Baada ya kuisoma Document hiyo nina haya machache..
3. Sijui kamati ya akina Mwakyembe na PhD zao hawakuyaona haya? Au huko shuleni walikuwa wanafundisha wanafunzi kukariri?
Iliyopo sasa kwa TANESCO ni kusema hatuwezi kulipa na kampuni inakuwa mfilisi na kuanza upya .. Full stop..
Hapa huwa nachanganyikiwa na kazi ya hii kamati! Hawakuliona hili??
Mkuu MKJJ.......ilishasemwa hapa......wewe ulifikiri utani..................watu walijiandaa kushindwa...............inaonekana wazi kabisa kwneye hii document................yaani..........basi tu!......inauma sana
Mkuu Ogah! pole sana ni kilio cha wote, Kuna tatizo
1. Kufanya kazi kwa mazoea
2. Kutojua mikataba ya kimataifa
3. Kuzidiwa nguvu aidha kwa makusudi au bahati mbaya, ambapo naamini kabisa kwa shirika kubwa kama hili ni uzembe
Sawa sawa Mkuu... Kamati ya Mwakyembe waliona hayo yote na ndio maana Rostam/Lowassa wanamtafuta kwa udi na uvumba, uliposikia Mwakyembe akilia hakuwa anacheza makida, na alivyosema kuna mengi aliyaacha i.e. hawakuweka kwenye ripoti, nafikiri sasa utamuelewa ni kwanini alisema vile......
Nimeisoma hii document, nikampata kisawasawa Dr. Mwakyembe na kamati yake; kwakweli walifanya kazi nzuri... Sijui Lowassa alikuwa anataka kujitetea/angejitetea kitu gani?
Otherwise heshima mbele Mkuu...
Kwa mara nyingine heshima mbele Mkuu..............Yaani watendaji kibao wa TANESCO inabidi waachie ngazi sio wanasheria peke yao...........
BTW hivi Accounting Officer alikuwa nani?.....................kwa kawaida Wizarani Accounting Offcer ni Permanent Secretary
Mkuu Ogah! Mwakyembe is responsible for this, tusitete watu wa aina yake
Kwa ufahamu wa Mwakyembe alitakiwa kuonya au
1. Aidha alikosa ushirikano wa ndani ya TANESCO
2. Aliwaamini kuwa alipoishia wao wateza
3. Au alijua wazi matokeo ya kesi hii na alishindwa atapambana nalo vipi. Na kama yuko serious na uzalendo he was supposed to speak out and alert Tanzanians the danger ahead! Leo angekuwa hero!
Lazima ifike muda professionals wawe accountable na matokeo yao,
Mwakyembe ameulizwa why this happened, au ndiyo yaleyale ya kuogopa baada ya kupewa uwaziri, OK, achilia mbali Mwakyembe hata mwanasheria nguli Sitta?
Bila kuwabana hawa watu tunaendelea na tabia hii, IFIKIE MUDA WATU KUKATAA KABISA kufanyika mgongo, while we are blaming Rostam we need to reveal this Network mpaka ngazi ya chini, watu tunaweka professionals mfukoni tunapofanya kazi serious kama hii.
Kibaya ni kuwa hawa wanasheria wa TANESCO HAWAKUPEWA NGUVU na serikali na backup za kutosha, kuna kila dalili wanasheria wa TANESCO waliuziwa mbuzi kwenye gunia na Dr. Rashid!