ivuga,
Niko safarini hivyo natoa kwa kifupi tu. anayetaka kuamini ngonjera za Ngeleja aendelee tu kumwamini. Deep green majina yaliyoko kwenye karatasi ni ya nani? Tangold majina yaliyoko ni ya nani? vipi na Meremeta. ongezea la Kiwira Bungeni jina lililotajwa ni la nani lakini jina la Mkapa haliko kwenye founders wa Tanpower Resources japo aliuza hisa zake baadaye? Nipongezee, na Viwanja vya Kawe, mwekezaji anayetajwa siye Adamjee, si ndiye aliyeweka hata deposit. UKWELI HATIMAYE NI NINI? Mwenye nia njema na utashi wa kukomboa Taifa lake ataelewa. Asiyetaka kuamini halazimishwi, mapambano yako pale pale za Ngeleja ni ngonjera tu.