Part II ipo mkuu invisible ameshawajibika kazi kwako mkuu.
Kaka nimeiona baada ya kurejea! Invisible big up to yourself.
Please confirm kwamba kuna page haziko (inasema page empty intentionally)
Mimi sio mwana sheria lakini kwa elimu yangu ndogo na usomaji wa mikataba hata ya kuuziana magari naona mkataba wa Tanesco/Dowans/RichMondul ulikuwa wa kifisadi na wanasheria waliousoma kabla ya kuasainiwa naamini walimalizia ujenzi wa vighorofa vyao maana siamini kama walitoka bila mikono yao kushika grisi (greasing of hands).
Kumbe Tanesco walishindwa mapema kwenye POA walosign. I bet this contract was drafted by RA accomplices because where on earth would one confine to a single justice executing organ as it is on
(641) Settlement of Disputes 14.1 (e,f)
NO APPEAL WHATSOEVER, na jamaa wa ICC wamecopy na kupaste tu kwenye ruling yao
(enclosure '2'). what a joke!
Naomba kujua kama mwekezaji naye aliorodhesha fascimile numbers manake doc yangu haionyeshi.
Nakubaliana na wenye mawazo kuwa hata hawa arbitrators watatu wana bei ambayo kina RA ni rahisi kufikia. Hebu soma kwenye Tribunal's Award
(641 (4) Respondent kumlipa Claimants legal costs ..maneno yanasema ...One million Six hundred Ninety One thousand Four Hundred Thirty Six wakati tarakimu
(US$ 1,708,521). Tribunal ilokula $750,000 haikuliona hili au mimi ndio sisomi vizuri jamani???
Hebu piga picha siku traffic police alipokukamata then ukamshikisha, ghafla gari lako linaonekana halina makosa na ghafla unakuita "
mzee". Vitabu vya dini vinasema
rushwa hupofusha macho meaning rushwa hukufanya usiwe makini tena.
Mie nabaki na wazo la kugoma kulipa tu maana mkataba umetubana sana kila kipengere. Otherwise kwa vile wenye Dowans wanajulikana na ni washikaji wa JK, basi JK awaombe kiungwana/kishkaji tu kwamba jamani mnaniharibia chonde chonde tulimalizeni hili pembeni. Asipofanya hivyo kila mtu ataamini kwamba na yeye yumo kwenye mgao pindi zikilipwa (kama hazijalipwa bado).
Just a quick one: Hivi wakilipwa mitambo watapeleka wapi au ndio litaundwa zengwe jingine tuinunue au watuuzie umeme kwa bei yao tena??