DOWANS: Slaa ulituongopea!

DOWANS: Slaa ulituongopea!

Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts

Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti

Unasema JK own DOWANS lete ushahidi

This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu

Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!

Kumbe Watanzania hatusikilizi na kuelewa kinachosemwa au hatusomi na kuelewa kilichoandikwa!
 
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts

Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti

Unasema JK own DOWANS lete ushahidi

This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu

Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!

Nilidhani umejiridhisha kabla ya kusema hayo uliyosema! Kumbe Watanzania hatusikilizi na kuelewa kinachosemwa au hatusomi na kuelewa kilichoandikwa!
 
Na hata katika hao wakurungezi waliotajwa huyu Al-Adawi si alishaikana hiyo Dowans, mbona wanalazimisha kuwa nae ni mkurugenzi!
 
Yaani wewe majambo unaamini taarifa za waziri ??? Umesikia hata hesabu aliyotupa kuhusu kiasi kitakacholipwa kwa dowans inavyokanganya..uwe unajaribu kutafakari si kukurupuka tu. Dr slaa alimaanisaha mzee wa kaya ana mkono kwenye dowans!
 
Unajua dola milioni 2 za JK mwaka 2005 zilitoka wapi na kwa nani? Ukijua jibu la swali hilo utajua kuwa Dr. Slaa hakusema uongo na utaelewa ni kwanini Dowans ilikuwa ni lazima walipwe kwa mbinde au kwa upinde.
Mzee Mwanakijiji na wengine wote mnaoitakia mema nchi yetu ya Tanzania. Tunawaomba muyafanyie kazi hayo majina yaliyotajwa ya wamiliki wa Dowans, ili tujue nani ni nani katika hili. Kwa wale wote wenye ushahidi juu ya wamiliki halisi wa Dowans, tunawaomba mtuletee jamvini ili tuujulishe umma wa watanzania nini kinachoendelea ndani ya CCM
 
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts

Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti

Unasema JK own DOWANS lete ushahidi

This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu

Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!

Jiulize maswali haya:
1. Kuwataja wamiliki wa Dowans inachukua muda gani - miaka, miezi, wiki dakika chache?
2. Kwa nini kulikuwa na kigugumizi kuwataja?
3. Kwa nini serikali ilisubiri hadi hapo wananchi walipoanza kumtaja Rais kama mumiliki ndipo wakatajwa?
4. Naomba urejee kilichosemwa na Dr Slaa kabla hujatoa 'blanket judgement'.
 
Mkuu Majambo wewe inaonesha ni mzembe wa kufikiri au si mfuatiliaji wa mambo hapa JF kwani mimi nakupa H/W ya kupitia tena hukumu ya ICC zidi ya TANESCO ambayo mdau Invisible alituletea hapa Jamvini. Baada ya hapo linganisha mwenyewe kwa kutumia uwezo wako wa kufikiri. Pia unaweza kujiuliza madai ya Tshs 185 bilioni yanapungua na kuwa Tshs.94 Bilioni ambazo tumetangaziwa kuwa serikali itazilipa hii aingii akilinI kwani wanaendelea kutudanganya sisi watanzania hasa wewe Majambo.
 
Unajua dola milioni 2 za JK mwaka 2005 zilitoka wapi na kwa nani? Ukijua jibu la swali hilo utajua kuwa Dr. Slaa hakusema uongo na utaelewa ni kwanini Dowans ilikuwa ni lazima walipwe kwa mbinde au kwa upinde.
MM, jamaa umemgongea tahnks nikashituka lakini hapa tena sijakusoma kwanini siku hizi umekuwa hueleweke elweki....
kumbuka mtu kama wewe ndiyo umenifanya nianze kufatilia mambo ya siasa na ufisadi unaofanyka hapa Tanzania.
 
Ungetajwa ww ndo mmiliki how could i prove ur not!!!!! Na hao waliotajwa y it has took them 2 long to tell u!!!!!!!!!!!! Shit is just a shit hata kama ni ya kichaa barabaran au ya mfalme. Crap
 
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts

Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti

Unasema JK own DOWANS lete ushahidi

This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu

Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!

Inawezekana ulipata homa uliposikia Mkwere katajwa kama mmoja wa wamikili wa Dowans sio? Pole sana jamaa yangu maana ukweli utakapoanikwa basi utapata mtindio wa ubongo, kifafa na stroke!

Ama kweli ma bongolala ni wengi humu!
 
Yaani wewe majambo unaamini taarifa za waziri ??? Umesikia hata hesabu aliyotupa kuhusu kiasi kitakacholipwa kwa dowans inavyokanganya..uwe unajaribu kutafakari si kukurupuka tu. Dr slaa alimaanisaha mzee wa kaya ana mkono kwenye dowans!

Wala usiumize kichwa na huyo majambo... kama sio hao hao MAFISADI basi ni wale wanaobakishiwa vipapatio na miguu ya kuku wakishakula mabwana zao (mafisadi) hawa twaweza kuwaita waganga njaa.. Hivi unafikifi iwapo watakiri DR Slaa kasema ukweli watapata hivyo vipapatio na vikanyagio vya kuku mezani?? Watakufa njaa!!
 
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts

Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti

Unasema JK own DOWANS lete ushahidi

This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu

Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!
Inawezekana ikawa Slaa ameongopa, na pia inawezekana JK si mmiliki wa Dowans, kama ambavyo tumeongopa Watanzania wengi katika juhudi zetu za miaka minne ya kumtaka kumjua mmiliki wa Dowans. Watanzania kama mwajiri wa serikali tulikuwa na haki ya kuyajua yote aliyosema Ngeleja jana miaka minne iliyopita. Kulikuwa na usiri gani? Kwa nini hawakutajwa wamiliki tangu awali? Kwa nini wametajwa jana?

Mimi ninakifananisha kisa cha Dowans kwa upande mmoja na Ngeleja au serikali kwa upande mwengine na kile kisa cha hadithi "Mwalimu usinibaini, nikipata mbili moja yako moja yangu", na ndio maana serikali ikakaa kimya kutombaini Dowans.

Kusema kweli ni aibu kwa serikali kutenda yote haya kwa kudanganywa kama ambavyo imedanganywa na itaendelea kudanganywa katika mikataba yote yenye utata. Ni aibu kwa wanasheria wa serikali ambao ndio washauri wake wakuu katika mambo ya kisheria. Ni aibu kwa Taifa ambalo linaendelewa kukamuliwa huku viongozi wetu kwa maslahi yao binafsi au kwa ujinga na kutokuwa makini wanaendelea kulifisidi taifa na kuwabebesha raia wake mizigo. Ni aibu wakati watoto wetu wanasoma chini ya miti, serikali inalipa fedha za kifisadi kwa mafisadi. NI AIBU, NI AIBU, NI AIBU.
 
Mkuu usisahau Ngeleja alikuwa mwanasheria wa Vodacom ambayo wakala wake ni Shivacom na Alphatel???????????? then from nowhere akaingia kwenye siasa, akagombea ubunge akapata then straight full waziri tena wizara nyeti ya nishati na madini na zaidi ya hapo karudishwa wizara hiyo hiyo as if kafanya impossibles za kusababisha kuwa ni yeye tu anaeweza kuimudu. What a coincidence!!!!!!!!!!!!

Halafu Ngeleja haonyeshi hata uchungu wa kushindwa TANESCO kwenye kesi....anaonyesha kabisa yuko upande gani...yaani mtu akuibie mkeo halafu unamtetea?
 
MM, jamaa umemgongea tahnks nikashituka lakini hapa tena sijakusoma kwanini siku hizi umekuwa hueleweke elweki....
kumbuka mtu kama wewe ndiyo umenifanya nianze kufatilia mambo ya siasa na ufisadi unaofanyka hapa Tanzania.

Thanks aliyomgongea ni ya kumchokoza maana kalibia asema ukweli MM ana siri NZITO KUHUSU DOWANS
 
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts

Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti

Unasema JK own DOWANS lete ushahidi

This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu

Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!
Mwanafunzi wa chekechea ni wa chekechea tu kamwe hawezi kuwa wa form one
hivi wewe hayo ni mawazo yako? au umetumwa na Kikwete mwenyewe? hebu jitambue kwanza banaaa kha
kwa akili yako ulitaka watajwe wamiliki halali harafu iweje?
kwanza watajwe na serikali ipi?
uliwahi kuona wapi mtu hujikata miguu ili
atembelee magongo?
au mtu mpika pombe ya gongo harafu akauze vituo vya polisi?
 
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts

Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti

Unasema JK own DOWANS lete ushahidi

This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu

Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!![/QUOTEkama amewaongopea kwa nini msimshitaki? aje na ushahidi mahakamani?si tutaamini vipi amewaongopea kama wananchi?
 
Kampuni gani ya kigeni haina share holder mtanzania?? AU Dowans (T) LTd ilikuwa exceptional katika hili??!!! Huyu Ngeleja katugeuza mazoba sisi na BRELA yao;;nooo yeye na boss wake ndo mazoba. Madudu matupu!
 
Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts

Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti

Unasema JK own DOWANS lete ushahidi

This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu

Unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la JAKAYA MRISHO KIKWETE!!!!!

Nasikitika kwa uwezo wako wa kufikiri ndipo ulipoishia.
Hivi unatarajia kwamba JK ataweka jina lake kama mmoja wa wamiliki wa Dowans. Kwa taarifa yako hata huyo Rostam ambaye tunamjua na kuamini anamiliki makampuni lukuki yenye mauzo ya millions of US dollars (sio dollar za mgabe) jina lake halionekani kwa msajili wa makampuni.

Ungeruhusu akili yako kufikiri nje ya boksi wala usingekuja na hii post. Kwa hiyo matokeo yaliyotangazwa na NEC nayo unaamini au unamwamini Slaa aliyesema kura zake zimechakachuliwa??

Kwanza nina wasi wasi unaposema This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu: Alianza lini kuwa kiongozi wako kiasi kwamba amekuboa kwenye swala la Dowans tu??

Kwa kitendo cha wanaJF kuchangia hoja yako jione mwenye heshima sana.
 
Ama kweli watanzania tu wajinga mno!Inakuwaje kajitu kalikotumwa na mabwana zake kanakusanya wanahabari na kuudanganya umma kisha wate tunaamini na kushangilia?Bwana S6,alikwisha sema kuwa dowans ni genge la mafisadi watatu serikalini,tumeshasahau!Sasa iweje leo anatwambia wamiliki wa dowans,na tunaimba wimbo huu.Ebu Sitta tueleze,aliowataja Ngeleja ndio wale vigogo watatu serikalini?If not,kuwa jasiri na uwataje hadharani...mnxy!
 
Back
Top Bottom