Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,904
- 1,363
Ngeleja anasema wamiliki wa dowans Tanzania Ltd "niDowans Holding S.A ya Costa Rica (81) na Portek Systems and Equipment (PTE) LTd (54)."
Total ya hizi shares ni 135 lakini kuna mahali alitaja asilimia, hii inamaanisha ni 84% na 54% which adds up to 135%!!!!???..
Nakubaliana na wachangiaji humu kuwa hizo kampuni zinamiliki dowans na hao aliowataja ni wakurugenzi wa hizo kampuni si lazima wawe wamiliki. Sheria ya makampuni inaturuhusu kulift vail of incorporation na kutaja wamiliki hasa. Kama hao wakurugenzi ndio wamiliki pia basi angetutajia shares wanazohold kwenye kampuni hizo.
Katika utetezi tanesco inatueleza nani alikuwa anapokea fedha za Dowans. Soma ile siri ya dowans iliyo kwenye pdf file page 31 clause 17.11 uone namna Rostam Aziz, a Tanzanian politician alivyoitrick Tanesco na kuidhinishwa kuchukua fedha toka CRDB kwa niaba ya Dowans.
Kama mnakumbuka vizuri katika ripoti ya Mwakyembe "Mashahidi wawili, Ndugu Daniel Yona na Mhe. Rostam Aziz, (Mb) walipelekewa hati za kuitwa mbele ya Kamati Teule lakini hawakufika kwa maelezo kwamba walikuwa nje ya nchi."
This is home of great thinkers; ebu tutafakari yote yanayowekwa humu na utaona wazi kuwa mmiliki ni nani