andrewk
JF-Expert Member
- Apr 13, 2010
- 3,102
- 491
OP uko vague sana kwenye swali lako na nini haswa unachotaka kutufahamisha hapa
Nimesoma lakini inaonekana kuwa doc iko incomplete. Sidhani kama kuna mtu anaweza akaja na proper legal arguments on this kwa document iliyokuwa posted na kama akija na hoja then atakuwa ana mislead wasomaji wa JF. If anything itakuwa ni ngumu hata mtu kuwa na bias (either way) kwa kuwa kilichopo hakijakamilika na kwa kuelewa types za watu wa humu ni kuwa out of 100 or so watakao download maybe ni watu 6 tu ndio watakao kuwa wameisoma the whole thing na kati ya hao maybe ni watu 4 au 3 ndio watakao kuja na proper legal arguments ambazo hazina bias na walio baki wote itakuwa yale yale ambayo tumezowea humu nayo ni:
a) CCM ni mbaya
b) JK hafai
c) DR SLAA is the right person
d) ROSTAM ashitakiwe
USHAURI:
Weka nondo nzima then watu (hatakama wachache ) waingie kazini kuja na arguments or counter arguments on this document
unataka na utangulizi pia? mbona hilo lajitosheleza?