiwa kuonya au
1. Aidha alikosa ushirikano wa ndani ya TANESCO
2. Aliwaamini kuwa alipoishia wao wateza
3. Au alijua wazi matokeo ya kesi hii na alishindwa atapambana nalo vipi. Na kama yuko serious na uzalendo he was supposed to speak out and alert Tanzanians the danger ahead! Leo angekuwa hero!

Lazima ifike muda professionals wawe accountable na matokeo yao,

Mwakyembe ameulizwa why this happened, au ndiyo yaleyale ya kuogopa baada ya kupewa uwaziri, OK, achilia mbali Mwakyembe hata mwanasheria nguli Sitta?

Bila kuwabana hawa watu tunaendelea na tabia hii, IFIKIE MUDA WATU KUKATAA KABISA kufanyika mgongo, while we are blaming Rostam we need to reveal this Network mpaka ngazi ya chini, watu tunaweka professionals mfukoni tunapofanya kazi serious kama hii.

Kibaya ni kuwa hawa wanasheria wa TANESCO HAWAKUPEWA NGUVU na serikali na backup za kutosha, kuna kila dalili wanasheria wa TANESCO waliuziwa mbuzi kwenye gunia na Dr. Rashid!

ni binadamu wa kawaida na walikulia kweny nchi corrupt ambayo kujenga nyumba ya vigae kwa hela ya rushwa au kuwadhulumu watz ni sifa pekee ya wewe kuonekana una akili katika jamii. Walijua wanafanya nini hawa wala msiumize vichwa. money talks
 
Nilichoona kwenye hii document ukiacha legal jargons ni kwamba

1. Tanzania ilikubaliana na ICC for three former cases ambazo zimeamua in favour of Tanzania Kwa hiyo lazima mkubaliane na fourth one? and then wakasisitiza "NO Appeal"

2. Nafikiri waliokubali tupeleke case ICC ndio waliotuuza kama nchi

3. In this case wale wote walio support Dowans inunuliwe/itaifishwe wanaingia katika vitabu vya historia kama Wazalendo

4. Bila kumumunya maneno Zitto/Idrisa/Lipumba ni wazalendo na wanahitaji kupongezwa

5. Bila kumumunya maneno Sitta/Mwakyembe/Kilango ni wanasiasa uchwara na si Wazalendo.
 
Wakuu,

Hii ni SIRI KUBWA, hivyo tunahitaji wanasheria mtushauri kwa kusoma SIRI HII KUBWA na kuangalia kama taifa tuna pa kujinusuru au hii 2011 tuhesabu maumivu tu.

BTW: Happy New Year 2011 (with my 1st dose)

Mkuu Invisible unatuanzishia mwaka kwa kilio? Ipo siku tutajinasua kutoka mikononi mwa wanasiasa!

Laiti kama ingelibandikwa hapa wakati wa kampeni!
 
Ndugu yangu Invisible mpaka hapo panatosha hata kwa kuanzia maandamano au Hoja Binafsi kwani imetoka jikoni kabisa na tunaibiwa.

Tutawaomba wale wachache wanaojua sheria watutafsirie sisi vihiyo kumbe ICC waliposema The Parties waive any right to challenge or contest the validity or enforceability of this abritration agreement or any arbitration proceeding......... tunaweza kupinga?

Mimi naona Tukikutuma ukalete tena chakula yote utadakwa hiyo barua ya mkuu inatosha pale mwebe yanga au Bungeni inatosha kuwabana mafisadi hongera sana Invisible
 
Shukrani Invisible kwa nondo ya nguvu.

Ubarikiwe sana tu kwa mwaka huu 2011 ili uweze kuleta nondo zaidi na zaidi.

Hata hivyo nimeisoma lakini nimeshindwa kuelewa kilicho endelea na sasa namtafuta mwanasheria aweze kunifafanulia zaiidi......

Ahsante saana Mkuu.
 
Kumbe AG alivyosema hii case imefungwa na lazima tulipe alikuwa anajua ukweli wa hukumu hii.

Hapa tumefungwa magoli na hatuna wa kumuuzia kesi hii.

Tungelinunua mtambo kwa bilioni 50, tungelikuwa tumeokoa mambo mengi sana.
 
Kama ingekuwa ATCL wanadaiwa ndio ingekuwa cheap ku-declare bankruptcy.

TANESCO wanatakiwa wa-negotiate longtime payment, lakini inaonekana DOWANS watalipwa haraka sana kwa kuwa hii ni inside job.

TANESCO wana opportunities nyingi sana za kushinda hii kesi even now, lakini hii ni inside job kwa hiyo TANESCO lazima washindwe na DOWANS lazima walipwe.

Kwanini vyama vya upinzani visiiambie serikali sisi tutaitetea TANESCO na wa-appeal on their behalf (the problem is how many commercial lawyers ni wapinzani na je govt watakubali?)
Ewe Mungu tuokoe!
Watanzania tunachinjiwa Baharini hivi hivi tunaangalia!:shock::embarrassed::embarrassed::embarrassed::embarrassed::scared:
 
Zitto hatukufukuzi tena Chamani, tunadeclare wewe ni mzalendo na si msaliti. Tulikukosea utusamehe.

Tunashukuru kwa uwepo wako na tunakuombea maisha marefu uzidi kututumikia kwa uaminifu.
 
.............Place of arbitration: Dar es salaam - Tanzania.

Mhudumu naomba uniletee KONYAGI nyingine.
 
Back
Top Bottom