DOWANS: Slaa ulituongopea!

DOWANS: Slaa ulituongopea!

Majina ya owners wa Dowans jana yametolewa na sijaona jina la JK kama ilivyodaiwa na Slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader I could trust na sio kiongozi mwenye Jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts

Hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti

Unasema JK own DOWANS lete ushahidi

This is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni Mchungaji na mtu wa Mungu

mzee mwanakijiji kwamwambia majambo THANKS eti kwamba post yake ni useful.Utumbo mtupu.


Na pengine watu hawakumwelewa Dr Slaa,,,Dr alihoji kwamba kwa sababu Mkataba wa Dowans unapitishwa na baraza la mawaziri ambapo kikwete /raisi ni mwenyekiti wake hivyo anapaswa kuwajibika kwa lolote litakalotokea.Na wakati anasimamia maamuzi haya alijua fika kwamba ni hatua za kurithi mkataba feki wa Richmond by yeye akawapa go ahead.

Sijaona mantiki ya kumshambulia Dr wa ukweli Wilbroad Peter Slaa
 
Hakuna hata kiongozi mmoja wa CCM atakaetaja dowans ya nani bt JK anahusika 100% km aliweza kuwaambia wizi warejeshe pesa atawasamehe{EPA}unafikiri anaweza kujitoa ictoshe mkwere alikuwa foreign waziri so anajua yote haya
pia mucsahau kw CCM walimkataa MWAKALIBELA kisa kakamatwa na TAKUKURU bt wakawakubali CHENGE na MRAMBA wenye makesi jinai na ufisadi ss ww unafikiri utatoa ushahidi gn ambao unaweza kumfunga MKWERE mwisho wa cku ukikubali au ukikataa anahusika
 
majina ya owners wa dowans jana yametolewa na sijaona jina la jk kama ilivyodaiwa na slaa. Slaa kama kiongozi wangu shupavu amenivunja sana moyo. I need a leader i could trust na sio kiongozi mwenye jazba na anyezungumza bila ya kuwa na facts

hizi si zama za abuniasi kuambia uwongo ili mradi uandikwe kwenye magazeti

unasema jk own dowans lete ushahidi

this is disgusting na mimi sitaki kuwa na kiongozi ambaye alikuwa ni mchungaji na mtu wa mungu

unless ana ushaidi mwingine so i stand to be corrected lakini majina ya waliotajwa jana sijaona jina la jakaya mrisho kikwete!!!!!
inategemea na iq yako iko level gani. Haitaji kuambiwa ili kugundua kuwa richmond and dowans ni ubia wa jk, el na ra
 
Halafu Ngeleja haonyeshi hata uchungu wa kushindwa TANESCO kwenye kesi....anaonyesha kabisa yuko upande gani...yaani mtu akuibie mkeo halafu unamtetea?

Atafanya nini huyo alishanasa kwenye angaza za wenyewe, hana cha kufanya itabidi atekeleze ninalosemwa na RA maana huyu Ngereja na yeye alishaonja hela za Rostam Azizi (inasemekana kwamba mwaka 2005 alipewa milioni 50 kwa ajili ya kampeni za Ubunge)... hana la kufanya anatamani sana kuwatetea wananchi lakini keshakula cha mtu, na huyu RA sio mjinga hebu kumbuka Mchungaji Mtikila alijifanya anmpakazia jamaa sio raia lakini kumbe Mtikila na yeye alishakula milioni 3 za jamaa na alipokuja kuumbuliwa mpaka leo Mtikila kimya ameufyata... sio kosa lake Ngereja anahitaji kuwekwa huru dhidi ya minyororo ya mafisadi
 
Back
Top Bottom