RealMan
JF-Expert Member
- Nov 9, 2010
- 2,367
- 1,388
Kampuni gani ya kigeni haina share holder mtanzania?? AU Dowans (T) LTd ilikuwa exceptional katika hili??!!! Huyu Ngeleja katugeuza mazoba sisi na BRELA yao;;nooo yeye na boss wake ndo mazoba. Madudu matupu!
Kuna rafiki yangu kutoka nje aliwahi kutaka kufungua kampuni hapa, wakti wa usajili akaambiwa lazima at least 1% ya shares zimilikiwa na Mtanzania.
Hii sheria kweli ipo na kama ipo mbona haija apply kwa Dowans Tanzania